Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,287
- 10,702
Kama ni mnyika, kwenye suala la maji amehangaika nalo sana, mnyonge mnyongeni haki zake mpeni, mnyika akiondolewa ubungo, wana ubungo watajuta daima.
Mkuu mimi nakaa Ubungo Mnyika forever Mnyika katusaidia sana kuhakikisha maji angalau mara moja au mbili kwa wiko yanatoka,tofauti na zamani unakaa miezi mitatu hakuna maji.Mnyika ni mpambanaji kuanzia Bungeni mpaka field huku uraiani.Mnyika katufungua macho,maji yasipotoka wapi pa kudai haki zetu.Kumbeza Mnyika ni sawa na Waisraeli waliomwambia Musa wamechoka kula mikate na kwale wanataka warudi utumwani Misri.Katu wanaUbungo hatupo tayari kurudiutumwani Misri.