ccm wanaweweseka sana!!!
Ahadi hamjatimiza uchaguzi umekaribia mnaanza kuweweseka.
ccm wanaweweseka sana!!!
kutokana na mh mnyika kutingwa na majukumu ya kibunge bunge la katiba,ina maana hilo eneo halina diwani???? au lina diwani lakini boya???
Moderators tunaomba mtuondolee huu uchafu.
Kuna tofauti kubwa kati ya mwanasiasa na kiongozi jamaa anaweza siasa but hawezi kuongoza wenye akili watanielewa wasio na akili watanitukana
Kwani Mnyika anakusanya kodi? Maccm hovyo kabisa.Mnyika hana lolote analofanya, ni ubishoo tu wa kuongea, utekelezaji hakuna...
Tulimkanya Mnyika lakini hakutuelewa sasa wenye macho hawaambiwi tazama!
Mnyika hana lolote analofanya, ni ubishoo tu wa kuongea, utekelezaji hakuna...
siku zake zinahesabika kqma Lema
Kwani yeye fundi bomba?
Nyie magamba ni ma..pum..avu sana. Hebu tofautisha Kati ya mnyika na hao wabunge wenu waliowahi kuongoza Hilo jimbo yupi anawajibika? Mimi kwangu huku msigani kisiwani napata maji mara mbili kwa wiki. Wewe uko mtwara gesi umelegea na wenzao wanaipeleka bagamoyo kaa hivyo hivyo unyolewe. Wana ubungo tunajua alichoifanyia mnyika jimboni khs maji.thank u
umeelewaka mkuu
nadhani kijana asubiri wakati ufike aende zake kuzimu
rais dhaifu sawa,ushupavu wake yeye uko wapi sasa??
Nashangaa sana povu jiiiingiii
kumbe blaah blaaah..