Aliyeasisi mpango wa kuiua Chadema kafa yeye na sasa yuko kuzimu anateseka,sasa haya masalia yake yanayoendeleza mpango mkakati huo na yenyewe kufa lazima yafe tena vifo vya mateso makali.Sio siri CCM wameivuruga CUF na kumuua Seif Sharif ila Maalim hakukubali kufariki baada ya siku tatu akafufukia ACT (Jesus of Zanzibar).
Sasa baada ya kushindwa na Maalim Seif (Marehemu) CCM wamekusudia kuiuwa Chadema na kuivunja nguvu wakiamini ,uwanja wa siasa utakuwa mwepesi.
Suali Je CCM wataweza ? Nikiiangali CHADEMA ,Mbowe ni mwepesi sana ndani ya siasa za CHADEMA kuna vigogo vya siasa na vinatisha vibaya sana na sijawahi kuwaona watu hawa wa Chadema kucheka cheka hovyo ,wapo kikatili zaidi kwa maana wapo tayari kwa mapambano ya kisiasa .
Inategemea msomaji ,labda niseme ule wakati wa CUF ,Marehemu Maalim Seifu alikuwa anatisha kuliko Lipumba na ndivyo ilivyo kwenye CHADEMA ,Mbowe ni Mwenyekiti hivyo huwa ni laini tu na ndivyo inavyobuniwa.Pa1 na kujifanya unabalance ili uonekane na ww umeandika uzi wa kuisifu chadema, lkn uzi huu utasuswa haraka sana kwa sababu ya kumdharau mfalme wao. Kitendo cha kusema Mbowe ni mwepesi afu ukawasifia wengine hapo tayar ushaharibu uzi wako. Nyumbu wanaamini chadema ni Mbowe na Mbowe ndio chadema.
Wala si mbaliTumlilieni Mungu na nina imani ndani ya kipindi kifupi atatutendea lililo jema.
Bure kabisa wewe,mlisema wakimtia nguvuni mwenyekiti wa chama Cha magaidi hakutakalika nchi hii,Leo Ni wiki ya pili Yuko rumande anakula na kulala kwa kupangiwa.Wafute tuone. Nani aliwadanganya CHADEMA ipo kwenye makaratasi ya msajili wa vyama
hivi kwa haya yanayoendelea unadhani nchi hii inatawalika ? hushangai mamaako kawa kiguu na njia ! unajua ni kwanini ?Bure kabisa wewe,mlisema wakimtia nguvuni mwenyekiti wa chama Cha magaidi hakutakalika nchi hii,Leo Ni wiki ya pili Yuko rumande anakula na kulala kwa kupangiwa.
Chadema ukifika Wakati wa kuifuta itafutwa na kusiwepo mtu wa kulalama.
Kweli kabisa, kama la 17th MarchTumlilieni Mungu na nina imani ndani ya kipindi kifupi atatutendea lililo jema.
Hiki Chama kila siku ni kulalamika tuuu, kimeshajifia chama chenyewe nani akifute tena Mara ya piliAkizungumza na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya nchi kwenye ofisi za Chadema Kinondoni, nje ya Jiji la Dar es Salaam, Katibu Mkuu huyo wa Chadema amesema yapo maandalizi ya kuifuta Chadema ili kuwaridhisha watu fulani ndani ya serikali.
Kinachosubiriwa ni timing tu, kwa maana ya wakati muafaka wa kufanya hivyo ili kupata kisingizio.
Hivyo Mh Mnyika amewaasa viongozi na wanachama wa Chadema kuwa waangalifu katika kipindi hiki ili kukwepa mtego uliowekwa na ofisi ya Msajili ikishirikiana na idara zingine.
Mungu ibariki Chadema
Mungu anashughuli nyingi, hawezi angaika na watu wasio jielewaTumlilieni Mungu na nina imani ndani ya kipindi kifupi atatutendea lililo jema.
Ndio mnavyo jidanganya , nenda kamtoa Mbowe kituoni ndio utajua hujuihivi kwa haya yanayoendelea unadhani nchi hii inatawalika ? hushangai mamaako kawa kiguu na njia ! unajua ni kwanini ?
Mnapenda kudanganyana nyie bavicha kaburi gani? Mbowe yuko mahabusi mmefanya nini zaidi ya kulalamika kama mke mdogoWameshajua kwamba kuchomoka hapa tulipo kwenye huu mkwamo wa kisiasa bila katiba mpya ni ngumu sasa kwa akili yao wanadhani njia rahisi ni kuifuta Chadema na hapo ndio wanajichimbia kaburi kabisa
Ingekuwa rahisi hivyo Mwendazake na ubabe wake wote alishindwa nini?Huyu mama asipotumia akili zake mwenyewe hafiki mbali,Na kama ni akili zake basi ajiandae sababu anaenda kushindwa vibaya.