Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Habari zenu.
Jioni hii nimemwagika hapa maana nimeona macho yanazidi nikodolea kila nipitapo. Haswa ni hapa kazini, yaani watu kila leo kila kuche utasikia Kasie siku hizi unanenepa pamoja na diet na mazoezi unayofanya.
Unatabasamu kisha unapita tuu bila kutoa jibu. Kesho utasikia mwingine Kasie mbona leo umeonekana kama m-mama unatabasamu na kuishia zako. Mara ukutane na mfanyakazi mwengine akwambie nywele zako siku hizi zinapendeza, mara mwingine atokee siku hizi mbona huongei na kucheka sana hapa ofisini unastress gani.nyie watu mmenichosha khaaa kutwa kucha kila leo ni kumtizama Kasie na kumlinganisha na jana na juzi, kwani mie ndo demo wenu.
Mmenichosha je hamshangai mie siwafatifati na kuwadadisi mambo yenu haya utasikia mwingine anakuja hadi mezani unapofanya kazi na kujaribu kuchungulia kwenye laptop unafanya nini au umefungua kitu gani mradi tuu wachunguze byu that time unafanya kazi gani.na hao watu sio auditors wala nini. Kiufupi mmeniboa na nimewasema humu maana najua wamo na watasoma hii message tuu maana wote humu ofisini wamo Jami Forums ni vile tuu hakuna anayejua ID ya mwenzie.
Ni hayo tuu,Mniache.