Mnyika: Mkataba wa TPA na DP World siyo wa kwanza kupelekwa Bungeni kwani Magufuli alishaleta Mkataba wa Bomba la Mafuta la Uganda!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,033
Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika amesema siyo kweli kwamba hii ndio mara ya kwanza Serikali inapeleka IGA bungeni kwani Serikali ya Shujaa Magufuli ilishaleta Mkataba wa Bomba la Mafuta la Uganda na Tanzania

Mnyika alikuwa anatoa ufafanuzi kwa Waandishi wa Habari kwamba zoezi hilo lilifanyika 2017 yeye akiwa mbunge wa Kibamba na Wabunge waliufanyia marekebisho kadhaa na kuuridhia

Sabato njema
 
Hii ni habari Njema sana ila inatufundisha kitu!, hii IGA ilisainiwa Tarehe 2 October, 2022, imeletwa Bungeni June 10, 2023!. Bunge halikurekebisha chochote!.

Tunataka hii mikataba sio iridhiwe na Bunge, bali ipitiwe na Bunge na kuridhiwa kabla haijasainiwa!. Sasa tunaisubiri HGA ya DPW!.
P
 
Saa 100 hachomoki
 
Kuna Kenge wanasema ni Kwa mara ya Kwanza toka Dunia iumbwe
 
Hii ni habari Njema sana ila inatufundisha kitu!, hii IGA ilisainiwa Tarehe 2 October, 2022, imeletwa Bungeni June 10, 2023!. Bunge halikurekebisha chochote!.

Tunataka hii mikataba sio iridhiwe na Bunge, bali ipitiwe na Bunge na kuridhiwa kabla haijasainiwa!. Sasa tunaisubiri HGA ya DPW!.
P
Brother aya ya kwanza umeihighlight japo haionekani kuna jambo gumu sana inatufundisha.
 
Hii ni habari Njema sana ila inatufundisha kitu!, hii IGA ilisainiwa Tarehe 2 October, 2022, imeletwa Bungeni June 10, 2023!. Bunge halikurekebisha chochote!.

Tunataka hii mikataba sio iridhiwe na Bunge, bali ipitiwe na Bunge na kuridhiwa kabla haijasainiwa!. Sasa tunaisubiri HGA ya DPW!.
P
Slight error P : IGA ilisainiwa tarehe 25 October, 2022
 
Hii ni habari Njema sana ila inatufundisha kitu!, hii IGA ilisainiwa Tarehe 2 October, 2022, imeletwa Bungeni June 10, 2023!. Bunge halikurekebisha chochote!.

Tunataka hii mikataba sio iridhiwe na Bunge, bali ipitiwe na Bunge na kuridhiwa kabla haijasainiwa!. Sasa tunaisubiri HGA ya DPW!.
P
HGA wamesema itakuwa ya siri. Kwa hiyo haitajadiliwa.
 
Hii ni habari Njema sana ila inatufundisha kitu!, hii IGA ilisainiwa Tarehe 2 October, 2022, imeletwa Bungeni June 10, 2023!. Bunge halikurekebisha chochote!.

Tunataka hii mikataba sio iridhiwe na Bunge, bali ipitiwe na Bunge na kuridhiwa kabla haijasainiwa!. Sasa tunaisubiri HGA ya DPW!.
P
Kuna wakati najisihi kama nipo nyikani.

Wanaoupinga mkataba wana hoja za vipande vipande. Wanaoukubali mkataba wana vipande vya hoja.

Wahusika wakuu wapo tulii, hawataki kujenga hoja za kutushawishi
 
Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika amesema siyo kweli kwamba hii ndio mara ya kwanza Serikali inapeleka IGA bungeni kwani Serikali ya Shujaa Magufuli ilishaleta Mkataba wa Bomba la Mafuta la Uganda na Tanzania

Mnyika alikuwa anatoa ufafanuzi kwa Waandishi wa Habari kwamba zoezi hilo lilifanyika 2017 yeye akiwa mbunge wa Kibamba na Wabunge waliufanyia marekebisho kadhaa na kuuridhia

Sabato njema
Inanilazimu nikuvumilie pamoja na kuchanganya mambo unakokufanya.
Hawa wapuuzi wapotoshaji wa humu JF, kama 'Steven Joel Ntamusana'' wanatumia hiyo IGA kupelekwa Bungeni kuhadaa watu kwamba ni kutokana na usafi wa Samia katika ufuataji wa taratibu.
 
Shida ni kwamba, kuna saini za wakuu tayari zilishaanguka kwenye hiyo IGA,

Ifanyiwe marekebisho kwenda kusainiwa kwa nani tena?
Unasema kweli?
Hiyo IGA ilishawekwa sahihi, kabla ya kuwasilishwa Bungeni?

Sasa huko Bungeni, hata marekebisho yakiamriwa ni kama geresha tuu?
 
Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika amesema siyo kweli kwamba hii ndio mara ya kwanza Serikali inapeleka IGA bungeni kwani Serikali ya Shujaa Magufuli ilishaleta Mkataba wa Bomba la Mafuta la Uganda na Tanzania

Mnyika alikuwa anatoa ufafanuzi kwa Waandishi wa Habari kwamba zoezi hilo lilifanyika 2017 yeye akiwa mbunge wa Kibamba na Wabunge waliufanyia marekebisho kadhaa na kuuridhia

Sabato njema
Waje wale waliosema ni mara ya kwanza mkataba kupelekwa bungeni toka nchi hii iumbwe
 
Hii ni habari Njema sana ila inatufundisha kitu!, hii IGA ilisainiwa Tarehe 2 October, 2022, imeletwa Bungeni June 10, 2023!. Bunge halikurekebisha chochote!.

Tunataka hii mikataba sio iridhiwe na Bunge, bali ipitiwe na Bunge na kuridhiwa kabla haijasainiwa!. Sasa tunaisubiri HGA ya DPW!.
P
Hapa Spika Tulia Ackson ndipo alipwaya. Kwa kuwa kuna mjadala uliendelea na wabunge walitoa msahihisho/ michango yao. Hivyo alipaswa kusema "Bunge limeridhia IGA na mapendekezo ya wabunge"

Ila kwa vile naye ni tunda la wabunge wa Mwendazake, alipuyanga hivyo hivyo
 
Hii ni habari Njema sana ila inatufundisha kitu!, hii IGA ilisainiwa Tarehe 2 October, 2022, imeletwa Bungeni June 10, 2023!. Bunge halikurekebisha chochote!.

Tunataka hii mikataba sio iridhiwe na Bunge, bali ipitiwe na Bunge na kuridhiwa kabla haijasainiwa!. Sasa tunaisubiri HGA ya DPW!.
P
Hatari sana
 
Looks like umemjibu kuwa hii ya kusaini kwanza na kisha kwenda Bunge kuridhia mkataba uliokwisha sainiwa inaendelea kuwa ni kwa mara ya KWANZA.
Hivyo bado ni
 
Ilitakiwa ijadiliwe draft uwanja wa majadiliano unakuwa mpana. Lkn watu mameshasaini kabisa watu /wabunge wananyimwa uhuru wa kujadili kwa kumuogopa Mwenyekiti
 
Hii ni habari Njema sana ila inatufundisha kitu!, hii IGA ilisainiwa Tarehe 2 October, 2022, imeletwa Bungeni June 10, 2023!. Bunge halikurekebisha chochote!.

Tunataka hii mikataba sio iridhiwe na Bunge, bali ipitiwe na Bunge na kuridhiwa kabla haijasainiwa!. Sasa tunaisubiri HGA ya DPW!.
P

Uko sahihi P! Mbeleni tutatakiwa kuhoji ama kubadilisha mfumo wa kiutendaji wa Bunge. Je Bunge ni kweli ndio hutunga sheria au hupitisha tu sheria zilizotungwa na serikali??? Tunakuwa na serikali ambayo inapanga, inatekeleza halafu ndio inakuja bungeni kupata baraka za iliyofanya. Baada ya hapo serikali haiwezi kuulizwa tena!! Ninapenda mabunge erevu, yanayotunga kweli sheria na taratibu na serikali kuwa msimamiwaji.

Tulipofikia huenda hata kamati ya harusi mtaani ina usimamizi mzuri wa bajeti kuliko hata bunge lisiloweza kuhoji kwa uwazi mapato na matumizi ya serikali ya mwaka wa fedha wa nyuma!! Kamati ya harusi hujua budget performance yake!
 
Back
Top Bottom