Mnyika apanda daladala!

Mnyika apanda daladala!

eeeh naona na mtu mwingine wa Chadema ndani ya basi kumlinda, mmh siasa sio kuongea na kusingizia watu wa vyama vingine ili kupendwa. Poa vyote ni ujanja wa kuwa kwenye siasa, safi sana
 
aAlichofanya Mnyika ni kuwasilisha ujumbe kwa jamii bila kujali itikadi,kawakumbusha tu kwamba viongozi wanatakiwa ku behave vipi,tusisubiri hadi rais apande dala dala ndio tutoe sifa.Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,hakuna haja ya kurushiana maneno makali.Naona wengi wenu mna tatizo la ufahamu wa elimu ya uraia.
 
attachment.php

Masnii ktk fani yake haisumbui
 
Kuna uzi mmeweka humu M4C imezikwa sasa hiyo ndio inaitwa twanga kotekote kwenye daladala watu wamepata shule ya kutosha
 
hana lolote zaidi ya kutafuta umaarufu.

Duniani bwana, hakuna jema litakolokuwa zuri kwa watu wote. Masikini anachekwa kufuria, tajiri anaambiwa anaringa na hela zake. Kweli tenda wema nenda zako.
 
kama wewe mwajiri wake unapanda kwa nini yeye asipande? mbona mwakyembe alipanda treni na haikuwa issue?
 
Duniani bwana, hakuna jema litakolokuwa zuri kwa watu wote. Masikini anachekwa kufuria, tajiri anaambiwa anaringa na hela zake. Kweli tenda wema nenda zako.

alikuja na gari yake. halafu wakati wakurudi akajifanya eti anafanana nasi, na lile gari lake likarudi bila yeye na kwenda kusuburia kituoni. sasa ameserve nini, kama mafuta na garama ni zilezile zilizotumika na isingeleta tofauti hata kama angeenda na gari lake. na rudia tena. ni kutafuta umaarufu tu hana lolote.
 
umaarufu wenye maana n mwema xana.

alikuja na gari yake. halafu wakati wakurudi akajifanya eti anafanana nasi, na lile gari lake likarudi bila yeye na kwenda kusuburia kituoni. sasa ameserve nini, kama mafuta na garama ni zilezile zilizotumika na isingeleta tofauti hata kama angeenda na gari lake. na rudia tena. ni kutafuta umaarufu tu hana lolote.
 
Ndio hilo lolote!

Kama ni umarufu Mnyika anao sana tena wa + siyo wa huyo mwenye kifafa wenu mwenye sifa za -

alikuja na gari yake. halafu wakati wakurudi akajifanya eti anafanana nasi, na lile gari lake likarudi bila yeye na kwenda kusuburia kituoni. sasa ameserve nini, kama mafuta na garama ni zilezile zilizotumika na isingeleta tofauti hata kama angeenda na gari lake. na rudia tena. ni kutafuta umaarufu tu hana lolote.
 
ambao anao tayari ?

Umaarufu sio kitu kibaya mkuu; inategemea unaupata kwa matendo asilia au unautafuta kama wanavyofanya wanaotafuta uongozi kupitia ccm.

alikuja na gari yake. halafu wakati wakurudi akajifanya eti anafanana nasi, na lile gari lake likarudi bila yeye na kwenda kusuburia kituoni. sasa ameserve nini, kama mafuta na garama ni zilezile zilizotumika na isingeleta tofauti hata kama angeenda na gari lake. na rudia tena. ni kutafuta umaarufu tu hana lolote.
 
makengeza yako hayatibiki si ccbrt wala ujerumani, una hasara mwakwetu.

alikuja na gari yake. halafu wakati wakurudi akajifanya eti anafanana nasi, na lile gari lake likarudi bila yeye na kwenda kusuburia kituoni. sasa ameserve nini, kama mafuta na garama ni zilezile zilizotumika na isingeleta tofauti hata kama angeenda na gari lake. na rudia tena. ni kutafuta umaarufu tu hana lolote.
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Hata Kama anatafta umaarufu lakini at least amejaribu.

Sent from my EyePhone

amejaribu kufanya nini? au hesabu zinapiga chenga?
alikuja na gari yake. halafu wakati wakurudi akajifanya eti anafanana nasi, na lile gari lake likarudi bila yeye na kwenda kusuburia kituoni. sasa ameserve nini, kama mafuta na garama ni zilezile zilizotumika na isingeleta tofauti hata kama angeenda na gari lake. na rudia tena. ni kutafuta umaarufu tu hana lolote.
 
Sioni ajabu kwa kiongozi kama Mnyika kupanda daladala,kwa wanaobeza hili basi watupe mfano wa viongozi wao wenye mashangingi ya bei mbaya na wakaamua kupanda daladala.
MWAKYEMBE alipanda treni from DAR-DODOMA
 
Back
Top Bottom