Mnyika apanda daladala!

Mnyika apanda daladala!

Kwahiyo mulipanga mumpige picha ili humu auze sura?huyo jamaa ambae anatuangalia ni Beni sanane au? naona kaa kichagakichaga sana,naona mulijaa wa kanda yenu sana!!!!
 
Mbunge wa Ubungo kamanda John Mnyika aungana na wananchi waliokuja Katika mkutano uliofanyika Katika viwanja Vya Kibaha Maili Moja mara tu mkutano ulipokwisha.

Kwa ushuhuda cheki picha chini

attachment.php

Kwa ninavyomjua Mnyika sioni cha ajabu hapo kiasi cha kuifanya hiyo iwe habari, mmeanza mambo ya Yule mheshimiwa daktari alivyopanda bodaboda kaja kutangaza humu na Fb
 
Kwahiyo mulipanga mumpige picha ili humu auze sura?huyo jamaa ambae anatuangalia ni Beni sanane au? naona kaa kichagakichaga sana,naona mulijaa wa kanda yenu sana!!!!

Jifunze kuandika wewe, afu si Mulugo amewakataza kuingia Jf ? Wewe unafanya nini humu?
 
Kwahiyo mulipanga mumpige picha ili humu auze sura?huyo jamaa ambae anatuangalia ni Beni sanane au? naona kaa kichagakichaga sana,naona mulijaa wa kanda yenu sana!!!!

Ujinga siyo kutojua kuandika na kusoma pekee.
Kubagua watu kwa makabila yao unaweza kuwa ujinga uliopitiliza kuliko ule wa kutojua kusoma na kuandika.
 
ALITAKIWA AKOSE seat, aismame..na je hakuwa na bastola? nawashauri wabunge na mawaziri waige tabia ya kujichnganya, huko kwenye mashangingi wanapata nyama tofauti na ile ya huku kwetu? karibu mnyika, yusufu makamba alikuwa na tabia hii na wengine wengine,
 
nilimuona, pia jamaa uwa anatumia vits, je komba angeweza hapo? na kulikuwa na nyomi balaa.
 
Hakuna hazina ndani ya nchi hii kama mnyika.huyu kijana bila kujali chama atakachokuwa anakiwakilisha ,ni hazina kubwa kwa taifa hili leo na kesho amini usiamini...heko wana ubungo.
 
Hakuna hazina ndani ya nchi hii kama mnyika.huyu kijana bila kujali chama atakachokuwa anakiwakilisha ,ni hazina kubwa kwa taifa hili leo na kesho amini usiamini...heko wana ubungo.
Ukisema Mnyika hana uwezo utakuwa unamatatizo,kinachoonekana ni kuwa mjumbe ndio,yan kilakitu ndio mzee,"nyuma geuka mbele tembea"anaramba watu viatu.anakubali kuingiliwa ua kwasababu wanatoka kumoja.
 
Kuna siku akipumua kuna mtu atakuja kuanzisha thread hapa ikisomeka hivi

Mnyika ajamba
 
wewe ndie pambafu kumshambulia mtu anayepanda daladala na kuwaacha watu waoagiza mashangingi kila kukicha au wanaotumia mabilioni kununua ndege mbovu au wanaotumia mabilioni kununua rada za deal. kuhusu posho ulikuwa wapi wewe Gamba wakati chadema ilipokuwa ikidai posho zisizo za msingi zifutwe ?? l

please acha ukali wako wa kinafiki gamba la kijani Pilitoni

unajua matusi au unaiga we -----? Nadhan mnyika huwa anakukuna vizuri usiku,utapata mimba nyingine karibuni,kunguni wewe
 
Ujinga siyo kutojua kuandika na kusoma pekee.
Kubagua watu kwa makabila yao unaweza kuwa ujinga uliopitiliza kuliko ule wa kutojua kusoma na kuandika.
Ujinga pia kukubali kubaguliwa sisi wanakusini walitubagua sana,wameshindwa kutupa hata mbunge wa viti maalumu mmoja ili CDM ionekane inasura ya kitaifa,lkn HAI wamepewa wawili.kudadeki !!!!! wabaguzi wakubwa nyinyi.
 
Kuna mmoja alioneshwa kapanda MTUMBWI mkasema anaigiza,, huyu kapanda dala dala mnamtetea......DOUBLE STANDARDS!!!! hamna lolote.

Tofauti yao ni kwamba wakiwa DAR mmoja huwa anatumia Vitz mwingine Vx.

kwa hiyo mmoja ataigiza mwingine ni lifestyle
 
Back
Top Bottom