Mnyika, watchout! Maji Ubungo yatakuondoa...

Mnyika, watchout! Maji Ubungo yatakuondoa...

Wenzenu Kalenga tunaomba Mungu tupate mbunge mchapakazi angala nusu ya mnyika
 
hizo pesa wanazotumbua kurandaranda na copper siwangetandaza mabomba tatizo la maji lingekuwa historia ubungo, hawajamaa mabepari makubwa.
 
Wabongo bana kama mnachuki binafsi na Mnyika au Chadema si mseme tu. Kwani kabla ya Mnyika mlikuwa mnaishije? maji mlikuwa mnapata wapi? kwani ye alikuja kuziba mabomba ya maji.

kweli "if you don't have an asshole friend then you are the asshole".
 
Nina mashaka
hata uozo ulioko vichwanj mwenu sababu ni Mnyika. Kumbe mbunge kazi yake
ni kuwachoteeni maji majumbani mwenu!

mkipewa nchi mtasema sio kazi ya serikali kuwaletea maendeleo, kweli hawa jamaa majanga ya kimataifa.
 
kwani mheshimiwa
Mnyika ndo DAWASCO au ? wewe umechukua hatua gani kufatilia au yeye ndo
maji yenyewe

hivi mfuko wa jimbo anautumia kujiongezea kipato? barabara mbovu, maji hakuna, 2015 bora tumchague yusuf manji ataleta maji kwa pesa yake.
 
kwani mheshimiwa
Mnyika ndo DAWASCO au ? wewe umechukua hatua gani kufatilia au yeye ndo
maji yenyewe

tatizo la kuchagua school drop out, hawezi hata kuandaa ''andiko mradi'' wenzie wamepewa pesa kutoka ADB na EU, mbona zitto kwake maji umeme barabara za lami tupu!
 
Kwani mnyika n serikali..mmechagua ccm MNALIALIA TU

Nini jukumu la mbunge? Mnyika hawakilishi kilio cha wapiga kula wake mbona wenzake wameweza? Anashughurikia masuala ya chama makao makuu lakini jimboni hafiki! Hafai huyo akae pembeni tu.
 
tatizo la kuchagua school drop out, hawezi hata kuandaa ''andiko mradi'' wenzie wamepewa pesa kutoka ADB na EU, mbona zitto kwake maji umeme barabara za lami tupu!

ndo maendeleo ya vijana
 
hizo pesa wanazotumbua kurandaranda na copper siwangetandaza mabomba tatizo la maji lingekuwa historia ubungo, hawajamaa mabepari makubwa.

hivi miradi ya maji ina jengwa na mfuko wa chama??? Kama ndivyo basi pesa walizo tumia ccm kumuhonga zito wange nu nulia madawani mashuleni.
 
tatizo la kuchagua school drop out, hawezi hata kuandaa ''andiko mradi'' wenzie wamepewa pesa kutoka ADB na EU, mbona zitto kwake maji umeme barabara za lami tupu!

mh lami umeme barabara za lami zipi mkuu kwa zito au wapi
 
Thats where the problem come. Tatizo ni mnyika au Dawasco???
 
Maji ni jukumu la wizara ya Maji mnyika ni kuisimamia tu nakuongeza uwajibikaji.anayepaswa kulaumiwa si Mnyika bali waziri.husika.mkitaka kumlaumu Mnyika subirini apewe nchi mje mpige kelele
 
hizo pesa wanazotumbua kurandaranda na copper siwangetandaza mabomba tatizo la maji lingekuwa historia ubungo, hawajamaa mabepari makubwa.

Umeambiwa cdm wanakusanya kodi ktk nchi hii? Nchi ipo chini ya ccm ambao ndio wenye serikali.
 
Magamba mmejitahidi kuongeza buku 7 sijui ndo zile za division 5
 
tatizo la kuchagua school drop out, hawezi hata kuandaa ''andiko mradi'' wenzie wamepewa pesa kutoka ADB na EU, mbona zitto kwake maji umeme barabara za lami tupu!

Wewe umefika kigoma? Au unasikia? Lami tupu amekwambia nani? Tuulize sie wakazi wa kigoma....wacha hizo mkuu....
 
Back
Top Bottom