Mnyika anaonyesha umakini, uzalendo na kutambua lilompeleka Bungeni

Huyu kijana Mnyika ni FUllbrighty mkuu watu kama hawa wa IQ kubwa wanaona miaka hamsini ya Tanzania ijayo wakuu ni uwezo mtu anakuwa kajaliwa na mwenyezi Mungu(gifted people)
 
Ni kweli anastahili cheo hichi,
Yuko very analytical, hata makinda huwa anapata taabu akiona JJM anomba mwongozo.
Kwa wanaobisha wamuulize Anna Abdalah Mbunge wa CCM, aliwahi kutamka live kwamba
kijana JJM ni jembe na anamwombea 2015 arudi bungeni.
 
John John Mnyika ananifurahisha kupita kiasi. Mchango wake ni wa manufaa sana bungeni. Anasoma hoja zote kwa makini, na kila moja lazima aiongezee nguvu kwa marekebisho yenye mantiki sana.
 
Hi ni kweli kabisa. Mnyika amekuwa makini sana na hata ukiangalia vikao vya bunge utaona huwa yuko kwenye vikao vya bunge bila kukosa na akiwa pale huwa anasoma au kuandika na si kusogoa kama wengine.
 
Kwa niaba ya wapiga kura wenzagu jimbo la Ubungo, Nasema tumepata muwakilishi makini, mwenye mzuto, hana papara.
Sijui ingekuwaje kama tungewakilishwa na Mtatiro...LOL!
 
Makinda akimwona Mnyika anahisi kujikojolea hadi kaonyesha chuki za wazi kwa kumuita Jambazi,,nabado.
 
Ata msemaje ndani ya Chadema hakuna jembe kama Mh Zito na huwa akisimama kuchangia hoja bunge zima utulia kusikiliza hawa wengine wanajaribu tu kumuiga hawana lolote!
 
Makinda akimwona Mnyika anahisi kujikojolea hadi kaonyesha chuki za wazi kwa kumuita Jambazi,,nabado.

Yule ni kama mama yako heshima muhimu siasa isitufikishe kubaya kiasi hicho kama huna la kuchangia ni bora ukae kimya matusi hayasaidii sijuhi wawapi wewe jamani mbona unatusi kiasi hicho si tabia nzuri ata kidogo!
 
Nafatilia mjadala wa BRELA Bungeni sasa hivi, kwa nini wabunge wa CCM wako kimya zaidi ya kusema NDIYOOO! Maana wanaompeleka AG kwenye makosa ya muswada ni wapinzani.Jee wale wa CCM wanawakilisha watu gani? Au hawajui wako pale kwa shughuli gani?

wabunge wengi wa wako pale kwa kufisadi nchi kama walivyo mawaziri wao... watachangiaje hoja! hawa wezi tu! ndiyo maana hawaoni aibu kutoweka saini sao ili kuwaondoa mawaziri wezi! INASIKITISHA SANA! Wako bungeni kama mvibaraka tu!
 
mi siasa za bongo zilishanichosa na nadra sana kufuatilia kwani naona wanasiasa wengi ni wapenda sifa kuliko maendeleo ya umma. ila leo na ile siku wakipitisha sheria za company registration kwa bahati nilikuwa kwenye tv niliona kazi kubwa aliyoifanya mnyika. hongera bro unapambana na kutetea wanyonge zito anajitahidi ila personaly sifurahishwi nauogeaji wake mheshimiwa ana kiburi ila mnyika yuko humble anajua hata kama anawasahihisha bado ni mama zake baba zake kaka zake nk
Keep it up bro sifa zisikuotesha pembe wanyonye kwa ustaarabu mpaka waelewe"success lies in power of concerntration and persistance'"
 
mnyika kwa muda mchache ulio kwepo kwepo bungeni watanzania wengi wamekujua kumbe wana mbadala wa kijana mwingine maarufu ndani ya chama.hongera kwa ushindi mungu akuzidishie maisha marefu.
 
Back
Top Bottom