Scofied
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,456
- 1,692
watanzania bado sana....hatujui hata wap pa kudai haki zetu za msingi...CCM ndo adui wetu namba moja Wa maendeleo ya nchi hii....juzi nilipokuwa namsikikiza le profeseee akiongea na wazee sijui Wa dar niliumia moyo sana kwa sababu hata Mwenyekiti wangu Wa kitongoji anahoja kuliko alichokuwa anakizungumza na kujichekesha pale...mleta mada ebu tafakari je hizo bilioni za escrow walizoiba zingetosha kusambaza Maji mikoa mingap ya Tanzania..!!? je kweli uoni juhudi za mnyika na wabunge Wa upinzani kukutetea na kutetea watanzania bungeni kuhusu Maji na mengine? binafsi nimejiapiza na familia Yangu na naenda zaidi ya familia Yangu kuamasisha kujiandikisha na kupigia kura upinzani kuwatoa hawa majizi na intarahamwe Wa Tanzania.