Mnyika, watchout! Maji Ubungo yatakuondoa...

Mnyika, watchout! Maji Ubungo yatakuondoa...

hivi miradi ya maji ina
jengwa na mfuko wa chama??? Kama ndivyo basi pesa walizo tumia ccm
kumuhonga zito wange nu nulia madawani mashuleni.

kwa hipo hiyo ruzuku ni ya kufanyia utalii wa ndani?
 
Nini jukumu la mbunge? Mnyika hawakilishi kilio cha wapiga kula wake mbona wenzake wameweza? Anashughurikia masuala ya chama makao makuu lakini jimboni hafiki! Hafai huyo akae pembeni tu.

Eeh hafai kabisa kwa vile Charles Keenja tena wa CCM aliweza na aliweza kupeleka matatizo yenu ki sawasawa ila Mnyika akaja kuziba mabomba.

Ndo tatizo la kufikiri kama funza.... nonsense.
 
Umeambiwa cdm wanakusanya kodi ktk nchi hii? Nchi ipo chini ya ccm ambao ndio wenye serikali.

kwa hiyo kigoma na hai kuliko na lami na maji wanaserikali tofauti na hii ya ccm? mbaazi........
 
Wewe umefika kigoma? Au
unasikia? Lami tupu amekwambia nani? Tuulize sie wakazi wa
kigoma....wacha hizo mkuu....

kwani daraja la malagarasi liko mbeya? kigoma kasangezi uvinza pametandikwa khanga? kigoma manyovu je? umeme wa kasulu kaleta sanzugwako magayane au zitto?
 
Eeh hafai kabisa kwa
vile Charles Keenja tena wa CCM aliweza na aliweza kupeleka matatizo
yenu ki sawasawa ila Mnyika akaja kuziba mabomba.

Ndo tatizo la kufikiri kama funza.... nonsense.

keenja kaacha mradi wa mabomba ya wachina, yeye kaingia kaanza kurusha maneno hovyo mradi ukaota mbawa
 
wapiga kura wake wanazuiliwa kwenda azikiwe na bodaboda yeye hana habari anaponda raha tu.
 
Mkuu hao waliokaa miaka hamsini wameshindwa kuleta hayo maji sasa Mnyika amekaa miaka minne unamlaumu,tatizo ni mfumo uliopo.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mbunge alipokuwa wa ccm mlijinadi mpewe kura mlete maji, mmepewa jimbo mkashindwa kuleta maji mnasema tatizo ni serikali so mnyika hapaswi kulaumiwa. Kama ni hivyo muache kugombea ubunge mgombee urais mtakapopata muunde serikali yenu ya kutuletea maji.
 
Eeh hafai kabisa kwa vile Charles Keenja tena wa CCM aliweza na aliweza kupeleka matatizo yenu ki sawasawa ila Mnyika akaja kuziba mabomba.

Ndo tatizo la kufikiri kama funza.... nonsense.

Kwahiyo amechaguliwa ubunge akae tu bungeni na kuchukua posho? Kuna fungu la kuendeleza jimbo 50M anapeleka wapi? Kusoma hujui hata picha? Asipohangaikia jimbo lake unafikiria ni nani atajua matatizo ya jimbo lake? Waziri ni wa nchi siyo wa jimbo fikirieni kutumia kichwa siyo m.a.t.a.k.o hafai na hapati tena watu wameshamshtukia don't be a fool. Idiot.
 
Mkuu hao waliokaa miaka hamsini wameshindwa kuleta hayo maji sasa Mnyika amekaa miaka minne unamlaumu,tatizo ni mfumo uliopo.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

mnyika yuko bize kuwatumikia wachaga pale ufipa kuliko wapigakura wake
 
Jaman tangia huyo jamaa aingie bungen kimara hakuna maji na yeye kaz nikumshambulia waziri maji bungeni.2015 harudi tna

Huo ni utekelezwaji bora wa Ilani ya ccm! Munamshambulia yeye kwani ndo mwenye Ilani inayotekelezwa?,Mmevurugwa nyie simuende mukalalamike kule lumumba munakopewa hela ya kula
 
Jaman tangia huyo jamaa aingie bungen kimara hakuna maji na yeye kaz nikumshambulia waziri maji bungeni.2015 harudi tna

toka lini ulimpa mnyika kodi yako ili alete maji halafu akashindwa.nachukia sana kumuonea mtu ambae ana fight sana kama mnyika juu ya maji ubungo,
 
toka lini ulimpa mnyika kodi
yako ili alete maji halafu akashindwa.nachukia sana kumuonea mtu ambae
ana fight sana kama mnyika juu ya maji ubungo,

apewe hela zipi tena wakati anamgao wa 50m kila mwezi anapeleka wapi? pesa za ushuru wa standi ya ubungo anapeleka wapi? pesa ya maegesho ya magari? au ndo vibopa wananunulia mafuta ya chopa?
 
Kwahiyo amechaguliwa ubunge akae tu bungeni na kuchukua posho? Kuna fungu la kuendeleza jimbo 50M anapeleka wapi? Kusoma hujui hata picha? Asipohangaikia jimbo lake unafikiria ni nani atajua matatizo ya jimbo lake? Waziri ni wa nchi siyo wa jimbo fikirieni kutumia kichwa siyo m.a.t.a.k.o hafai na hapati tena watu wameshamshtukia don't be a fool. Idiot.

Fitina titi la paka halifai kwa mtindi. Acheni unafiki mara ngapi kapeleka hoja za maji bungeni zikatupiwa kapuni na serikali yenu ya fitina mradi tu aonekane hafanyi kazi.

Na msiconclude jimbo zima kama mnavyojifariji kimara hamkai pekenu huku kwetu kuna maji na likitokea tatizo tunaenda wenyewe Dawasco na wanakuja kurekebisha na likiwa kubwa Mara nyingi Mnyika amekuwa akitolea majibu baada ya kufatilia. Nyie kaeni tu hata bomba likipasuka msubiri mnyika aje awaendee dawasco kwa tatizo dogo tu, acheni uvivu.

Kama kura hamtapiga wengine tupo tutampigia mbunge wetu.
 
apewe hela zipi tena wakati anamgao wa 50m kila mwezi anapeleka wapi? pesa za ushuru wa standi ya ubungo anapeleka wapi? pesa ya maegesho ya magari? au ndo vibopa wananunulia mafuta ya chopa?

utakuwa una lako jambo ulivo shupalia mbona huku kwetu tunafatilia na yanatoka maji acha hizo too much
 
Back
Top Bottom