Maramla
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 588
- 648
Tuliuza humu jf upatikanaji wa Mnyika jimboni,tukajibiwa yuko bize na mambo ya kitaifa zaidi kuliko jimbo! hivyo nadhani tuchague mtu ambaye hatakua bize sana ili tumpate mara kwa mara. Ni hayo tu.
Asante kaka hapo nimekuelewa hivi ndivyo kijana anatakiw kuwa