Ndiho
JF-Expert Member
- Feb 23, 2013
- 2,306
- 1,536
Wewe jamaa unahitaji kuelimishwa. Kuna mambo umeyajaza kichwani mwako wakati hukutakiwa kuyaingiza humo.
Itafute ofisi ya Mbunge ili uelimishwe kazi za siasa na wanasiasa. Hiyo faida ya kuuza maji unayotaka Mbunge aipate wewe huihitaji? Kama wapiga kura ndiyo wa aina yako, basi nchi haitakaa ipate maendeleo.
William Lukuvi itabidi anunue malori 100 ili aweze kuwasaidia wananchi wa jimbo lake. Umeshusha Hadhi Ya Mbunge na vyema ukatengua kauli yako.