Mnishauri kuhusu huyu askari police

Mnishauri kuhusu huyu askari police

Habari za usiku wanandugu wenzangu.
Nirejee kwenye head line mimi namchumba wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa hivi karibuni mungu akijalia mwezi wa 12 tunafunga pingu za maisha kiukwel tumetoka mbali ni zaidi ya miaka 10 tukiwa o' level mapaka sasa tuko kwenye mahusiano yeye yuko mkoa mwingini ndipo sehemu yake ya kazi na mimi niko dar ndipo ninapofanyia kazi tumeishi kwa amani sana na furaha kwa kila mtu kuchukulia madhahifu ya mwenzake kama sehemu ya mahusiano yetu.

Huyu mchumba wangu ni askari police kanieleza Mara kwa Mara manyanyaso anayoyapata katika sehemu yake ya kazi kuna mkuu wake wa kazi mmoja anamtaka kimapenzi imekuwa nikero kubwa sana tena sana amekwenda kwa matroni wa hapo kazini kwao kumueleza lakini hakuna msaada wowote ikabidi haende kwa mkuu wa kituo kabisa lakini kinachotokea ni kuteteana mabosi kwa mabosi hakuna hatua zozote zile zinazochukuliwa hinamuuma sana mpaka anakuwa wa kulia tu kutokana kina anakoelekea kuomba msaada hasaidiwi kabisa.

Kwazini uwa wanashift za kazi anajikuta anapangiwa shift kuanzia saa 4 usiku mpaka saa 8 mchana hakuna kupumzika na by saa 12 anaingia dolia na nikinyume cha sheria za kaz na wenzao hakuna anayeingia shift ya hvyo na huyo police anamwapia kwa kumwambia mpka hatanyooka tu na mpaka atamkubari tu yaani anamfanyia visa sana kilichonokela zaidi ni leo yeye yuko off kuingia kazini mpaka kesho sasa huyo askari kamfuata nyumbani anamwambia haende kazini na wakati huo yeye yuko off na ratiba inaonyesha kesho ndio anaingia kazini na ""anamtambia cha moto utakiona na mpaka utanikubali tu na anamwambia maneno yasiyo kuwa ya msingi mpka kafikia hatua ya kutaka kuchukua maamuzi mabaya ya kujitoa roho kwa manyanyaso ya huyo mkuu wake wa kazi.

Wanajamvi nifanyeje mninashauri analia tu na pia mpka wafanyakazi wenzake wanalalamika kwa anavyofanyiwa mchumba wangu kesha sema mara nyingi kwa kiongozi wake wa juu hakuna mwiitikio wowote ule.
Mpigie sirro moja kwa moja kama vip njoo pm nikupe number tena umuombe amhamishe kituo kbs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh....kuna mmoja hapa kachangia point meanwhile wachangia pumba wako wengi soma vizuri post #42
 
wewe mwanaume inabidi uwe strong, mtafutie shughuli nyingine km biashara nk afanye, mshahara wenyewe sh ngapi hadi binti wa watu ateseke hivo. Tena si yeye pekee anayeteseka, kisaikolojia mnateseka wote pamoja na wewe ndio maana umefikia hatua ya kuomba ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za usiku wanandugu wenzangu.
Nirejee kwenye head line mimi namchumba wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa hivi karibuni mungu akijalia mwezi wa 12 tunafunga pingu za maisha kiukwel tumetoka mbali ni zaidi ya miaka 10 tukiwa o' level mapaka sasa tuko kwenye mahusiano yeye yuko mkoa mwingini ndipo sehemu yake ya kazi na mimi niko dar ndipo ninapofanyia kazi tumeishi kwa amani sana na furaha kwa kila mtu kuchukulia madhahifu ya mwenzake kama sehemu ya mahusiano yetu.

Huyu mchumba wangu ni askari police kanieleza Mara kwa Mara manyanyaso anayoyapata katika sehemu yake ya kazi kuna mkuu wake wa kazi mmoja anamtaka kimapenzi imekuwa nikero kubwa sana tena sana amekwenda kwa matroni wa hapo kazini kwao kumueleza lakini hakuna msaada wowote ikabidi haende kwa mkuu wa kituo kabisa lakini kinachotokea ni kuteteana mabosi kwa mabosi hakuna hatua zozote zile zinazochukuliwa hinamuuma sana mpaka anakuwa wa kulia tu kutokana kina anakoelekea kuomba msaada hasaidiwi kabisa.

Kwazini uwa wanashift za kazi anajikuta anapangiwa shift kuanzia saa 4 usiku mpaka saa 8 mchana hakuna kupumzika na by saa 12 anaingia dolia na nikinyume cha sheria za kaz na wenzao hakuna anayeingia shift ya hvyo na huyo police anamwapia kwa kumwambia mpka hatanyooka tu na mpaka atamkubari tu yaani anamfanyia visa sana kilichonokela zaidi ni leo yeye yuko off kuingia kazini mpaka kesho sasa huyo askari kamfuata nyumbani anamwambia haende kazini na wakati huo yeye yuko off na ratiba inaonyesha kesho ndio anaingia kazini na ""anamtambia cha moto utakiona na mpaka utanikubali tu na anamwambia maneno yasiyo kuwa ya msingi mpka kafikia hatua ya kutaka kuchukua maamuzi mabaya ya kujitoa roho kwa manyanyaso ya huyo mkuu wake wa kazi.

Wanajamvi nifanyeje mninashauri analia tu na pia mpka wafanyakazi wenzake wanalalamika kwa anavyofanyiwa mchumba wangu kesha sema mara nyingi kwa kiongozi wake wa juu hakuna mwiitikio wowote ule.

Nitashukuru ukinijibu maswali yangu haya yafuatayo:
  1. Huyo Mchumba wako ulimkuta Bikira / Mbunye Sealed?
  2. Unavyotaka kumchunga / kumzuia unadhani ndiyo suluhisho?
  3. Kwa maelezo yako tu hayo nikikuambia kuwa kuna uwezekano tayari Bosi ameshambandua utakataa / utakubali?
  4. Wewe kama Wewe hubandui / hungonoki Nje Cup?
  5. Hiyo ' Mbunye ' yake Sir Godfrey alipoiumba aliibandika jina lako kwamba ni mali yako ya Kutukuka na daima?
  6. Kuna Mwanamke ambaye ' akibanduliwa ' huko nje huwa anamwambia Mumewe / Mpenzi wake?
  7. Kuna Shamba linalotoa mavuno mengi na mazuri ambalo huwa linalimwa na kuvunwa na Mtu mmoja?
Nayasubiri majibu yangu Saba ( 7 ) tafadhali.
 
Umeandika maelezo yasiyo sahihi pengine kutokana na kutojua polisi wanafanyeje kazi na hata kwa kuwa umeambiwa kitu kutoka upande mmoja wenye maslahi yako.

Kwanza huyo mpenzi wako anaweza akawa ni tatizo kwa sababu yeye ni askari. Nilitegemea akusanye ushahidi wa kutosha kwanza kuonyesha kama anatongozwa na mkuu wake. Kwa kawaida kuna kipengele fulani katika majeshi ambacho kinakataza maafisa wenye nyota kuwatongoza askari katika mazingira fulani. Lakini iwapo mazingira hayo hayapo, mwanamke yeyote kutongozwa ni kitu cha kawaida.

Kwa ushahidi wa yeye kutongozwa na mazingira yakawa yanaruhusu halafu yeye akakataa, askari huyo angeambatisha ushahidi wa mazingira kuwa ananyanyaswa kwa sababu ya kukataa kuwa mpenzi wa mkubwa wake.

Kwamba amekulalamikia wewe ni sawa kwa sababu wewe ni mpenzi wake lakini ni vyema umshauri akusanye ushahidi sahihi wa nilichokieleza hapo juu kwa sababu tayari hata wewe umeingia katika mtego huo huo wa kupatiliza dhambi bila kuwa na ushahidi wa kutosha.

Kazi za majeshi zina mlolongo wa utendaji kiasi kwamba usipoangalia na hasa kwa jinsia na wasichana wetu wa kisasa wanaopenda kulalamika unaweza kujichanganya na baadaye ukapata hasara. Umewalaumu watu wengi kiasi ambacho kinanipa shida kufikiri kama watu wote hao ni wapuuzi.

Kunyanyaswa kimapenzi kupo lakini kwa mazingira ya teknolojia ya kisasa ni rahisi kupata ushahidi ambao hata kama angetetewa na baba yake mzazi bado kuna siku angemkana. Lakini pia upo ulalamishi wa kizembe unaotolewa na watoto wa kike kwa visingizio vya mapenzi na hasa kunapokuwepo ukiukaji wa taratibu au wakati ambao watu wa shughuli za ulinzi wanapopungua kutokana na majukumu mengine.

Wakati huo, mtu aliyetakiwa kuwa zamu yuko kwingine na hivyo kunafanyika replacement. Bado kuna kazi ngumu kama magwaride na doria. Iwapo mchumba wako ni dot com na pengine anahisia za kunyanyaswa na bosi, hilo pia linaweza kujitokeza.

USHAURI: MWAMBIE HUO MCHUMBA WAKO AKUSANYE USHAHIDI WA KUTOSHA ILI ANAPOPELEKA MALALAMIKO KUWEPO NA LOGIC.

Sent using Jamii Forums mobile app

Perfect true!
 
Nitashukuru ukinijibu maswali yangu haya yafuatayo:
  1. Huyo Mchumba wako ulimkuta Bikira / Mbunye Sealed?
  2. Unavyotaka kumchunga / kumzuia unadhani ndiyo suluhisho?
  3. Kwa maelezo yako tu hayo nikikuambia kuwa kuna uwezekano tayari Bosi ameshambandua utakataa / utakubali?
  4. Wewe kama Wewe hubandui / hungonoki Nje Cup?
  5. Hiyo ' Mbunye ' yake Sir Godfrey alipoiumba aliibandika jina lako kwamba ni mali yako ya Kutukuka na daima?
  6. Kuna Mwanamke ambaye ' akibanduliwa ' huko nje huwa anamwambia Mumewe / Mpenzi wake?
  7. Kuna Shamba linalotoa mavuno mengi na mazuri ambalo huwa linalimwa na kuvunwa na Mtu mmoja?
Nayasubiri majibu yangu Saba ( 7 ) tafadhali.
Duh! Hahaha
 
Kwanin8 asimtungue shaba ya goti aishie kuchechemea.
 
Pole sana mkuu....
Lakini anaweza akaipata haki yake kwa kufuata mtiririko huu, ikiwa hatokua muoga.

1. I.G.P – Inpestor General of Police
2. C.P -Comissioner of Police
3. D.C.P -Deputy Commissioner of Police
4. S.A.C.P-Senior Assistant Commissioner of Police
5. A.C.P -Assistant Commissioner of Police
6. S.S.P -Senior Superintendent of Police
7. S.P -Superintendent of Police
8. A.P -Assistant of Police
9. I.P -Inspector of Police
10.A.I.P -Assistant Inspector of Police
11.R.S.M – Regiment Sergeant Major
12.S.S -Staff Sergeant /Station Sergeant
13.SGT -Sergeant
14.CPL -Corporal
15.PC -Police Constable (Private
 
Pole sana mkuu. Hakikisha hekima inatendeka haraka iwezekanavyo.

Pili, mwombe Mungu ww na mchumba wako awavushe kipindi kigum icho. Ibilisi anawatafuta, tambueni hilo.

Ikishindikina kupata msaada hapo kazini, au TAKUKURU basi fanya maamuzi magumu. Huyo ni mkeo mtarajiwa, mlinde kwa namna yoyte ile.

Mungu akusaidie
 
Kuna uzi huku uliletwa kua Askari, mwanajeshi sijui nani nani uko hao wanaoana wenyewe kwa wenyew ikitokea raia kam ww ukaanza mahusiano kubali kuchapiwa na stress kibao naona ushaanza kuisoma namba mdo mdo.. we endlea 2..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za usiku wanandugu wenzangu.
Nirejee kwenye head line mimi namchumba wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa hivi karibuni mungu akijalia mwezi wa 12 tunafunga pingu za maisha kiukwel tumetoka mbali ni zaidi ya miaka 10 tukiwa o' level mapaka sasa tuko kwenye mahusiano yeye yuko mkoa mwingini ndipo sehemu yake ya kazi na mimi niko dar ndipo ninapofanyia kazi tumeishi kwa amani sana na furaha kwa kila mtu kuchukulia madhahifu ya mwenzake kama sehemu ya mahusiano yetu.

Huyu mchumba wangu ni askari police kanieleza Mara kwa Mara manyanyaso anayoyapata katika sehemu yake ya kazi kuna mkuu wake wa kazi mmoja anamtaka kimapenzi imekuwa nikero kubwa sana tena sana amekwenda kwa matroni wa hapo kazini kwao kumueleza lakini hakuna msaada wowote ikabidi haende kwa mkuu wa kituo kabisa lakini kinachotokea ni kuteteana mabosi kwa mabosi hakuna hatua zozote zile zinazochukuliwa hinamuuma sana mpaka anakuwa wa kulia tu kutokana kina anakoelekea kuomba msaada hasaidiwi kabisa.

Kwazini uwa wanashift za kazi anajikuta anapangiwa shift kuanzia saa 4 usiku mpaka saa 8 mchana hakuna kupumzika na by saa 12 anaingia dolia na nikinyume cha sheria za kaz na wenzao hakuna anayeingia shift ya hvyo na huyo police anamwapia kwa kumwambia mpka hatanyooka tu na mpaka atamkubari tu yaani anamfanyia visa sana kilichonokela zaidi ni leo yeye yuko off kuingia kazini mpaka kesho sasa huyo askari kamfuata nyumbani anamwambia haende kazini na wakati huo yeye yuko off na ratiba inaonyesha kesho ndio anaingia kazini na ""anamtambia cha moto utakiona na mpaka utanikubali tu na anamwambia maneno yasiyo kuwa ya msingi mpka kafikia hatua ya kutaka kuchukua maamuzi mabaya ya kujitoa roho kwa manyanyaso ya huyo mkuu wake wa kazi.

Wanajamvi nifanyeje mninashauri analia tu na pia mpka wafanyakazi wenzake wanalalamika kwa anavyofanyiwa mchumba wangu kesha sema mara nyingi kwa kiongozi wake wa juu hakuna mwiitikio wowote ule.
Majungu, hakuna shift kama hiyo ktk jeshi la ploisi. Anakubalije? Kama anenda saaa nne usiku, basi kuna watu wanatoka hiyo saa nne kwa hiyo si tatizo maanake watakuwa wameingia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom