Mnishauri kuhusu huyu askari police

Mnishauri kuhusu huyu askari police

huyo mchumba wako ana cheti cha form 4 kweli? mbona kilaza zaidi ya Bashite? kama askari unafanyiwa hivyo raia wa kawaida itakuwaje??? Mmwambie ajinyonge tu yaishe.
 
Yani huyo mchumba wako ashakuona boya anataka akuoneshe jinsi gan wanaume wengne wanavyomtaka ili uzidi kumuona wa thamani sana, mapenzi ya mbali ndo changamoto zake hizo.
Yani askari anao watu wengi karibu yake wa kuomba ushauri na wenye uzoefu ktk hizo changamoto kuliko wewe raia wa kawaida.
Ameshindwa hata kujilegeza akaongea nae kwenye simu akatongozwa na kurekod na kukutumia clips au hata screen shots za SMS anazotumiwa?? Nakuhakikishia akiweza kurecod sauti ya kiongozi wake akimtongoza na kumwambia nmekurecod sasa endelea kunisumbua yan ataishi maisha ya kuogopwa na boss maisha yake yote.
Usijifanye km hujui mapenzi, wanawake wana mbinu nyingi za kuteka wanaume na kubuild trust za kishenzi ili uamini mchumba wako bonge la mstaarabuuuu uhangaike faster kuoa kumbe analiwa vibaya mnoooo hahhahaha pole sana brother it seems you have less experience with these girls.

Yan mwingine unaweza kumpigia simu asipokee hadi masaa akipokea anakwambia simu nliiweka silent maana yule jamaa nliekwambia ameshinda anapga misimu hadi nkaamua niifanye hivyo ili aache kunisumbua, hakna mwanamke jasiri kwa viongozi km askari wa kike nakwambia maana hata viongozi wanajua wanaweza kupata kashifa za kusingiziwa so huwa wanakuwa nao makini sana.

Bila kukuficha mchumba wako anakuigizia ili uharakishe uoaji maana ndoa nowadays ni ngumu lazma akili itumike
 
AOMBE UHAMISHO AU AENDE TAKUKURU

*You get what you work for not What you wish for*
 
jamani mafanikio sio lazima uwe mtu wa show off kila mtu na tabia yake diamond na ali kiba wote wasaani wazuri na wana mafanikio mfano tunaamini bila ya forbes kusema utajiri wa dewji hakuna mtu angeamini hilo jamani mlishawahi kwenda kwao dewji singida mimi nilichoka lakini ndio tajiri mwenye networth ya $1.4 billions
mfano gwajima juzi amenunua private jet gulfstream G450 ambayo selikali ilishindwa gharama zake kipindi cha kikwete ikabidi uuzwe sasa huyu tajiri wa Tanzania hata private jet hana mtu yoyote anioneshe nyumba ya dewji ya au gari au private jet kwenye picha
my concern is sio lazima kuweka maisha yako kwenye media saaana same applied to ali kiba kila mtu na hulka yake
my regards
 
wrong post it was not for this thread iam sorry
 
funga ndoa mapema kabla ya huo muda alaff huyo afande mpe mwaliko then after that atafte ushahidi wa picha,video au sauti juu ya majigambo ya huyo afande then aanza kufuatiria kama mkeo halali fuatiria kwenye ngazi za juu i can asure you ata hama yeye au mke wako na utakua na amani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma kila comment nashukuru sana pia naamini mungu yu pamoja nasi naamni 100% hawezi kumpata hata kama ni ni boss wake na pia sio wanawake wote wanaotembea na mabiss zao ila cha msingi nikujipanga kikamolifu hili swala tuweze kuliepuka naamini mungu htatusimamia kwa hili
 
Manzi ako ni askari polisi au ni mlinzi wa SUMA JKT??? kua muwazi bro ili tujue tunaanzia wapi kukusaidia.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Pole sana mkuu. Hakikisha hekima inatendeka haraka iwezekanavyo.

Pili, mwombe Mungu ww na mchumba wako awavushe kipindi kigum icho. Ibilisi anawatafuta, tambueni hilo.

Ikishindikina kupata msaada hapo kazini, au TAKUKURU basi fanya maamuzi magumu. Huyo ni mkeo mtarajiwa, mlinde kwa namna yoyte ile.

Mungu akusaidie
Mnakimbilia takukuru utadhani ndo suluhisho. Je mkuu unajua taratibu za kumuoa askar ww au umemtongoza tu ukajiona ndo mkeo? Je unajua utaratibu wa kaz ya police afanye masaa mangap na kupumzika Massa mangap sio akipewa kaz ww ulalamike ? Je una barua ya IGP kua amekuruhusu umuowe askari wake ? Yote ayo umulize uyo WP wako na akupe PGO uisome vizur ukiweza masharti yake ndo uende takukuru wakusaidie ila ujue jeshi linataratibu zake usilalamike tu kufinya si kumuoa mkuu

Takukuru anaenda muhusika na si huyo bwana wake! Kama ana ushahidi unaoridhisha atasaidiwa
 
Back
Top Bottom