Mnyika jimbo la Ubungo umeshalikosa

Kama ni mnyika, kwenye suala la maji amehangaika nalo sana, mnyonge mnyongeni haki zake mpeni, mnyika akiondolewa ubungo, wana ubungo watajuta daima.

Mkuu mimi nakaa Ubungo Mnyika forever Mnyika katusaidia sana kuhakikisha maji angalau mara moja au mbili kwa wiko yanatoka,tofauti na zamani unakaa miezi mitatu hakuna maji.Mnyika ni mpambanaji kuanzia Bungeni mpaka field huku uraiani.Mnyika katufungua macho,maji yasipotoka wapi pa kudai haki zetu.Kumbeza Mnyika ni sawa na Waisraeli waliomwambia Musa wamechoka kula mikate na kwale wanataka warudi utumwani Misri.Katu wanaUbungo hatupo tayari kurudiutumwani Misri.
 
acha mm nipo makoka sasa ksrb mwezi
 
tatizo la maji ubungo ni la kitambo ambalo tuliahidiwa kuwa litatatuliwa ....majibu ya serikali mimi hayanihusu kwani ikiwa huyu mtu wa kawaida ameleta maji japo anatuuzia nashangaa mbunge aliyetuahidi anahangaika na mafaili bungeni anaongea mambo makubwa ambayo hayana athari chanya kwa mwananchi wa kawaida ukianza matusi knita mimi sina akili unakosea kwani mama yako jdo hana akili kwani alijinyea alipokuwa anakuzaa kwa kuwa amezoea kuliwa kabang

Mleta mada kama kweli unataka kumshutumu mbunge wako kwa haki basi ni vyema ukajifunza ili ujue majukumu ya mbunge na wajibu wake. Pia uwe mfuatiliaji wa mbunge wako anapokuwa bungeni. Mnyika huwa anapigia kelele swala la maji hapo Ubungo, utekelazaji wa serikali ndio tatizo.

Unaposema mbunge aanze kubeba maji awaletee..hapo sasa umewaza kwa kiwango kidogo sana cha kufikiri maana mbunge hastahili kuyafanya matatizo ya watu wake kuwa mtaji wa biashara. Na kama ulitaka awaletee bure..hili nalo linaonyesha ufinyu wa uelewa wa mambo.
 
Ivi juhudi zote zile za mnyika bado hafanyi kazi..basi kumbe nimeelewa kuna baadhi ya wananchi mna uelewa mdogo sana.mbunge hana kodi..mbunge ni muwakilishi wa wananchi na taifa kwa mambo ya kijimbo na taifa... miswaada ya maji mnyika kapeleka bungeni mara ngap unakumbuka ahadi alizopewa na.serikali..juzi alilamika kuwa rais alipanga wakutane wajadili suala la maji..hakuna mbunge anayefanya kazi kama mnyika..mi siyo chadema wala ukawa lakini mnyika ni jembe sana.wanaubungo mtafanya kosa kubwa sana kama ukirubuniwa na CCM kwa hoja ambazo kimsingi walibidi watekeleze wao..big up mnyika tunakuelewa kwa kazi yako kubwa.
I submit
 
Muheshimiwa wakati wa kampeni ya uchaguzi 2010 ulituahidi kuwa utamaliza kero ya maji Ubungo, tukakupa kura zetu. Tukakesha wote pale loyola kuhakikisha kura hazichakachuliwi, peoplez power tukalibeba na kulipindua gari la wizara ya mambo ya ndani wakati lilipolazimisha kuingia pale getini mimi Dar es salaam nimekuja mwaka 90 nilifikia Gongolamboto ambapo nakumbuka tulikuwa tunakunywa maji ya kisima na yenye chumvi.

Niliendelea kunywa maji ya chumvi mpaka mwisho wa miaka ya tisini ndiyo ilikuwa mwisho wa kunywa maji ya chumvi..leo karne ya 21 miaka 50 ya uhuru kwa mara ya kwanza na kunywa maji ya chumvi. Kweli tunasifu juhudi zako za kufichua maovu huko bungeni lakini kura zetu sahau. Umeshindwa kusoma alama za nyakati kwamba wakuu wamekuundia zengwe Ubungo pasipatikane maji ili uonekane hufanyi chochote. Ungeweza hata kuleta maji ya kununua kwenye malori tunge appriciate uwajibikaji wako sasa huku maji hakuna hata ya kununua hakuna. Ukipata ubunge 2015 walahi natembea uchi. "maana tumechoka sasa"

kwa hiyo kwa mawazo yako unadhani watu wote wataungana na wewe kuiba kura kama mlivyoungana kuziwia wizi wa kura. kwa maneno yako unaonyesha kabisa wewe ni gamba na ushindi wenu kwenye kura unategemea wizi
 
Kwa kweli nahisi mtoa mada katumwa na chama cha escrow!Tumpe Mnyika support kajitahidi sana kutatua hii kero ya maji!Huku golani tulikuwa hatuna maji ya uhakika ila asente Mnyika na Mungu akurehemu na tutakupigania kwani kwa sasa tumewekewa bomba na tunapata maji yasiyo na chumvi kwa sh100!Chama cha escrow kimeshika jimbo hili kwa miaka mingi lakn hawakufanya hili kwani walikuwa wanashindana kupiga madili ya kifisadi km EPA, RICHMOND, MEREMETA nk!!Pigana Mnyika na km vp ugombee urais kabisa
 
Alipoahidi kuleta maji hakulijua hilo?

acha unafiki kuwa mkweli mbele ya umma na Mwenyezi Mungu, je hujaona jitihada zozote za mnyika kuhusiana na maswala ya maji? je, kilio chake cha kuhusu maji ubungo hujakisikia? je anayestahili lawama ni
mnyika
dawasco
wizara ya maji
serikali

naomba jibu lako kwa kutumia evidence.

usipojibu kwa fact wewe ni mnafiki na kuwadi wa maisha ya watu
 
Muheshimiwa wakati wa kampeni ya uchaguzi 2010 ulituahidi kuwa utamaliza kero ya maji Ubungo, tukakupa kura zetu. Tukakesha wote pale loyola kuhakikisha kura hazichakachuliwi, peoplez power tukalibeba na kulipindua gari la wizara ya mambo ya ndani wakati lilipolazimisha kuingia pale getini mimi Dar es salaam nimekuja mwaka 90 nilifikia Gongolamboto ambapo nakumbuka tulikuwa tunakunywa maji ya kisima na yenye chumvi.

Niliendelea kunywa maji ya chumvi mpaka mwisho wa miaka ya tisini ndiyo ilikuwa mwisho wa kunywa maji ya chumvi..leo karne ya 21 miaka 50 ya uhuru kwa mara ya kwanza na kunywa maji ya chumvi. Kweli tunasifu juhudi zako za kufichua maovu huko bungeni lakini kura zetu sahau. Umeshindwa kusoma alama za nyakati kwamba wakuu wamekuundia zengwe Ubungo pasipatikane maji ili uonekane hufanyi chochote. Ungeweza hata kuleta maji ya kununua kwenye malori tunge appriciate uwajibikaji wako sasa huku maji hakuna hata ya kununua hakuna. Ukipata ubunge 2015 walahi natembea uchi. "maana tumechoka sasa"

Ngoja nikupe somo wewe. Mnyika atapata wapi hayo maji kama serikali sikivu ya CCM haiwajali wananchi wake? Hivi ni sehemu.gani Dar kuna maji.ya bomba? Kila kona ni maji ya maboza yanatumika. Hakuna cha waziri wala mbunge wa CCM anayejali. Waulize hawa wabunge wa CCM wa Dar kuna maji kwenye majimbo yao? Hakuna. Kwanini? Serikali haijali. Wao wana pesa ya kununua maji ya kwenye chupa kwa hiyo kwao siyo issue. Dawasco wanasema hawana pesa ya kuweka maboma mapya na kuondoa yale ya mkoloni. Sasa hapo Mnyika anakosa gani.badala ya kuikaba koo serikali unamlalamikia Mnyika. Hiki ni kituko cha karne.
 
Wewe unaishi ubungo ipi au chini ya bahari
 
achana nao hao wanafiki na kuwadi wa maisha ya watu. inasikitika kuona kijana anashikiwa akili na mtu.yaani wanamacho lakini..................., wana masikio lakini...................,wanamidomo lakini....................,wamesoma lakini.....................,.....................
 
Muheshimiwa wakati wa kampeni ya uchaguzi 2010 ulituahidi kuwa utamaliza kero ya maji Ubungo, tukakupa kura zetu. Tukakesha wote pale loyola kuhakikisha kura hazichakachuliwi, peoplez power tukalibeba na kulipindua gari la wizara ya mambo ya ndani wakati lilipolazimisha kuingia pale getini mimi Dar es salaam nimekuja mwaka 90 nilifikia Gongolamboto ambapo nakumbuka tulikuwa tunakunywa maji ya kisima na yenye chumvi.

Niliendelea kunywa maji ya chumvi mpaka mwisho wa miaka ya tisini ndiyo ilikuwa mwisho wa kunywa maji ya chumvi..leo karne ya 21 miaka 50 ya uhuru kwa mara ya kwanza na kunywa maji ya chumvi. Kweli tunasifu juhudi zako za kufichua maovu huko bungeni lakini kura zetu sahau. Umeshindwa kusoma alama za nyakati kwamba wakuu wamekuundia zengwe Ubungo pasipatikane maji ili uonekane hufanyi chochote. Ungeweza hata kuleta maji ya kununua kwenye malori tunge appriciate uwajibikaji wako sasa huku maji hakuna hata ya kununua hakuna. Ukipata ubunge 2015 walahi natembea uchi. "maana tumechoka sasa"

Wewe bwabwaja tu. Lakini Mnyika ni jembe na hatuliachii hata chembe. Tunajua uwezekano wa kutupatia maji safi Dar umeshikiliwa na chama cha mafisadi. Kwani sehemu mnazoshikilia ccm kama ilala, temeke, kigamboni etc kuna maji ya uhakika? Tutolee uharo kwenye JF yetu, ukaupeleke huko ccm.
 
mbunge sio mtendaji....yeye anasema pale penye tatizo na anaiachia serikali ifanye kazi yake sasa serikali haifanyi kazi kwasababu ya kisiasa kwani wakifanya wanaona watampa crdt mnyika.......
 
Hukumbuki hata yule anayeongoza kwa uongo serikali mwaka 2012 bungeni alisema(william lukuvi) alimpa saluti kwamba kati ya watu anaowakubali wanaotumia akili bungeni ni pamoja na mnyika ? Leo ww tu unaye kesha barabarani na kofia ya kijani umchukie mnyika inawezekana ww ni chizzi……

Umesahau suruali nyeusi yenye viraka.
 
yaani mimi (mlete mada ) siongelei kwa ushabiki wa chama nazungumzia ahadi alizozitoa huyu mheeshimiwa mpaka tuka mpa kura zetu, tukakesha naye pale loyola, tukalivunja vunja gari la wizara ya mambo ya ndani kwa imani kuwa lilikuwa limejakuharibu matokeo.....leo ni mwezi wa pili ubungo tunanunua maji ndoo sh 1000 tena hapa mtaani kwetu kuna tajiri mmoja ndio analeta kwenye malori...vinginevyo utatumia ya chumvi sasa kama huyu tajiri wa hapa mtaani pamoja na kwamba anatuuzia maji lakini amekuwa msaada mkubwa sana yeye sio mwanasiasa Mnyika mwenye jimbo lako umeshindwa kweli kutafuta lori kumi za maji hata ukawa unatuuzia kwa sh 500 kwanza utapata faida pili utatuletea ahueni kwenye hili swala la maji, mchango wako bungeni ni mkubwa lakini jimboni hamna anayekuelewa...unahangaika na mambo makubwa mara katiba mara ufisadi wakati jimboni hamna
maji...watakuuua bure..kuwa mbunifu nunua malori kumi ya maji pitisha mitaani uzia wananchi kwa bei nafuu kidogo kwanza utapata faida kisha watu tunaweza kurudisha imani.

Huna lolote. Wewe ni kati ya wale mnaolipwa shillingi kutwa ili mbwabwaje habari za chama chenu kilichokwisha nuka. Kwani nchi hii ubungo tu ndo hatuna maji. Umesahau kuwa maji ni kilio cha nchi nzima. Hayo malori ya maji unayoyataka si ukawaulize mafisadi wa escrow, au angalau ikulu basi.kwa sababu inawezekana kabisa hela zake ndo tumetumia kutibu tezi dume la mtu mmoja, wakati KWETU mheza wanayachomoa na kesho yake mtu unakwea mnazi.
 
Mkuu ata mimi nahitaji kufanya hii kazi naskia ni buku saba....plz naombeni connection nina matusi mengi juu ya chadema na viongozi wake pamoja na wabunge wake
 
Tumia akili yako vizuri..lukuvi anaishi jimbo la mnyika? Lukuvi anateseka na shida ya maji kama sisi?..nakwambia hivi mnyika harudi tena bungeni abaki huko huko huku asikanyage tena tutamsulubu vibaya sana..anashinda kwenye vyombo vya habari tu wakati sisi hatuna maji? Anamuwakilisha nani bungeni?

Inawezekana napiga stori na mtu wa standard seven kama hujui hata kwamba myika kura alizoshida ubungo haxijawahi tokea kaa kimya.
 
Pole sana ndugu sisi
wananchi wa ubungo kwakweli tunajifunia kua na mbunge wa aina ya mnyika
ambae haangalii masilahi ya ubungo pekee bali masilahi ya taifa kwa
ujumla.Mnyika ni chaguo la mungu kijana huyu ameyatoa maisha yake hadi
kuamua kusoma evening class kwa ajili ya mabadiliko ya nchi hii
kwakweli,

Hao watawala wanambania kuleta maendeleo ubungo hasa ya maji ambayo ndio
kero kubwa ya maji sababu za kisiasa kwani wao kikubwa wanacho jali ni
idadi ya uwakilishi bungeni na si maendeleo kwa taifa kwa ujumla
wake,watu kariba ya mnyika ni wanamapinduzi ambao serikari yoyote yenye
kuendekeza vitendo vya kifisadi hawapendi kumsapoti kisiasa hasa
maendeleo jimboni kwake au kwa wapiga kura ili asionekane yeye ni mtu
safi,nachelea kusema kwamba mimi kama mwananchi wa ubungo tena kimara
namsapoti sana mnyika kuwa sio tu mbunge bali hata waziri au Raisi
kabisa.
Kwa Mnyka ni siasa ila kwa Muhongo aaa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom