Mkuu Salary Slip, asante kwa kuliona hili!. Kumbe nyota JJ Mnyika wewe ndio umeiona leo?!. Hebu pitia hapa uangalie sisi wenzio tuliona lini na uangalie tarehe ya post, ulinganishe ilikuwa ni siku ngapi kabla ya uchaguzi!, yaani tulimuona hata kabla hajawa mbunge!. JJ. Myika, Ubungo Yako, Njia Nyeupe!.
Pasco
Mkuu Umkonto, UmkhontoweSizwe, utakuwa humjui vizuri JJ. Mnyika!, he is one of the very few fine and the good ones Chadema has!. JJ. Mnyika is very good kwenye data collection ila sio kwenye kushindilia misumari, ili Mnyika afanye vizuri he needs a team mzuri to play with, kwa sasa team play hiyo haipo Chadema!. Zamani JJ. Mnyika akiwa Bungeni huku Zitto Kabwe, kule Tundu Lissu, Mnyika ataibua hoja full of dataz, Zitto ambaye ni mjenga hoja mzuri, ataiongezea momentum kisha Lissu ambaye ni mlipuaji mzuri, atabutua!, Spika chali!. Hata mfugaji mzuri wa ambao, hawezi kufunga kama hakuna mtu wa kumpelekea mipira ya kubutua na kufunga mabao!.Mkuu, ukipata nafasi kiambie chama kuwa JJ siyo mtu mwenye charisma au mvuto wa public speaking, anafaa zaidi kufanya kazi za ofisini na kufuatilia masuala ya utekelezaji wa maazimio ya chama. Mtu anayefaa kutoa somo la hadharani ni mtu mwenye mvuto kusikilizwa, kwa hiyo chama kitafute mtu wa aina hiyo. JJ hana huo mvuto.
Mkuu Kishina cha Mshahara, Salary Slip, wakati wengine mnamsifu huyu mtu, wengine wanamponda!.Naomba niseme tu,mh.Mnyika ni mbunge bora katika utungaji wa sheria katika bunge letu.
Tuna mawaziri na wabunge wasomi lakini Mnyika japo hana elimu kama wao,ame-prove to be the best lawmaker.
Huyu mh. ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja na kutetea hoja zake katika upitishaji wa vifungu vya sheri ila wingi wa wabunge wa CCM ndio kikwazo cha nchi hii kupata sheria bora.P
Kwakweli he is very impressive awapo ndani ya bunge.
Ningekuwa na uwezo,huyu mh.ningemzawadia gari "brand new".
Tujenge utamaduni wa ku-pick the best legislator na kuwapa tuzo ili kuwatia moyo wabunge wanaotambua wajibu wao kwa umma.
Kwa wanaofuatulia bunge wataukubaliana na mimi ila kwa wale wenye wivu,wataleta hapa kejeli na siasa tu and nothing else.
Mkuu Umkonto, UmkhontoweSizwe, utakuwa humjui vizuri JJ. Mnyika!, he is one of the very few fine and the good ones Chadema has!. JJ. Mnyika is very good kwenye data collection ila sio kwenye kushindilia misumari, ili Mnyika afanye vizuri he needs a team mzuri to play with, kwa sasa team play hiyo haipo Chadema!. Zamani JJ. Mnyika akiwa Bungeni huku Zitto Kabwe, kule Tundu Lissu, Mnyika ataibua hoja full of dataz, Zitto ambaye ni mjenga hoja mzuri, ataiongezea momentum kisha Lissu ambaye ni mlipuaji mzuri, atabutua!, Spika chali!. Hata mfugaji mzuri wa ambao, hawezi kufunga kama hakuna mtu wa kumpelekea mipira ya kubutua na kufunga mabao!.Mkuu, ukipata nafasi kiambie chama kuwa JJ siyo mtu mwenye charisma au mvuto wa public speaking, anafaa zaidi kufanya kazi za ofisini na kufuatilia masuala ya utekelezaji wa maazimio ya chama. Mtu anayefaa kutoa somo la hadharani ni mtu mwenye mvuto kusikilizwa, kwa hiyo chama kitafute mtu wa aina hiyo. JJ hana huo mvuto.
Unachanganya pumba na mchele katika hoja zako na tatizo ni U-CCM wako. Be objective brother.Mkuu Umkonto, UmkhontoweSizwe, utakuwa humjui vizuri JJ. Mnyika!, he is one of the very few fine and the good ones Chadema has!. JJ. Mnyika is very good kwenye data collection ila sio kwenye kushindilia misumari, ili Mnyika afanye vizuri he needs a team mzuri to play with, kwa sasa team play hiyo haipo Chadema!. Zamani JJ. Mnyika akiwa Bungeni huku Zitto Kabwe, kule Tundu Lissu, Mnyika ataibua hoja full of dataz, Zitto ambaye ni mjenga hoja mzuri, ataiongezea momentum kisha Lissu ambaye ni mlipuaji mzuri, atabutua!, Spika chali!. Hata mfugaji mzuri wa ambao, hawezi kufunga kama hakuna mtu wa kumpelekea mipira ya kubutua na kufunga mabao!.
Enzi zile wakati PPR ilikuwa ni PPR kweli, wakati vikao vya Bunge vikiendelea Dodoma, nikapenyezewa dossier fulani vyeti, kesho yake nilikwea the first flight to Dodoma, kumfuata JJ. Mnyika kumkabidhi Gesi asili: Is it "day light robbery?" Watanzania tunaibiwa mchana kweupe!
Hata ule moto ambao Tundu Lissu huwa anawasha Bungeni from time to time, the data collector ni JJ Mnyika!, ilifikia kipindi tulimuomba Lissu apunguze kumpelekea moto Madam Speaker, Mhe. Tundu Lissu, Please Acha Kumsulubu Spika Wetu! Unammaliza Kabisa Hadi Ameshindwa Kazi!.
Kwenye uchaguzi Mkuu wa 2010 JJ Mnyika ndie alikuwa mgombea wa kwanza kujihakikishia ushindi na aliyeutangaza ushindi wa JJ Mnyika sio mwana jf mwingine bali ni huyu huyu Elections 2010 - Mchakato Majimboni: JJ. Myika, Ubungo Yako, Njia Nyeupe
JJ Mnyika is damm good!, but hana team work nzuri to play with na kwa maoni yangu Chadema hii haina team work, angalia hapa Lissu anavyowaita viongozi wenzake Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?
Kiukweli kabisa uchaguzi wa 2025 upinzani wana kazi kweli kweli to regain back the control of what it used to have!.
P