Mnishauri kuhusu huyu askari police

Mnishauri kuhusu huyu askari police

Uyo mchumba wako atakuwa bwege,kipi muhimu,kuacha kazi au kujiua?Utu ni zaidi ya kazi bana.Mwambie apige kazi chini na umtaftie mtaji muanzishe biashara maisha yaendelee.Kwanza kwa mshahara upi wa askari mpaka anyanyasikie kiasi icho.Huwezi kuacha utu wako ukapotea kwaajili ya mshahara wa laki tatu au saba.Bullshit.
 
RPC mfate

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Chakufanya awe anamrekodi na text zake hazifute. Kisha aende takukuru
 
Habari za usiku wanandugu wenzangu.
Nirejee kwenye head line mimi namchumba wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa hivi karibuni mungu akijalia mwezi wa 12 tunafunga pingu za maisha kiukwel tumetoka mbali ni zaidi ya miaka 10 tukiwa o' level mapaka sasa tuko kwenye mahusiano yeye yuko mkoa mwingini ndipo sehemu yake ya kazi na mimi niko dar ndipo ninapofanyia kazi tumeishi kwa amani sana na furaha kwa kila mtu kuchukulia madhahifu ya mwenzake kama sehemu ya mahusiano yetu.

Huyu mchumba wangu ni askari police kanieleza Mara kwa Mara manyanyaso anayoyapata katika sehemu yake ya kazi kuna mkuu wake wa kazi mmoja anamtaka kimapenzi imekuwa nikero kubwa sana tena sana amekwenda kwa matroni wa hapo kazini kwao kumueleza lakini hakuna msaada wowote ikabidi haende kwa mkuu wa kituo kabisa lakini kinachotokea ni kuteteana mabosi kwa mabosi hakuna hatua zozote zile zinazochukuliwa hinamuuma sana mpaka anakuwa wa kulia tu kutokana kina anakoelekea kuomba msaada hasaidiwi kabisa.

Kwazini uwa wanashift za kazi anajikuta anapangiwa shift kuanzia saa 4 usiku mpaka saa 8 mchana hakuna kupumzika na by saa 12 anaingia dolia na nikinyume cha sheria za kaz na wenzao hakuna anayeingia shift ya hvyo na huyo police anamwapia kwa kumwambia mpka hatanyooka tu na mpaka atamkubari tu yaani anamfanyia visa sana kilichonokela zaidi ni leo yeye yuko off kuingia kazini mpaka kesho sasa huyo askari kamfuata nyumbani anamwambia haende kazini na wakati huo yeye yuko off na ratiba inaonyesha kesho ndio anaingia kazini na ""anamtambia cha moto utakiona na mpaka utanikubali tu na anamwambia maneno yasiyo kuwa ya msingi mpka kafikia hatua ya kutaka kuchukua maamuzi mabaya ya kujitoa roho kwa manyanyaso ya huyo mkuu wake wa kazi.

Wanajamvi nifanyeje mninashauri analia tu na pia mpka wafanyakazi wenzake wanalalamika kwa anavyofanyiwa mchumba wangu kesha sema mara nyingi kwa kiongozi wake wa juu hakuna mwiitikio wowote ule.
amkrekodi maneno yake then tafuteni mwanasheria fungueni mashtaka dhidi yake ya utumiaji mbaya madaraka na uvunjifu w sheria za kazi na utomvi wa maadili
 
Hawa dada zetu inabidi kuwatazama kwa jicho la pili lakini some time utakuta wao ndio chanzo cha tatizo.

Hapa tumesikia upande mmoja ila tungesikia na upande wa pili tungejua mbivu na mbichi.

Ila utakuta kashaliwa ila sasa kinachoendelea ni wivu wa kimapenzi, coz askari wa kike kwa jinsi ninavyowafahamu kutongozwa na mabosi wao sio tatizo bali ni fursa kwao.

Jeshi la police kwenye mambo ya mahusiano ya watu huwa wanasikiliza sana hasa mahusiano ya askari na raia, hivyo pia huweza huyo mwenza wako anakulisha matango pori.

Ila jaribu hata kufuatilia ni ikiwezekana nenda hata wewe ofisini kwao na elezea hilo tatizo ndipo utakapojua ukweli ni upi....?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom