Tanzania ya kesho itakuwa salama kama fikra za vijana za kama kina: Mnyika, Zitto, Mwigulu, January, Kingwangwala, Nape, Mchambuzi, Yericko na Saanane (minus fitna zao ao wawili wa mwisho) zitakuwa ushawishi wa kutafsiri siasa kwa vijana wanaotaka kufanya siasa.Baada ya Zitto aliyetarajiwa kupewa uwenyekiti 2020 ..kwa uhakika kabisa Mnyika Ndio future leader wa Upinzani nchini ......na wengine Kama Kina dogo Janja ..wenje etc
Nadhani ungeanza na Zitto Kabwe maana ni mbunge pekee katika bunge linaloendelea aliyepeleka hoja nyingi bungeni zenye masilahi kwa taifa na kupelekea mawaziri na viongozi kadhaa kujiuzuru kwa nyakati tofauti katika kipindi chake cha miaka 10 bungeni.
Hata suala la ESCROW ambalo CDM wamelitumia sana kujiuza kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, Mnyika alikuwa wapi wakati Kafulira na Zitto wanahangaika nalo na CAG! CDM walikuja kudandia na kutaka eti kutoka bungeni baada ya kuona hiyo issue inaweza kuwa boost kisiasa!
Wabunge wanatunga sheria au wanajadilli na kupigia kura sheria zilizotungwa na wataalamu wa sheria? Hilo la kusema wabunge wanatunga sheria ni tu kuwapa kilemba cha ukoka na wao wajisikie wamo.Lakini hana kitu.Serikali kupitia wanasheria wake hutunga sheria na kuipeleka bungeni kujadiliwa na kupiga kura.
Mnyika atunge sheria jamani pana kichwa cha kutunga sheria pale ukiangalia kale ka kichwa ka Mnyika?
Au Mbunge Sugu anaweza tunga sheria yule?

Hoja ni ya Kafurila fine, huyo Mnyika mnayemsema alikuwa wapi? Afterall Kafurila mlimfukuza CDM mkisema ni sisimizi tu! Aliyeagiza CAG kuchunguza suala la ESCROW ni PAC ambayo ilikuwa inaongozwa na Zitto na ripoti ya PAC ndio iliyowaondoa mawaziri na kupelekea baadhi kuhojiwa na tume ya maadili
Hata kama document zinatoka kwa watu wa serikalini, mbona hawakuzipeleka kwa Mnyika, Mbowe au Lissu?
Wabunge wanatunga sheria au wanajadilli na kupigia kura sheria zilizotungwa na wataalamu wa sheria? Hilo la kusema wabunge wanatunga sheria ni tu kuwapa kilemba cha ukoka na wao wajisikie wamo.Lakini hana kitu.Serikali kupitia wanasheria wake hutunga sheria na kuipeleka bungeni kujadiliwa na kupiga kura.
Mnyika atunge sheria jamani pana kichwa cha kutunga sheria pale ukiangalia kale ka kichwa ka Mnyika?
Au Mbunge Sugu anaweza tunga sheria yule?
principally the man with topic has mentioned on Mnyika not being qualified but competent more than those who are qualified.Learn to criticize sensible affairs you should not erupt on objecting matters which are clearly identified.who has mention on Mnyika being qualified?Watunga sheria wanaitwa learned brothers and Sisters huyo mnyika hata degree hana.Acha kudhalilisha fani ya wanasheria.
Kwako msomi ni yule aliye kaa sana darasani kama Chenge, tibaijuka,.........Watunga sheria wanaitwa learned brothers and Sisters huyo mnyika hata degree hana.Acha kudhalilisha fani ya wanasheria.
Naomba niseme tu,mh.Mnyika ni mbunge bora katika utungaji wa sheria katika bunge letu.
Tuna mawaziri na wabunge wasomi lakini Mnyika japo hana elimu kama wao,ame-prove to be the best lawmaker.
Huyu mh. ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja na kutetea hoja zake katika upitishaji wa vifungu vya sheri ila wingi wa wabunge wa CCM ndio kikwazo cha nchi hii kupata sheria bora.
Kwakweli he is very impressive awapo ndani ya bunge.
Ningekuwa na uwezo,huyu mh.ningemzawadia gari "brand new".
Tujenge utamaduni wa ku-pick the best legislator na kuwapa tuzo ili kuwatia moyo wabunge wanaotambua wajibu wao kwa umma.
Kwa wanaofuatulia bunge wataukubaliana na mimi ila kwa wale wenye wivu,wataleta hapa kejeli na siasa tu and nothing else.

Umeshasema PAC, hiyo ni kamati ndugu,si Zitto peke yake, wale 19 wangegoma hakuna kilichofanyika. Hoja ya Escrow bila wabunge wote wa Upinzani ingekuwa mvuke na ingepotea hewani,jifunze uelewe na kuelimika. Report mbalimbali za mashirika yanayotathmini mabunge, zinamtaja Mnyika kuwa Mbunge pekee mwenye Mchango Mkubwa Bungeni kuliko mbunge mwingine yeyote,na sio kwa idadi ya hoja tu,bali hoja zenye Maslahi mapana kwa Taifa hili. Zitto ana Mchango wake na Unaheshimika,lakini je!ndiye mbunge pekee aliyefukuzisha Mawaziri?
Pamoja na mahaba uliyonayo kwa Zitto, huna budi kukubaliana na Ukweli uliopo, na uwe reasonable.
Watunga sheria wanaitwa learned brothers and Sisters huyo mnyika hata degree hana.Acha kudhalilisha fani ya wanasheria.