Mnyika, watchout! Maji Ubungo yatakuondoa...

Tuwe wakweli Mnyika,ni kati ya mbunge bora kabisa,na mjenga hoja mkuu, kwa mfano, Prof. Magembe halali sasa hivi anwaza bajeti itapitaje coz mnyika hwa anambana za mbavu, Keep it up Mnyika, ateast sasa ubungo inpata barabara nyingi za lami as kati ya barabara zilizosaniwa juzi na Tanroads asilimia 90 ni jimbo lake
 
Katika wabunge vijana wa CHADEMA, Mbunge Mnyika huwa anani-impress sana kwa kutumia akili katika hoja zake nyingi.

Hata hivyo sasa mambo inaelekea yanamwendea vibaya jimboni kwake Ubungo, kwa kushindwa kuutafuna mifupa mikavu uliyowasambaratisha wabunge wengi wa eneo hilo-tatizo la maji na miundo mbinu Ubungo.

Waziri Kabaka , Waziri wa Kazi na Ajira, amemrushia madongo mazito Mbunge John Mnyika kwa kushindwa kwake "kuona ndani" katika kulitatua tatizo hilo. (ref Mwananchi 6/11/2012, pg 8)

Waziri Kabaka amedai kuwa Mnyika amekuwa akitumia muda mwingi katika siasa za Bunge kuliko kutatua matatizo ya wananchi wa Ubungo.

Katika kusaidia kutatua matatizo ya Ubungo Waziri Kabaka ameahidi kumwona waziri mwenziwe wa Maji na ili alitazame tatizo la maji Ubungo na kulitatua.

Anachosema Waziri Kabaka kina mantiki kubwa, Mnyika inabidi ajipange na kuwa na uhusiano mzuri na "magamba" wanaoendesha wizara zinazomgusa kiutendaji jimboni kwake.

Uchaguzi si mbali, na jimbo la Ubungo ndio hilo, wengi wanalikodolea macho.

Wewe ususeme maji tu Ubungo maybe useme jimbo zima la Ubungo namaanisha Kimara,Mbezi ya Kimara,Kibamba kote huko ni shida ya maji.Mbaya zaidi ni shida ya umeme kwa wakazi wa Mbezi wakazi wa kuanzaia pale Mbezi kwa Msuguri kuingia ndani Masaki, Msingwa, Maramba Mawili kote huko hakuna umeme.Na cha kusikitisha zaidi wakazi hawa wamezungukwa na umeme pande nne za dunia maana Kifuru kunawaka umeme,Temboni kunwaka umeme,Kinyerezi kunawaka umeme sasa hawa wakazi wa Masaki, Msingwa, Maramba Mawili utafikiri wanaishi kisiwani.Mnyka najua hajui kama kuna mchezo mchafu lakini asipokuwa makini am telling you ataanguka mwaka 2015 Tumaini Makene
 
Baada ya kelele za mnyika jana bungeni leo maji yanatoka!!, sasa sijui ndio tatizo limeisha gafla au ndio kuzibwa midomo yetu kwa muda tu!! sijui sijui sijui, ngoja tuone.
 
Mnyika ajipange vizur 2015 jimbo la UBUNGO ukimaliza vipindi viwili vya uchaguzi we kidume! Barabara ya MAKABE aipitiki
 
Wewe ususeme maji tu Ubungo maybe useme jimbo zima la Ubungo namaanisha Kimara,Mbezi ya Kimara,Kibamba kote huko ni shida ya maji.Mbaya zaidi ni shida ya umeme kwa wakazi wa Mbezi wakazi wa kuanzaia pale Mbezi kwa Msuguri kuingia ndani Masaki, Msingwa, Maramba Mawili kote huko hakuna umeme.Na cha kusikitisha zaidi wakazi hawa wamezungukwa na umeme pande nne za dunia maana Kifuru kunawaka umeme,Temboni kunwaka umeme,Kinyerezi kunawaka umeme sasa hawa wakazi wa Masaki, Msingwa, Maramba Mawili utafikiri wanaishi kisiwani.Mnyka najua hajui kama kuna mchezo mchafu lakini asipokuwa makini am telling you ataanguka mwaka 2015 Tumaini Makene

Hakuna asiye jua kuwa ccm ni adui wa maendeleo nchini lakini hilo wala halita wasaidia sababu hata wanaubungo wanajua kuwa hizo ni hujuma za ccm na si vingine na wataendelea kuwaadhibu milele
 
Mnyika ajipange vizur 2015 jimbo la UBUNGO ukimaliza vipindi viwili vya uchaguzi we kidume! Barabara ya MAKABE aipitiki

Hamjui mnacho kiongea wote sababu hamjui majukumu ya mbunge fungeni mabakuli yenu.
 
Wewe unayeyajua majukumu ya mbunge hebu tujuze?
Kwa uelewa wangu na kwa mazungumzo ya hawa wabunge majukwaani swala la maji na barabara ni jukumu kubwa la wabunge.
 
Hakuna asiye jua kuwa ccm ni adui wa maendeleo nchini lakini hilo wala halita wasaidia sababu hata wanaubungo wanajua kuwa hizo ni hujuma za ccm na si vingine na wataendelea kuwaadhibu milele

Usitumie makalio kufikiri bandugu, mnyika uwezo wake ndo umeishia pale. Mpinzani akishindwa kuleta maendeleo yake bungeni basi ni hujuma ya CCM.
Kwani mnyika aliomba ubunge akauze sura bungeni au!!??.

Tatizo umeshakuwa MSUKULE hauna tena uwezo kufikiri.
 
Uso wa mbele hutambulisha ndani, Mh. Mnyika fanya mambo kwa u-inteligent wako watu wapate maji!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Ni miezi kadhaa sasa tangu tupate maji ya dawasco ubungo msewe...au ndiyo kumkomoa mnyika na wananchi wake? mnyika wapi sasa?,raia wako tunakufa huku. au mwakani tuangalie upande wa pili kama umeshindwa?
 
husomeki mkuu!!
 
Wewe umwtumwa na mafisadi kama wamekupa hela pokea ukalale ukitulete upuuzi mimi nitata tapikia godoro langu bure mabilioni yanatoroshwa kwenye akainti za wana chukua chako mapema huku wakitumia milioni kadhaa kukupofusha macho wewe unaleta uzi kama huo ambao ni dhahiri umepewa vijisenti na hao mafisadi wa chukua chako mapema
 
ccm wanakusanya kodi tangu 1961 hawakuleta maji kwa miaka 55 unataka Mnyika alete maji kwa miezi miwili. hivi unajua garama ya bomba moja la maji? Kwa taarifa Mnyika hata atoe mshahara wake woote kwa miaka mitano hautoshi kusambaza maji UBUNGO. Kumlaumu Mnyika ni uonevu. Mnyika anaongoza kwa kuchangia michango yenye akili bungeni tangu 2010 hadi Leo kuliko wabunge wote. Mwangalie Mnyika kama Lulu ya Taifa usimuhukumu kwa UBUNGO tu. Mnyika analikomboa Taifa including UBUNGO.
 
sawa sawa mkuuu mpige msumari huyo mleta mada.....
 
Back
Top Bottom