Mnyika anaonyesha umakini, uzalendo na kutambua lilompeleka Bungeni

Mukulu wa zamani wa CCM alikuwa na mchezo rough sana, angekuwepo angesha mbana kijana aingie CCM, mnakumbuka lamwai na wengine kadhaa?? Ah Engeneers wa siasa ndani ya CCM wanatoweka tumebaki na wahubiri tu ambao hawanaskills wala technics za kisiasa kabisaa wanabwata tu kuanzia makatibu hadi waenezi ...
 
CCM wawe makini mwanasheria mkuu. Utetezi wa huyu mkubwa kwenye sheria mbovu utakimaliza hiki chama. Leo bungeni wakati wa kupitisha vifungu vya sheria mbalimbali za biashara, Mnyika amependekza serikali iondoe kifungu kinamchata 'mlalamikaji' kutakiwa kutoa dhamana (bond) kabla ya kero yake kusikilizwa. Lakini Mwanasheria mkuu kang'ang'ania ibakie hivyo na kama kawaida wabunge wa ccm wakasema ndiyooo. Na alitoa mfano rahisi wa mtu kupiga picha vinyago vya mfanyabiashara ndogo ndogo pale Mwenge na kutumia picha hizo kwa biashara zake (i.e kutangaza bishara kwenye website) bila ya kupata ridhaa ya muuza vinyago.



Madhara ya hii sheria ni makubwa. Ni hivi: kwa mfano kama msanii ameona mtu/kampuni inatumia wimbo wake bila ridhaa yake, kama huyo msanii anataka kulalamika, ni lazima kwanza atoe dhamana kabla ya lalamiko lake kusikilizwa. Yaani ni sawa na kusema kwamba kama mtu anataka kulalamika EWURA au TCRA lazima mtu huyo atoe kwanza dhamana ili EWURA au TCRA wasikilize lalamiko!

Hivi kwa mtindo huu CCM inaweza kusema kweli ina dhamira ya kusaidia wasanii?


Mi naomba jembe letu Mnyika ayatunze yale makbrasha yake ili tuje tuyatumie tukichukua nchi hapo 2015. tene itakuwa ni rahisi sana kubadirisha kuondo udhalimu na kuweka haki. Yaani jana natamani Lisu pia angekuwepo, bungeni pangechimbika. Pig up CDM!!!! Pipozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz Pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nafuatilia mjadala wa Wabunge, Aidha ni Umri wake, au kuwa kwake fresh kichwani bila kuathiriwa na sumu za siasa, lakini bila ushabiki, anaongoza mjadala na changamoto nzuri sana na zenye hoja na anonekana kuwa ndiye aliyesoma vizuri sana muswada huu yeye na Mwana shria Mkuu wanaelewana Lugha ukilinganisha na wengine... nimeipenda, hongereni CHADEMA kwa hili hamkukosea

Nawaonea wivu sana watu wa ubungo, yaani wana mbunge makini. nasikitika sana kwa hii kesi ya nanihii.
 
safi sana kamanda natamani bunge zima lingekua na wa2 kama hawa vijana wa CDM kwa kweli wame2lia na inaonyesha ni kwa kiasi gana ni wepesi ktk kujadil manbo muhimu yanalolihusu taifa lete si 2 kwa minaji ya wa2 fulani ila ni kwa maslai ya wa2 wote......nazani watanzania wenzangu mnaliona hili ifikapo 2015 2cfanye makosa vijana wapo pia wazee wenye uchu wa kuliokoa taifa hili wapo,,,,,,,,,,,%%%%""pigia kura chadema badilisha maisha yako""""""****%*%& chagua chadema boresha nchi yako+++++***&%%%%$chagua chadema imarisha uchumi wako"""""""""""""&*****@#chagua chadema imarisha elimu yako*******&%^^^^^^chagua chadema 2zienzi kauli na malengo ya mwalimu jk**?????<<<<<<<<<chadema wanaweza nguvu ya uma maana yake ni cc wote watanzania kwa umoja wetu>>>>>>>####$%^&*@@>>
it easy 2 learn but difficult 2 understand,,,,,,,,,,,,,,now we understand regardless of it si2ation.peeeeeeeopleeeeeeeeess poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer
 
Tuliisha sema na tunarudia kusema kuwa mbunge mmoja wa CHADEMA ni sawa na wabunge 50 wa CCM.
 
Na leo tokea asubuhi naona anaandika nondo nyingine za issue ya wizara ya mifugo iliyoletwa leo. Nasubiri uchangiaji uanzee tu hasa jioni ndo panakuwa patam sana.

naomba Mungu ampe mke mwema ili asituharibie Mbunge wetu maana ukipata mke kimeo, aisee focus yote inapotea
 
Nilipata fursa ya kumsikiliza pia,wabunge wengi wa CDM wapo makini sana kuhusu masuala ya msingi ya taifa letu. Hakuna kulala hadi kieleweke.CDM 4ever,
 
Wadau naangaelia Bunge live TBCCM, Mh Mnyika anaendelea kuitetea nchi lakini magamba wamekomaa na kutetea ulaji na kuongeza mamlaka ya rais.

My take, Mnyika anafaa kupewa kazi ya u-watchdog ili serikali inyooke. na naomba sana Mungu come 2015 CDM tuchukue nchi ili huu udahalimu ukome.
 
Chenge amemuumbua Mnyika...
Sasa naanza kuquestion uelewa wa Mnyika ambaye kwangu mimi namkubali sana!
 
Wadau naangaelia Bunge live TBCCM, Mh Mnyika anaendelea kuitetea nchi lakini magamba wamekomaa na kutetea ulaji na kuongeza mamlaka ya rais.

My take, Mnyika anafaa kupewa kazi ya u-watchdog ili serikali inyooke. na naomba sana Mungu come 2015 CDM tuchukue nchi ili huu udahalimu ukome.

mkuu ikwanja tujuze katetea hoja gani kwenye wizara ya mifugo ili nasi ambao serikali sikivu imeshachukua stima, so hatujui kinachoendelea mjengoni.
 
kwa kweli Mnyika ni kamanda mwenye moyo wa dhati ila hawa wabunge wa CCM na spika wanafanya maamuzi kwa kudharau hoja za wapinzani just bse ni mpinzani kaleta hoja.
Nashukuru mungu watanzania wanajionea wenyewe kuwa ni nani mwenye nia njema ya nchi na nani anarudisha maendeleo ya watanzania.
Big up Mnyika.
 
Naona ameongea kwa jazba na kutoa reference za Uganda mbazo hazipo applicable. Pole sana Mh.Mnyika, in future idea yako inaweza kutumika.
 
26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom