Speaker
JF-Expert Member
- Aug 12, 2010
- 6,324
- 2,238
"Ushabiki Mandazi Source MTM"
Ritz kalibu kwenye chama langu,chama la uzalendo na sio ushabiki wa "CHAMA CHOCHOTE".
"Ushabiki Mandazi Source MTM"
Mvaa skafu mda wote hata kipindi cha joto kali.
Unamuuliza ukiwa kama mpiga kura wake au basi tu kwasababu umemuona yeye ndio mbunge peke yake ambaye hakuchangia ktk wote waliokuwepo?
Natamani sheria inayopitishwa ipewe jina aka Mnyika. Katoa mchango mkubwa sana. Angalieni tbc, siwezi kuost hoja zake nzito. Mwanasheria mwenyewe kamkubari.
Nathubutu kusema mh. Mnyika kuwa ni jembe, bingwa wa kufikiri. Naamini wote mtakubariana nami. Nasema hili kutokana na uwezo wake bungeni wa kujenga hoja na kukubarika na wabunge wote bila kujari itikadi. Kamanda Mnyika amekuwa bingwa wa kuweka marekebisho katika sheria zinazotungwa. Hata katika bunge la leo jioni linalojaribu kupisha sheria ya usajiri wa makampuni. Amekuwa akifanya hivyo katika sheria nyingi sana.
My take: wabunge wote wakiwa serious kama Mnyika, hakika bunge litakuwa linapitisha sheria nzuri sana. Big up kamanda Mnyika, I salute you.
Seminary ya kanisa au msikiti gani mkuu, inayotengeneza majembe kama haya? tupeleke wanetu huko.One thing which differentiate Hon John Mnyika from CCM MPs even MPs from his party is PERRUSING......anasoma kila kitu kwa kila sekta na ndo tofauti aliyo nayo dhidi ya Zitto.....Zitto yeye anasoma vitu ambavyo yuko interest navyo so kwenye baadhi ya mambo anakuwa mweupe.....afu si mnajua dogo kasoma Seminary sasa kule bila kusoma NOVAL zaidi ya mia unaonekana sio,,,,,tegemeeni mambo makubwa zaidi toka kwa John
Jembe letu Lusinde mbona alikuwa kimya?
Bigup hon Mnyika, mrithi wa slaa baada ya kustafu ukatibu mkuu.
Seminary ya kanisa au msikiti gani mkuu, inayotengeneza majembe kama haya? tupeleke wanetu huko.
Unamuuliza ukiwa kama mpiga kura wake au basi tu kwasababu umemuona yeye ndio mbunge peke yake ambaye hakuchangia ktk wote waliokuwepo?
Aliwachanja chale kwenye masaburiLusinde anajua neno moja tu la kingereza nalo ni Brother hali ni mbaya zaidi kwa maji marefu
Tena totozi yenyewe ina umri chini ya miaka 17Alikuwepo, ila sema alikuwa biz na chatting na totoz, si unajua yale mambo yake...