Mnyika jimbo la Ubungo umeshalikosa

Mnyika jimbo la Ubungo umeshalikosa

Wewe kwanza siyo mpigakura na ni fwata upepo tu. Jimbo atalichukua tu.

ww unayesema atalichukua tuu ..una uhakika gani na hilo.

je ww ni mpiga kura au shabiki wa chama.

unasngalia vigezi kupiga kura .
 
Naamini mleta hoja kaileta kwa nia njema ya kuonyesha mapungufu ili kupata ufumbuz japo naona wadau wengi wanaonekana kumshambulia ila ni kweli ubungo kuna shida kubwa ya majisafi huku mhe.mbunge akionekana kuwa mbali sana.

mimi pia naamini mhe.mnyika asipokomaa na ishu ya upatikanaji wa majisafi itakuwa ni moja ya vitu vitakavyo athiri ushindi.
 
Kwa uwezo mkubwa wa akili za mnyika naamini hata mto ruvu anaweza kuupa mkondo ili uje upitie ubungo tusaze maji.ila huyu waziri MAGEMBE na SERIKALI KUU ndio mzigo sana kwenye bajeti ya maji.Maghembe alipendelea jimbo lake la mwanga kwenye bajeti ya maji,tulichofanya sasa hivi ni kumpa mnyika serikali za vijiji nyingi zaidi.tumegundua kua mbunge anapata ugumu sana kufanya kazi anapokuwa na watu wa ccm.tumemuongezea serikali za vijiji.Mimi hapa mtaani Mbunge wangu ni mnyika,Diwani cdm,m/kiti serikali za mitaa cdm,balozi cdm.ubungo ni kwaajili ya wapinzani.
 
Na kweli tibaijuka na chenge wana uwezo wakuto bomba toka ruvu, kila nyumba inapata maji ya kutosha kila siku.
 
Ni sehemu gani UBUNGO hakuna maji hata ya kusombwa kwa magari?

Acha udhaifu!
 
huku ubungo msewe mbona jana maji yametoka...na hata yasipotoka kuna magari yanaleta kila siku
 
muheshimiwa wakati wa kampeni ya uchaguzi 2010 ulituahidi kuwa utamaliza kero ya maji ubungo, tukakupa kura zetu, tukakesha wote pale loyola kuhakikisha kura hazichakachuliwi, peoplez power tukalibeba na kulipindua gari la wizara ya mambo ya ndani wakati lilipolazimisha kuingia pale getini mimi Dar es salaam nimekuja mwaka 90 nilifikia gongo la mboto ambapo nakumbuka tulikuwa tunakunywa maji ya kisima na yenye chumvi, niliendelea kunywa maji ya chumvi mpaka mwisho wa miaka ya tisini ndiyo ilikuwa mwisho wa kunywa maji ya chumvi..leo karne ya 21 miaka 50 ya uhuru kwa maraya kwanza nakunywa maji ya chumvi....kweli tunasifu juhudi zako za kufichua maovu huko bungeni lakini kura zetu sahau....umeshindwa kusoma alama za nyakati kwamba wakuu wamekuundia zengwe ubungo pasipatikane maji ili uonekane hufanyi chochote......ungeweza hata kuleta maji ya kununua kwenye malori tunge appriciate uwajibikaji wako sasa huku maji hakuna hata ya kununua hakuna .....ukipata ubunge 2015 walahi natembea uchi......"maana tumechoka sasa"

wewe kura yako mimi ntaifidia kwa hiyo haina athari kwa mnyika
 
Maji yamemshinda sasa amehamia kwenye katiba..anatapatapa..atatukoma tunausongo nae yule tumbili we mwache tu!

Hapa mirembe tunahuduma za watu kama wewe ningefurahi kukutibu.kwajinsi hali yakoilivyo ningekudunga sindano za psychophysiarilts immerdiately kwenye kichwa.karibu sana
 
Hivi mnyika ni waziri wa maji? Hivi mnyika ni mkurugenzi wa dawasa? Mleta mada tumia mbongo ako poa
 
Mnyika alisema ataleta maji imekuwaje mbona mnakimbia hoja?

Mjepo acha kujizalilisha mkuu usipende kuwakwaza watu kama unachangia changia kwa hoja mkuu sio kuleta vioja maana kila ninapopita naona unaharibu nyuzi za watu kuwa mstaarabu kdg dada yangu km hizo buku 7 utapewa.kama mada huipendi unapita kimya waache wenye maslahi nayo wachangie ni kama unaleta tu vurugu jukwaani mkuu ni ushauri tu
 
Leo sikukuu watu wa Ubungo hatujaoga maji hakuna kabisa Mnyika yuko Moshi anakula bata tu akirudi tutampopoa mawe
 
muheshimiwa wakati wa kampeni ya uchaguzi 2010 ulituahidi kuwa utamaliza kero ya maji ubungo, tukakupa kura zetu, tukakesha wote pale loyola kuhakikisha kura hazichakachuliwi, peoplez power tukalibeba na kulipindua gari la wizara ya mambo ya ndani wakati lilipolazimisha kuingia pale getini mimi Dar es salaam nimekuja mwaka 90 nilifikia gongo la mboto ambapo nakumbuka tulikuwa tunakunywa maji ya kisima na yenye chumvi, niliendelea kunywa maji ya chumvi mpaka mwisho wa miaka ya tisini ndiyo ilikuwa mwisho wa kunywa maji ya chumvi..leo karne ya 21 miaka 50 ya uhuru kwa maraya kwanza nakunywa maji ya chumvi....kweli tunasifu juhudi zako za kufichua maovu huko bungeni lakini kura zetu sahau....umeshindwa kusoma alama za nyakati kwamba wakuu wamekuundia zengwe ubungo pasipatikane maji ili uonekane hufanyi chochote......ungeweza hata kuleta maji ya kununua kwenye malori tunge appriciate uwajibikaji wako sasa huku maji hakuna hata ya kununua hakuna .....ukipata ubunge 2015 walahi natembea uchi......"maana tumechoka sasa"

Anapewa vikwazo na wizara ya maji, huyu mbunge namfagilia sana. Dar imekuwa sugu
 
wewe kura yako mimi ntaifidia kwa hiyo haina athari kwa mnyika

Hata mimi nitaifidia badala ya kupigia kura ccm nahamia chadema! Mijizi mikubwa imeiba mabilioni ya fedha aaf inajitetea si za umma!
 
muheshimiwa wakati wa kampeni ya uchaguzi 2010 ulituahidi kuwa utamaliza kero ya maji ubungo, tukakupa kura zetu, tukakesha wote pale loyola kuhakikisha kura hazichakachuliwi, peoplez power tukalibeba na kulipindua gari la wizara ya mambo ya ndani wakati lilipolazimisha kuingia pale getini mimi Dar es salaam nimekuja mwaka 90 nilifikia gongo la mboto ambapo nakumbuka tulikuwa tunakunywa maji ya kisima na yenye chumvi, niliendelea kunywa maji ya chumvi mpaka mwisho wa miaka ya tisini ndiyo ilikuwa mwisho wa kunywa maji ya chumvi..leo karne ya 21 miaka 50 ya uhuru kwa maraya kwanza nakunywa maji ya chumvi....kweli tunasifu juhudi zako za kufichua maovu huko bungeni lakini kura zetu sahau....umeshindwa kusoma alama za nyakati kwamba wakuu wamekuundia zengwe ubungo pasipatikane maji ili uonekane hufanyi chochote......ungeweza hata kuleta maji ya kununua kwenye malori tunge appriciate uwajibikaji wako sasa huku maji hakuna hata ya kununua hakuna .....ukipata ubunge 2015 walahi natembea uchi......"maana tumechoka sasa"

Mleta mada naomba unijibu swali moja rahisi sana, hivi kwa mfano boss wa baba yako akimnyima mshahara baba yako kwa madhumuni ya kutaka kumkomoa ili familia yenu isipate japo hata milo mitatu kwa siku na ni haki yake kupata huo mshahara utamlaumu baba yako au boss wa. Baba yako..?? Na hapohapo kwenye thread yako umekiri kuwa kuna mizengwe inafanywa na wakubwa ili jimbo lenu la ubungo likose maji makusudi ,ili mnyika akose jimbo hilo wewe utakuwa huna akili sawasawa . Kumbuka kuna mbunge ambaye yupo kwa ajili ya wananchi pia kumbuka kuna waziri mwenye dhamani husika je waziri kajibu nini juu ya tatizo la maji ubungo..?? Pia manispaa kama yenyewe haijui kuwa ubungop kuna tatizo la maji..?? Je kama mbunge wako alishalipeleka hili swala hadi juu na wanampiga chenga lawama apewe nani..?? Fikilia kidogo ndugu sio unaamua maamuzi ya haraka tu.
 
umesema kweli...jamaa kajisahau sana..maji ubungo ni shida kupita maelezo..
 
mnyika ni bwalamaji.kodi yako unampaga mnyika mgonjwa wa fikra.kawapopoe CCM wanaotongozea kodi yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom