Mnyika is the most brilliant lawmaker!

Mnyika is the most brilliant lawmaker!

Mnyika leo alikuwa anamwaga madini wabunge wa CCM idiotically wakawa wanapitisha miswada kwa speed ya hatari sijui walikuwa wanawahi wapi ?

Nashukuru kuona wengi tuko pamoja katika hili hasa mliofuatilia bunge siku ya leo na siku za nyuma.
 
hatuna maji mpaka leo,atufanyie mpango wa maji kwanza

Maji umeshindwa kuwadai ccm waliotawala ubungo kwa zaidi ya miaka hamsini unakuja kumdai Mnyika ambae ana miaka minne tu, we ni chizi hauko rational
 
Ridhiwan Kikwete ndie aliekuwa mbele kuhoji elimu ya Mnyika. Sasa naona kama anapwaya!
 
Nadhani ungeanza na Zitto Kabwe maana ni mbunge pekee katika bunge linaloendelea aliyepeleka hoja nyingi bungeni zenye masilahi kwa taifa na kupelekea mawaziri na viongozi kadhaa kujiuzuru kwa nyakati tofauti katika kipindi chake cha miaka 10 bungeni.

Hata suala la ESCROW ambalo CDM wamelitumia sana kujiuza kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, Mnyika alikuwa wapi wakati Kafulira na Zitto wanahangaika nalo na CAG! CDM walikuja kudandia na kutaka eti kutoka bungeni baada ya kuona hiyo issue inaweza kuwa boost kisiasa!

Zitto binafsi pia namkubali miongoni mwa best mp's and l can put him infront of Mh. Mnyika. Lakin ndugu yangu umejibu kishabiki bila kuheshim michacho ya mh. Mnyika ambayo pia imemfanya watu wamuone kuwa naye ni best Mp. Sio kila mda ni wa kushindanisha watu tuuuuuuu. Kila mtu tumuheshimu kwa uwezo wake
 
principally the man with topic has mentioned on Mnyika not being qualified but competent more than those who are qualified.Learn to criticize sensible affairs you should not erupt on objecting matters which are clearly identified.who has mention on Mnyika being qualified?
nadhani ni busara kuelewa hoja ya mtoa hoja sio kwakua unaweza kureply post basi ukajikuta unaandika hata mambo yasiyo na mantiki.mtuma topic kazungumzia umakini na utendaji bora wa kazi apart from Minyika si mtu wa field husika.thats it

eastern eagle tambua kuna kuwa ns elimu ya darasa ns kuwa na elimu yenye hekima...ivi ina haja gani kuwa na elimu kams ya stela manyanya au shekifu alafu unashindwa kufafanua sheria ?kama sio wanabweka ili wapewe nafasi ya u-RC ..haya raisi kashamaliza nafasi zakuteua ..kwan elimu ni cheti au uwepo wa kuelimika kichwani .?
 
Naomba niseme tu,mh.Mnyika ni mbunge bora katika utungaji wa sheria katika bunge letu.

Tuna mawaziri na wabunge wasomi lakini Mnyika japo hana elimu kama wao,ame-prove to be the best lawmaker.

Huyu mh. ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja na kutetea hoja zake katika upitishaji wa vifungu vya sheri ila wingi wa wabunge wa CCM ndio kikwazo cha nchi hii kupata sheria bora.

Kwakweli he is very impressive awapo ndani ya bunge.

Ningekuwa na uwezo,huyu mh.ningemzawadia gari "brand new".

Tujenge utamaduni wa ku-pick the best legislator na kuwapa tuzo ili kuwatia moyo wabunge wanaotambua wajibu wao kwa umma.

Kwa wanaofuatulia bunge wataukubaliana na mimi ila kwa wale wenye wivu,wataleta hapa kejeli na siasa tu and nothing else.
Mkuu Salary Slip, asante kwa kuliona hili!. Kumbe nyota JJ Mnyika wewe ndio umeiona leo?!. Hebu pitia hapa uangalie sisi wenzio tuliona lini na uangalie tarehe ya post, ulinganishe ilikuwa ni siku ngapi kabla ya uchaguzi!, yaani tulimuona hata kabla hajawa mbunge!. JJ. Myika, Ubungo Yako, Njia Nyeupe!.

Pasco
 
Mkuu,kwanza nashukuru na pia nimepitia post yako hiyo ya mwaka 2010 na ninafarijika kuona tuko wengi ambao tunaona uwezo binafsi wa huyu mh.katika nafasi ya ubunge.

Nina hakika,akiendelea hivi na watu wakamtendea haki,basi atafika mbali sana katika siasa kwani ni wazi ana kipaji.
 
Mbona maji hajaleta Ubungo kazi kubwabwaja tu!

Maji hayaletwi na mbunge maji yanaletwa na serekali, kumbuka waziri mwenye dhamana alizuia hoja binafsi ya Mnyika kuhusu maji kwamba maji yataletwa. Mpaka rais alimuahidi Mnyika maji yataletwa. Acha kupotosha, nyinyi ndio wale mnaoshinda hapa jukwaani kupotosha na kufanya mbunge aonekane ni mfadhili kwa pesa zake za mfukoni. Acha utoto wewe.
 
Mkuu Salary Slip, asante kwa kuliona hili!. Kumbe nyota JJ Mnyika wewe ndio umeiona leo?!. Hebu pitia hapa uangalie sisi wenzio tuliona lini na uangalie tarehe ya post, ulinganishe ilikuwa ni siku ngapi kabla ya uchaguzi!, yaani tulimuona hata kabla hajawa mbunge!. JJ. Myika, Ubungo Yako, Njia Nyeupe!.

Pasco

Mkuu Pasco sio kwamba jamaa ako zito ndio the most brilliant lawmaker? Hebu tafakari upya bana
 
Last edited by a moderator:
Hv mnajua kuwa Mnyika kuwa saiz ana Masters?Msiwasıkıli watu wa CCM na kelele zao.Mnyika nı Msomi.Bado sisi tuna utamaduni kuwa kama mtu hakwenda UDSM basi sio msomi na hana degree.Fuatilıenı mmjue JJM.

Kwa kweli ndugu huyo Mnyika kutokana na uwezo wake hata kama angekuwa hajafika darasa la saba kwangu mimi ningempa Uprofessor, maana kijana ni kichwa haswa achana na wale wahuni wanaotambia sijui bachelor, masters na upuuzi mwingine kama huo wakati hawana uwezo hata wa kujenga hoja za ushawishi kwa dk kumi.
 
Zitto ni the most active!, sio most briliant!. JJMnyika ndie mbunge makini kuliko wote wa upinza kwenye hili bunge!.

Pasco

Sio wa upinzani tu, wabunge wote wa bunge la jamuhuri, kama huamini ninachokuambia jaribu kuangalia wakati bunge linapokaa kama kamati ndio utajua Mnyika ni nani. Na ni karibu miswaada yote anaweza kujenga hoja na kurekebisha mapungu mengi yanayoletwa katika miswaada ya serekali. Kama ni mwanafunzi ni yule mwenye uelewa wa masomo yote ite math, geography, chemistry, physics etc.
 
Zitto ni the most active!, sio most briliant!. JJMnyika ndie mbunge makini kuliko wote wa upinza kwenye hili bunge!.

Pasco

Sawa mkuu..,,,Na Zito ndiye mtanzania mwenye akili kuliko watanzania wote...au sio?
 
Sio wa upinzani tu, wabunge wote wa bunge la jamuhuri, kama huamini ninachokuambia jaribu kuangalia wakati bunge linapokaa kama kamati ndio utajua Mnyika ni nani. Na ni karibu miswaada yote anaweza kujenga hoja na kurekebisha mapungu mengi yanayoletwa katika miswaada ya serekali. Kama ni mwanafunzi ni yule mwenye uelewa wa masomo yote ite math, geography, chemistry, physics etc.
Ndugu,wanapinga ukweli huu ni wale wenye wivu tu na chuki za kisiasa.
 
Watunga sheria wanaitwa learned brothers and Sisters huyo mnyika hata degree hana.Acha kudhalilisha fani ya wanasheria.
ficha ujinga wako basi brother mpaka kila mtu ajue kuwa umesomea shule za kata na chuo cha kata
 
Kwa kweli ndugu huyo Mnyika kutokana na uwezo wake hata kama angekuwa hajafika darasa la saba kwangu mimi ningempa Uprofessor, maana kijana ni kichwa haswa achana na wale wahuni wanaotambia sijui bachelor, masters na upuuzi mwingine kama huo wakati hawana uwezo hata wa kujenga hoja za ushawishi kwa dk kumi.
Kwa mfano,yule waziri wa sheria,Angela Kairuki na AG ni hopeless kabisa.Hawataki kabisa kubadilika kulingana na wakati.Wanang'ang'ania kuweka vifungu ambavyo vimeshaonyesha udhaifu mkubwa kwa kutoa mwanya kwa watu kutumia madaraka yao vibaya.Mifano iko mingi lakini hawataki kubadilika sijui kwa maslahi ya nani!

Ningekuwa JK,Kairuki na AG ningewapiga chini kabisa.Hata waziri wa fedha jana nae alichangia sana kupitisha vifungu vibovu katika ule muswaada.

Yaani it is pathetic kwakweli!
 
Back
Top Bottom