Hahahaha.... Utakufa nacho kijiba cha roho. Mimi na Apologise lady hatujafahamiana gulioni Katerero.Hahahahaha umenifurahisha sana kwa uamuzi wako.Endelea kuwa na babu ila ugonjwa wa moyo upo nje nje kwa hicho kizee maana kina wengi balaaa
Babito, umeanza lini kuchambana na viserengeti boyz??Wewe umri bado, subiri uongezeke kidogo babu atakupa darasa. kwa sasa uwe mwangaliaji tu.
Hahahahaha umenifurahisha sana kwa uamuzi wako.Endelea kuwa na babu ila ugonjwa wa moyo upo nje nje kwa hicho kizee maana kina wengi balaaa
He.........!!!!!!Umenena, maana kizee hakiogopi tezi dume hiki, kila kona kinachepuka, wacha tu nikivumilie kwakua kina hela.
Hahahaha.... Utakufa nacho kijiba cha roho. Mimi na Apologise lady hatujafahamiana gulioni Katerero.
Kwa taarifa yako ananilelea kichanga changu ndani ya tumbo lake takatifu. Kazi ilifanyika mchana wakati mvua inanyesha. Lazima tutoe copy ya Cleopatra.
He.........!!!!!!
Tena????
Bebii mbona unatoa siri tena, hujui watu wambeya wataanza kutufuatilia kama domo na Bosslady. hapo tu Honey Faith halali leo.
Babyto, usisikilize ya watu mama, tutagombana. Wengine nawapakaza shombo tu, samaki unakula wewe.We nawe unachepuka sana hadi kila mtu anakujua tabia yako. lakini mimi nakupenda tu bebii.
Babito, umeanza lini kuchambana na viserengeti boyz??
Siku nyingine kimwagie maji yenye shombo la samaki. Staki kuona kiumbe mtu anamshobokea babyto wangu Apologise lady. Mwambie a-apologise kabla sijambadilisha jinsia afu kikojoleo chake nikihamishie usoni.Kile kitoto cha migomigo, ki MO11 kina tufuatilia sana, ilibidi nikitulize kwanza.
Babyto, usisikilize ya watu mama, tutagombana. Wengine nawapakaza shombo tu, samaki unakula wewe.
Siku nyingine kimwagie maji yenye shombo la samaki. Staki kuona kiumbe mtu anamshobokea babyto wangu Apologise lady. Mwambie a-apologise kabla sijambadilisha jinsia afu kikojoleo chake nikihamishie usoni.
Bebii mbona unatoa siri tena, hujui watu wambeya wataanza kutufuatilia kama domo na Bosslady. hapo tu Honey Faith halali leo.
Basi mama. Shusha neti naja laaziz wangu. Naamini ntakukuta without....... Sipendi kupoteza muda leo.
Mie yangu macho tu