Mnyika jimbo la Ubungo umeshalikosa

Mnyika jimbo la Ubungo umeshalikosa

ugali dagaa

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
1,277
Reaction score
1,121
Muheshimiwa wakati wa kampeni ya uchaguzi 2010 ulituahidi kuwa utamaliza kero ya maji Ubungo, tukakupa kura zetu. Tukakesha wote pale loyola kuhakikisha kura hazichakachuliwi, peoplez power tukalibeba na kulipindua gari la wizara ya mambo ya ndani wakati lilipolazimisha kuingia pale getini mimi Dar es salaam nimekuja mwaka 90 nilifikia Gongolamboto ambapo nakumbuka tulikuwa tunakunywa maji ya kisima na yenye chumvi.

Niliendelea kunywa maji ya chumvi mpaka mwisho wa miaka ya tisini ndiyo ilikuwa mwisho wa kunywa maji ya chumvi..leo karne ya 21 miaka 50 ya uhuru kwa mara ya kwanza na kunywa maji ya chumvi. Kweli tunasifu juhudi zako za kufichua maovu huko bungeni lakini kura zetu sahau. Umeshindwa kusoma alama za nyakati kwamba wakuu wamekuundia zengwe Ubungo pasipatikane maji ili uonekane hufanyi chochote. Ungeweza hata kuleta maji ya kununua kwenye malori tunge appriciate uwajibikaji wako sasa huku maji hakuna hata ya kununua hakuna. Ukipata ubunge 2015 walahi natembea uchi. "maana tumechoka sasa"
 
muheshimiwa wakati wa kampeni ya uchaguzi 2010 ulituahidi kuwa utamaliza kero ya maji ubungo, tukakupa kura zetu, tukakesha wote pale loyola kuhakikisha kura hazichakachuliwi, peoplez power tukalibeba na kulipindua gari la wizara ya mambo ya ndani wakati lilipolazimisha kuingia pale getini mimi Dar es salaam nimekuja mwaka 90 nilifikia gongo la mboto ambapo nakumbuka tulikuwa tunakunywa maji ya kisima na yenye chumvi, niliendelea kunywa maji ya chumvi mpaka mwisho wa miaka ya tisini ndiyo ilikuwa mwisho wa kunywa maji ya chumvi..leo karne ya 21 miaka 50 ya uhuru kwa maraya kwanza nakunywa maji ya chumvi....kweli tunasifu juhudi zako za kufichua maovu huko bungeni lakini kura zetu sahau....umeshindwa kusoma alama za nyakati kwamba wakuu wamekuundia zengwe ubungo pasipatikane maji ili uonekane hufanyi chochote......ungeweza hata kuleta maji ya kununua kwenye malori tunge appriciate uwajibikaji wako sasa huku maji hakuna hata ya kununua hakuna .....ukipata ubunge 2015 walahi natembea uchi......"maana tumechoka sasa"

illegal what?
 
Mtoa hoja hana hoja. Anaponda then anasifia. Kama wenye nchi hawataki kuleta maji Mnyika kosa lake nn? Mchague Mnyika 2015 wabinge wawe wengi ili shida zako na za wengine zitatuliwe haswa ambazo ccm wameshindwa kbs
 
muheshimiwa wakati wa kampeni ya uchaguzi 2010 ulituahidi kuwa utamaliza kero ya maji ubungo, tukakupa kura zetu, tukakesha wote pale loyola kuhakikisha kura hazichakachuliwi, peoplez power tukalibeba na kulipindua gari la wizara ya mambo ya ndani wakati lilipolazimisha kuingia pale getini mimi Dar es salaam nimekuja mwaka 90 nilifikia gongo la mboto ambapo nakumbuka tulikuwa tunakunywa maji ya kisima na yenye chumvi, niliendelea kunywa maji ya chumvi mpaka mwisho wa miaka ya tisini ndiyo ilikuwa mwisho wa kunywa maji ya chumvi..leo karne ya 21 miaka 50 ya uhuru kwa maraya kwanza nakunywa maji ya chumvi....kweli tunasifu juhudi zako za kufichua maovu huko bungeni lakini kura zetu sahau....umeshindwa kusoma alama za nyakati kwamba wakuu wamekuundia POLENI KWA KUKOSA MAJI UBUNGO, hata hivo wamlaumu mbunge huku ukimtetea! kama kaundiwa zengwe ni wajibu wako kuwawajibisha wao si yeye! au umeikopi toka tovuti ya majungu.com?
 
Maji yamemshinda sasa amehamia kwenye katiba..anatapatapa..atatukoma tunausongo nae yule tumbili we mwache tu!

matahira yanazidi kuongezeka jf! mwenzio alimwita kafulila tumbili unajua ameishia wapi? matumbili hawashindwi bali wezi ndo wanaumbuka
 
Huyu ubunge mbona hana muda tu nae anajua. Arudi ofisini wakagomanie ruzuku.
 
Mwezi sasa maji hayajatoka. Ila simlaumu yeye, nawalaumu wazee wa escrow
 
Pole sana ndugu sisi wananchi wa ubungo kwakweli tunajifunia kua na mbunge wa aina ya mnyika ambae haangalii masilahi ya ubungo pekee bali masilahi ya taifa kwa ujumla.Mnyika ni chaguo la mungu kijana huyu ameyatoa maisha yake hadi kuamua kusoma evening class kwa ajili ya mabadiliko ya nchi hii kwakweli,

Hao watawala wanambania kuleta maendeleo ubungo hasa ya maji ambayo ndio kero kubwa ya maji sababu za kisiasa kwani wao kikubwa wanacho jali ni idadi ya uwakilishi bungeni na si maendeleo kwa taifa kwa ujumla wake,watu kariba ya mnyika ni wanamapinduzi ambao serikari yoyote yenye kuendekeza vitendo vya kifisadi hawapendi kumsapoti kisiasa hasa maendeleo jimboni kwake au kwa wapiga kura ili asionekane yeye ni mtu safi,nachelea kusema kwamba mimi kama mwananchi wa ubungo tena kimara namsapoti sana mnyika kuwa sio tu mbunge bali hata waziri au Raisi kabisa.
 
Maji yamemshinda sasa amehamia kwenye katiba..anatapatapa..atatukoma tunausongo nae yule tumbili we mwache tu!

Hukumbuki hata yule anayeongoza kwa uongo serikali mwaka 2012 bungeni alisema(william lukuvi) alimpa saluti kwamba kati ya watu anaowakubali wanaotumia akili bungeni ni pamoja na mnyika ? Leo ww tu unaye kesha barabarani na kofia ya kijani umchukie mnyika inawezekana ww ni chizzi……
 
Swala la maji dar siyo ubungo pekeyake, ni dar karibia yote. Huko Gongo la mboto alipopataja au Ukonga nzima haina maji ya bomba... Hapa tukubaliane tatizo ni serikali yetu, uliza wilaya au majimbo yote ya dar yana maji, au wewe shida yako ipi kwa mh Mnyika? ??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom