Mnyeti ni mfano hai wa Wabunge mizigo na anayehatarisha diplomasia ya nchi

Huyo Mnyeti ni aina ya Wabunge mizigo kabisa wanaokula kodi zetu. Inatakiwa Bunge litoe kauli ya kulaani kauli yake na aitwe kwenye vikao vya CCM kueleza ni kwa nn atoe kauli hiyo. Hii ni hatari sana kwa mahusiano ya Kimataifa. Je tuna uhakika gani na usalama wa King Mayele kwa sasa kama kunatolewa kauli za kishenzi katika chombo cha kutunga sheria?
 
Huyo mbunge alikuwa chawa wa Magu ni hayawani tu hajui anachoongea yeye anadhani kila mtu anaweza kufanya kila kitu?
Ndio madhara ya wizi wa kura bunge limejaa wabunge wasiojielewa na wanapoteza muda bure na kulipwa mamilioni.
Umesema kweli! Walienda bungeni kwa ubabe wa mwendazake! Shenzi type!
 
Anatania huyo shabiki lia lia wa simba, ndo wakala wa Jimsony Mwanuke, maneno hayo alimbiwa akaseme na mzee Bruno so don't take personally
 
Tunapowatukana Wasukuma siyo kwamba tuanawadharau au hatuwapendi la hasha bali ni matendo yao,asilimia kubwa wanapopata madaraka makubwa wanayatumia vibaya.Mfano upo wazi kabisa kwa Magufuri,Makonda,Gwajma,Mnyeti,Pascal Mayala na wengine wengi ni tatizo kwa kweli.
 
Huyo mbunge alikuwa chawa wa Magu ni hayawani tu hajui anachoongea yeye anadhani kila mtu anaweza kufanya kila kitu?
Ndio madhara ya wizi wa kura bunge limejaa wabunge wasiojielewa na wanapoteza muda bure na kulipwa mamilioni.
Sio chawa tu, alikua anamuita Magufuli Mjomba.Hata Ile shule alivyokua anaisimamia wkt inajengwa Kule Mwz akawa anajifanya Ni yake ilikua Ni zuga tu,Ile shule ni ya 1st 'ledi'(Mama J).
 
Jana tuliyasikia tuliyoyasikia kuhusu betting Leo Mnyeti kabutua.Inaonekana Mayele anawakera wengi.
 
Back
Top Bottom