Mnyika, watchout! Maji Ubungo yatakuondoa...

Mnyika, watchout! Maji Ubungo yatakuondoa...

kaka lengo la kuwa kiingozi ni kuongoza na kuwakilisha watu walio kuchagua na kukuamini kuwa utatekeleza na kuwasaidia pale kwenye matatizo yanapo tokea sasa huyu jamaa tulimpa uongozi kwa kujua kwamba ndie mkombozi wa tatizo la maji ubungo lakin bado changamoto zimekuwa nyingi sana
 
We Saranga unajua ni stopover tu hata huku Mavurunza kanisani nako ni saranga pia na hii njia ya golani ni saranga pia , huku matangini suka bwawani pia ni sarangamaji yanatoka ni jumamosi hii tu ndo hayajatoka na tulishaita dawasco na leo hii walikuja kutengeneza nyie kaeni msubiri Mnyika atoke Dodoma aje kutatua matatizo madogo ambayo hata balozi wa nyumba kumi anayaweza.
 
Ujinga ni Tatizo kubwa Nchi hii...nafikiri kuliko hata hilo suala la Maji ubungo..
 
Majungu tu ndio waliokalia kama huku kimara stopover ishu ilikuwa ya bomba na dawasco waliambiwa na jana wamekuja na usiku huohuo maji yametoka mpaka sasa asubuhi nyie kaeni kumbeza Mnyika mwishoni mtamdai hata hela ya chakula kwa uvivu wenu wa kufatilia mamlaka husika.
 
you spoon speeding people mnaishi wapi!?
hivi diwani,m/kiti serikali za mtaa hawapo,dawasco or dawasa hawapo?
mnyika ndio alipasa kuratibu upatikanaji wa maji kama mbuge, sasa unataka kero tuzipeleke wapi?
 
kwani mnyika anafika mpaka huku segerea? mbona hata harufu ya maji hatuijui miaka kibao
 
Umeandika ki ushoga shoga hivi. Sasa kama anamshabulia waziri wa maji, SI ANAMBANA ATIMIZE WAJIBU WAKE WA KULETA MAJI jimboni au? sasa unataka nini?
Jaman tangia huyo jamaa aingie bungeni, Kimara hakuna maji na yeye kazi ni kumshambulia waziri wa maji bungeni.

2015 harudi tena.
 
nina wasiwasi na uraia wako jiangalie operesheni tokomeza inakuja tena, kama hana ilani alijipendekeza kugombea ili iweje? kenge kabisa. hiyo red ishapelekwa kwa mkuu wa operesheni subiri tu.

kwani mkuu,nchi inatekeleza ilani ya chama gani?sasa kwanini kwenye maji unataka itumike ilani ya chama ambacho hujakipatia madaraka ili kitimize ilani yake?
 
Mh. Mnyika angalia sana hawa DAWASCO Kimara wanakuhujumu kwa makusudi kabisa.
Haiwezekani msimu kama huu mto ruvu umejaa maji hivi lkn maji ubungo miezi miwili hakuna, kimara nako hivohivo, mbezi ndo balaa kabisa.
Najiuliza, kama ni mgawo, wamegawiwa kina nani mbona wote hatupati???

Amini usiamini hizi ni hujuma za ma sisiemu. Dawasco wameshinikizwaaa!!!

Waambie wakupatie ratiba kwa maandishi halafu uiweke wazi. Sisi tutaifuatilia na yasipotoka tutakujulisha uulize. Wanakumaliza hawa. 2015 hiyo hapo, tutakuhukumu kwa hili.

Mind you water is a very sensitive commodity which affects both the have and have nots. Will turn u down trust me.

Watch out Mnyika.
 
Taarifa yako ni nzuri na tunakushukuru sana , lakini umemaliza kwa vitisho , kitu ambacho sijakipenda .
 
Mh. Mnyika angalia sana hawa DAWASCO Kimara wanakuhujumu kwa makusudi kabisa.
Haiwezekani msimu kama huu mto ruvu umejaa maji hivi lkn maji ubungo miezi miwili hakuna, kimara nako hivohivo, mbezi ndo balaa kabisa.
Najiuliza, kama ni mgawo, wamegawiwa kina nani mbona wote hatupati???

Amini usiamini hizi ni hujuma za ma sisiemu. Dawasco wameshinikizwaaa!!!

Waambie wakupatie ratiba kwa maandishi halafu uiweke wazi. Sisi tutaifuatilia na yasipotoka tutakujulisha uulize. Wanakumaliza hawa. 2015 hiyo hapo, tutakuhukumu kwa hili.

Mind you water is a very sensitive commodity which affects both the have and have nots. Will turn u down trust me.

Watch out Mnyika.

Mnyika hajawahi kuwa muwajibikaji toka apate ubunge yuko bize na mambo ya ajabu ajabu sijui tatizo ni elimu yake ndogo au ana zaidi ya tatizo hilo
 
Umeshasema anahujumiwa nawe unautumia uhujumu huo kuhukumu.... Watanzania tunayo kazi kweli...
 
Umeshasema anahujumiwa nawe unautumia uhujumu huo kuhukumu.... Watanzania tunayo kazi kweli...

Mkuu hii ni taarifa tu kwake kabla ya hukumu. Hukumu ni baadae hapo 2015. Akiamka sasa akafanya linalotakiwa anaweza kubadili upepo.

Wao husema kinga ni bora kuliko tiba
 
Yaanj wewe na mnyika tu? Mbona husemi kwingine? Ina mana wenye shida na maji ni ubungo tu? Majimbo yote ya Dar yana maji ya kutosha? Pindi alipowasilisha hoja binafs dhid ya Tatizo la maji ubungo mbona na wabunge wengine wa Majimbo mengine walimuunga mkono? Ina mana na wao pia wana shida ya maji na wajiandae kuondoka mjengoni? Kama umetumwa sema
 
Mkuu..... nisieleweke vibaya. Mimi sijatumwa bana. Ninampa onyo tu kiongozi wangu asome alama za nyakati. Maana haya makwazo ya waziwazi yanafanywa ili ionekane hayuko makini. Ni vyema akafuatilia kwa kuwa ni mwakilishi wetu .
 
Aaha ngoja bwana Mnyika tupo naye Dodoma anamwaga cheche....
Tena anasema
police anayeshinda siku nzima anatembea
halipwi- Standing allawance
lakini mbunge anayeshinda anasinzia bungeni analipwa-siting allawance!
 
Safi kabisa. ... mimi namuaminia sana kwa kutusemea na kusema yaliyo na manufaa kwa taifa.
Ndiyo maana nimekumbusha kuwa huku nyumbani ajue bado watu wake tuko taabuni. Akisema na engineer wa dawasco tu kesho asubuhi maji yanatoka. Anahujumiwa.
 
Katika wabunge vijana wa CHADEMA, Mbunge Mnyika huwa anani-impress sana kwa kutumia akili katika hoja zake nyingi.

Hata hivyo sasa mambo inaelekea yanamwendea vibaya jimboni kwake Ubungo, kwa kushindwa kuutafuna mifupa mikavu uliyowasambaratisha wabunge wengi wa eneo hilo-tatizo la maji na miundo mbinu Ubungo.

Waziri Kabaka , Waziri wa Kazi na Ajira, amemrushia madongo mazito Mbunge John Mnyika kwa kushindwa kwake "kuona ndani" katika kulitatua tatizo hilo. (ref Mwananchi 6/11/2012, pg 8)

Waziri Kabaka amedai kuwa Mnyika amekuwa akitumia muda mwingi katika siasa za Bunge kuliko kutatua matatizo ya wananchi wa Ubungo.

Katika kusaidia kutatua matatizo ya Ubungo Waziri Kabaka ameahidi kumwona waziri mwenziwe wa Maji na ili alitazame tatizo la maji Ubungo na kulitatua.

Anachosema Waziri Kabaka kina mantiki kubwa, Mnyika inabidi ajipange na kuwa na uhusiano mzuri na "magamba" wanaoendesha wizara zinazomgusa kiutendaji jimboni kwake.

Uchaguzi si mbali, na jimbo la Ubungo ndio hilo, wengi wanalikodolea macho.
Walipita kina keenjs wa ccm wsliganya nini ubungo? Wacha kumtisha mnyika wewe. Kama maji kwrnu hakuna kutakuwa na hitilafu za miundmbinu. Kawaulize wanaokunywa maji ya visima kwenye majimbo ya ccm
 
Walipita kina keenjs wa ccm wsliganya nini ubungo? Wacha kumtisha mnyika wewe. Kama maji kwrnu hakuna kutakuwa na hitilafu za miundmbinu. Kawaulize wanaokunywa maji ya visima kwenye majimbo ya ccm

Kina Keenja hawakufanya lolote.
Je Mnyika naye afuate nyayo zao?
La hasha.... ndo maana tunamkumbusha hali ilivyo asije kujisahau .
 
Back
Top Bottom