Mnyika tafadhali soma hii

Mnyika tafadhali soma hii

MODs please delete hii thread, imekaa kizushi sana, no proof, no mashiko, nothing, ngoja ni-Report abuse

Eti proof, mbona unapenda kutafuniwa kila kitu kama mtoto mdogo.ivi wewe unamuogopa Mnyika au mnyika humjui? nenda kamuulize yeye kama yeye kisha urudi kukanusha hii post kwa ushahidi wa ulichojibiwa. hii noma kwa mnyika. kuna wachangiaji wamesema wabunge wamepewa mkopo ebu tumuulize aliyesema kuwa mnyika kaingiziwa milioni 280 aseme kama kaona wabunge wengine nao wameingiziwa? maana kama ni mkopo kwa wabunge wote hata aliyewasilisha nadhani asingefanya hivyo
 
Sasa mbona umekuja juu? tulia watu waandike uone jinsi kijana wenu alivyo nae fisadi, niliisha wahi kusema humu ndani hakuna mtu msafi CDM hata mmoja, yataanza kujionyesha kwa mmoja baada ya mwingine, haya ya mnyika hayo sasa

unataka kuonesha kwamba "naye ni fisadi", haya mafisadi endeleen kutafuta wenzenu
 
Huu ni mchezo wa kitoto. Mpumbavu pekee ndiye anaweza kuamini kauli hizi. Na hii ndiyo style ya mapacha 3/mafisadi 3 kuchafua watu wengiiiiiiiii ili wapate nafuu. Ujinga wao ni kwamba nafuu wanayotaka si kuonekana wasafi, bali kwamba sio wachafu peke yao. Wanadhani hiyo ni falsafa ya kuwasaidia, kumbe ni fallacy ya kuwaangamiza. Kupata mil. 90 huo ni mkopo ambao wabunge wote wamepewa na watalazimika kuulipa. Pia hakuna ushahidi kuwa kila mbunge (hasa Mnyika) aliuchukua kwa kuwa ni hiyari ya mbunge. Hizo fedha nyingine pia hazina ushahidi, benki haitajwi (itaje ili watu wafuatilie), na sababu inayoeoelezwa haikubaliani na conclusion, kwa kuwa si kazi ya mbunge kutoa hiyo kazi mnayodai. Ungesema, ni mkurugenzi (wa serikali ya CCM au meya (wa CCM) tungekuelewa.

In the name of Ufisadi nothing is imposible. Some guys talk as if they are aware of every Mnyika's step and therefore to be sure of every thing a young man does.
Inaweza kuwa uongo, lakini ni mufilisi wa hoja kusema imetoka kwenye daladala, leta hoja kwa nini watu tusiamini!
Swali hilo linamhusu Mnyika moja kwa moja na ninajua yeye ni member hapa. Labda kwa nyie ambao mnafahamiana naye mjulisheni and let the man speak himself...
 
Sasa unataka tuanze kuamini JF ni ya Chadema. Hii thread haina matatizo yoyote na kama MODs wataifuta tutajiuliza maswali mengi. Mbona tumejadili habari nyingi sana zenye mwelekeo huu kwa viongozi wengine hasa wa CCM?

Kumbukeni JF ni jukwaa la watu wenye maoni na milengo tofauti. Mnyika mwenyewe hajakanusha iweje wengine mumsemehe?

Sasa naanza kuelewa kwanini watawala huwa wanaangamiza vyombo vya habari vinavyowapinga, hata wewe ungekuwa mtawala si ajabu ungefanya hivyo hivyo!




Bora mkaamini ni ya chadema kuliko kuzusha uongo makusudi ili kuchafua watu bila sababu. Wale wa 'kwenu' wanaosemwa hapa'hawazushiwi, i wachafu kweli
 
Mimi nadhani Tanzania tumechukua hatua ya kuingia utawala mpya wa Halmashauri za miji pasipo plan ya jinsi hizi Halamashauri zinatakiwa kuwa na kufanya kazi zake ndani ya mfumo huu mpya. Ni makosa yale yale ya kudandia Ubepari pasipo kufahamu unafanya kazi vipi na nini haramu zake.

Halmashauri za miji zote zinaendeshwa na wafanyabiashara, kazi ambazo halamashauri hizi zilitakiwa kufanya kazi kama sehemu ya pato lake wamezibinafsisha kwa watu binafsi ili wao wapokee fungu fulani..Wao kazi yao kubwa ni kuchukua fungu la mapato, hawana jukumu la kuhakikisha usafi wa mji, Usafiri, kufuatilia na kukusanya wao mapato ya parking, parks, viwanja vya michezo na kadhalika yaani hawana jukumu lolote zaidi kusubiri mwisho wa mwezi na kudai fedha zao.

Kila kitu nchini ni Ubinafsishaji tu hata Parks (garden) zetu zimebinafsishwa.. sasa mimi sielewi haswa nini kazi ya hizi Halamashauri zaidi ya kutoa vibali na kukaa maofisini wakisubiri kutoa tender na kukusanya mapato ambayo kwa uhalisia hupokea chini ya asilimia 20 ya mapato yote..Na wala sintashangaa kusikia Mnyika au Meya kapokea kitu kuipitisha tender hii kwa sababu Halmashauri zenyewe hazina majukumu zaidi ya kugawa tender, wao wamekaa maofisini wakifuatilia mapato ya mji. Na ndio maana watu wanajenga nyumba ktk maeneo ambayo hayajapimwa lakini wepesi sana kulaumu wizara nzima ya ujenzi inapotaka kuchukua hatua..
 
Mleta hoja hakuandika kama ni tetesi, na tetesi si tuhuma za kuchafua watu. Tunachotaka humu ni ushahidi au facts zinazoweza kutusaidia kupata ukweli. Kipindi cha daladala huwezo kukifuatilia kupata ukweli. labda kama wale wanaozungumza wanafahamika, wanahojiwa kwa undani ili kuthibitisha madai yao, pia akili ya mwandishi mwenyewe kutambua uwezekano wa tuhuma yenyewe. Hata awe Makamba, januari, ngeleja, tutadai hayo ili kila mtu apate haki yake

Mh! Mtoa mada sidhani kama tafiti yako ni ya kweli. Hivi kipindi cha daladala kinarushwa na ITV au TBC1?. Kuanzia hapo tu na mashaka sana na source of your information. Hivi unayajua majukumu ya mbuge na mipaka ya kazi yake? Huyo jamaa aliyempa hiyo fedha Mnyika kama ni kweli basi kampa kama zawadi sidhani kama hana akili kiasi hicho. Mbunge hausiki na kazi zilizo chini ya Halmashauri.
 
Whether Mnyika is a fisadi or not, I don't know. But I do know if these allegations were directed towards any CCM politician then the vibe of this thread would have been different. Leo hii kuna watu humu ndani wana kumbuka kuna kitu kinaitwa ushahidi? Mh! Kweli wanafiki si wanasiasa tu.
 
<p>
Jamani wana JF!</p>
<p>Ndio maana JF inaonekana ni CDM kwa kupinga kila kinachoibuliwa against CDM na kuunga mkono kila kinachohusu ccm, mngeambiwa J. Makamba kapewa hela na makampuni ya madini kusafirisha udongo wenye dhahabu nje ya nchi naamini mngeendelea kudodosa na kusaka ukweli na sio kumjibia kuwa hiyo ina mhusu waziri wa madini kama mnavyomjibia Mnyika sasahivi. Ingawa habari hiyo ni tetesi lakini source imetajwa kipindi cha daldala ingawa ushahidi zaidi katika hilo unahitajika na pia sio lazima kila tuhuma ijibiwe lakini ukimya pia unaleta hisia za kuwepo kwa viji chembechembe vya ukweli lakini pia watu huchokoza ili wapate kitu flani ndani yake. Tuvumiliane jamani tunapotofautiana.
</p>
<p>&nbsp;</p>
Najua mnaichukia CDM kwa mafanikio yani mtu chache wanakimbiza umati wa vilaza wa kijani na njano na washirika wenu,Acheni kumzushia huyu kijana wa watu,mbona hamji kutueleza fisadi dagaa ridhi1 ana kiasi gani kwenye account yake?kama wewe unakipenda chama cha magamba basi ujue una moja au zaidi ya haya kati ya mdini,mpambe wa mafisadi au kuadi wa afisadi....inasikitisha kuona midume mizima mnatumika kuja kuchafua watu halafu mnajiita Ma great thinkers.
 
Juzi nikiwa natizama kipindi cha daladala kinachorushwa na itv kila siku saa moja jioni.kuna tetesi mh. J.mnyika umechukua ela kutoka kwa magari ya maji taka ili yaendelee kumwaga maji taka hayo katika mabwawa ya kiwanda cha urafiki yaliyopo mabibo.je tuhuma hizi zina ukweli?tujulishe wapiga kura wako wa mabibo.

peleka haya mambo ya umbea kwenye facebook maana ndo jukwaa la wambea mambo yasiyo na msingi wala ukweli wowote
 
Mazungumzo ya akina bi Kiroboto unaona yanfaa kujadiliwa hapa jf!

Kwa heri!
 
Kijana ameingia kwa kasi sana kukamata mshiko, nasikia siku alipopewa ile cheki ya Tshs 90m alichanganyikiwa akaanza kutetemeka , kwani hakuamini kabisa kama angeweza kupata hela kama hizo

Hizi ni habari za ndani kabisa na za uhakika, na tena huyu dogo kwenye akaunti yake ameingiziwa Tshs 280m kwenye benki fulani, muulizeni amepewa na nani ? asije kuwa anatumiwa na mapacha 3

Sasa mbona umekuja juu? tulia watu waandike uone jinsi kijana wenu alivyo nae fisadi, niliisha wahi kusema humu ndani hakuna mtu msafi CDM hata mmoja, yataanza kujionyesha kwa mmoja baada ya mwingine, haya ya mnyika hayo sasa

Najua utatumia nguvu nyingi sana kum defend ila ukweli ndio huo, kijana nae ni fisadi

Juzi nikiwa natizama kipindi cha daladala kinachorushwa na itv kila siku saa moja jioni.kuna tetesi mh. J.mnyika umechukua ela kutoka kwa magari ya maji taka ili yaendelee kumwaga maji taka hayo katika mabwawa ya kiwanda cha urafiki yaliyopo mabibo.je tuhuma hizi zina ukweli?tujulishe wapiga kura wako wa mabibo.

No great thinker will waste a minute pondering on this topic.
 
Hizi ni habari za ndani kabisa na za uhakika, na tena huyu dogo kwenye akaunti yake ameingiziwa Tshs 280m kwenye benki fulani, muulizeni amepewa na nani ? asije kuwa anatumiwa na mapacha 3

Kwanini tumuulize yeye wakati unayesema hayo ni wewe?

Porojo za namna hii ni hatari kwa ustawi wa JF.Tatizo ni kwamba mods wetu wako bize na pilau la Pasaka.Kuachia upuuzi wa aina hii kunaweza kuigharimu JF pindi mhusika akidai amekashifiwa.Kama mnaotoa tuhuma mna hakika na mnachosema,kwanini basi msiweke wazi uthibitisho mlionao?
 
Hakuna ukweli wowote kuu ya hili hata kwa kuliangalia kwa haraka Mbunge ana mamlaka gani ndani ya jiji Kama sio Manispaa wakiongozwa na Mkirugenzi wa Manispaa husika?.Tuwekee jina la bank aliyowekewa,acount number na ilitoka kwa nani pia na kwa sbb gani hapo tutakuelewa tofauti na hayo utakuwa umetumwa na chama cha MAFISADI a.k.a magamba kuja kuchagua cv za watu.Myika Kama unapita humu embu fafanua juu ya tuhuma hizi pls
 
Kwanini tumuulize yeye wakati unayesema hayo ni wewe?

Porojo za namna hii ni hatari kwa ustawi wa JF.Tatizo ni kwamba mods wetu wako bize na pilau la Pasaka.Kuachia upuuzi wa aina hii kunaweza kuigharimu JF pindi mhusika akidai amekashifiwa.Kama mnaotoa tuhuma mna hakika na mnachosema,kwanini basi msiweke wazi uthibitisho mlionao?

Umeanza lini kuitaji vithibitisho mkuu?mbona Dr.Slaa kila siku anatoa tuhuma kwa watu bila kutoa vithibitisho na mnashangilia tu?
 
Hakuna ukweli wowote kuu ya hili hata kwa kuliangalia kwa haraka Mbunge ana mamlaka gani ndani ya jiji Kama sio Manispaa wakiongozwa na Mkirugenzi wa Manispaa husika?.Tuwekee jina la bank aliyowekewa,acount number na ilitoka kwa nani pia na kwa sbb gani hapo tutakuelewa tofauti na hayo utakuwa umetumwa na chama cha MAFISADI a.k.a magamba kuja kuchagua cv za watu.Myika Kama unapita humu embu fafanua juu ya tuhuma hizi pls

Siamini kama haujui kuwa mbunge ni diwani na mdau muhimu sana kwenye halmashauri na kwenye uwakilishi wa wananchi wake,na bila kumpooza (sijui lolote kwa Mnyika),mbunge anaweza kuharibu deal chafu liliofanywa kati ya mfanyabiashara mwovu na Halmashauri!!

Hivyo kama amepewa ni kwa ajili ya kumfunga mdomo wa kuibumburusha deal hiyo chafu (kama ni kweli).
 
Embu acheni uzushi wa kitoto, KWELI KAZI YA MSEKWA NA GAMBA JIPYA LA CCM tunaanza kuiona hapa JF, Lakini nawataadharisha MGUU MLIO INGILIA HAPA JF MTAUMUMIA HUOHUO KUTOKEA.
 
For once I thought like you. Why give a damn to senseless,idiotic,reckless accusations from mere rumour mongers who somehow found their way in this otherwise high profile medium for serious thinking beings!But then I'm compelled to drop a word.
Some demanded evidences to rumors basically picked from a semi-comedy TV program. I even don't see why this should qualify for a "rumour" in the true sense of the word. A gossip,...may be. Oxford dictionary defines gossip "as casual or unconstrained conversation or reports about other people, typically involving details which are not confirmed as true". In gossiping world (Ironically typically fielded by women,and no offense to them), you normally don't ask for evidences. Those consumed in it normally have that incredible fondness to the mere run of conversation for the sake of it,without bothering to think about the truth of the details.For them it makes their day.
My worry:
An insane person can take the gossip off the limits and pour it to the public. People will of-course ignore at the face of it. Some low minds might however buy it. While,soon enough the truth will come out, some harm will have already been inflicted to one in subject. Unfortunately this is an open forum and any body walking on two legs can post here. What made this forum stand out is the guts that different members had in bringing forth thoughts to ponder supported by telling evidences or at least, cases which could guarantee benefit of doubts. That's what brought JF where we are. And this is the reason this thread would long be put to death had I been a MOD. Freedom of speech,yes ,freedom of irresponsible gossips,NOT here!
Unparalled comparison:
Mudslinging politics (siasa za kupakana tope), what a shame, but they are always there. It's different,however,when some crooked fella using an anonymous ID chooses (or may be paid) to smear dirty on a popular personality with all the implications thereof. So this is a counter to Dr Slaa's list of shame? But we know him,and he did that in the open. If it's somehow not ok with anybody,let him go to court,simple!
Wito:
Mtu anayependa kusema akiishiwa hoja huwa hatari kidogo. Lakini pia kwa hali halisi ilivyo,kuna tishio la JF kuingiliwa na vurugu za namna nyingi wakati huu. Watoto wanaweza kununuliwa kuja humu kupiga kelele ili tusijadili mambo ya msingi. Tujiandae kuwaepuka. Wana haki ya kutoa maoni,lakini wana haki ya KUPUUZWA pia! Inawezekana!
Cant comment on siasa za majitaka kuhusu majiataka yahee:spy:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom