mnh mwanamke make up eeh?!

Nimepita nimeona na nimesoma......... Kazi kweli kweli..................
 




Waimbaji wa Jahazi Modern Taarabu kwenye Onesho la Kundi hilo kutimiza miaka 5 lilolpofanyika Diamond Jubilee.
 
nna wasiwasi na akili zake pia! Au ndo usanii! Mana wasanii hizo style zao utachoka mwenyewe, hapo usikute na wengine wataiga. Ama kweli m'ke kujistiri
 
hata kama mzuka umekupanda ukikutana naye kitandani lazima ukimbie....au ndo wale tuliokuwa tunasimuliwa utotoni kuwa unaenda na demu geto mpo kitandani unataka kuamka ukazime taa yeye ananyoosha mkono kutoka kitandani mpaka kwenye swichi

Halafu ukichungulia miguu unakuta ni ya mbuzi, ha ha ha
 
Kwa vile kufuatana na euginics, ni lazima ujue yupi ni msichana mrembo, sio tu yule anayejifanya mrembo,kwa hiyo mimi napinga wadada ,au kina baba kujiremba.




[h=6]"in 1951,researchers at Massachusets General Hospital plastered electrodes across his scalp to record the electrical symphony of his brain cells speaking to one another,hopeful that they might discern a chord of creativity. With their trusty new encephalogram,they measured its idling current. The needle zigzagged while Einstein apparently figured quadratic equations in his head. Then suddenly the squiggly line flattened. Researchers rushed in to find out what Einstein had been thinking to deaden the machine. Eistein apparently told them he had heard the rain and remembered he'd left his rubbers at home.[/h]
 
Hiyo ya Einstein sijafahamu uhusiano wake na mada hii.

Ila nawaombea muwasamehe hayo makombora yametosha!
 
Mambo mengine tunawasingizia wazungu tu, huyo dada anafanana na mzungu wapi hapo?

Kweli, hakuna uhusiano na Uzungu.Taarab inatokea hukoo uarabuni.Make-ups za Waarabu na kila kitu chao ni ming'arong'aro kuanzia upambaji nyumba ( ushaona mabafu na vyoo vyao?), fenicha zao, vyombo-sahani na glasi, mavazi yao hadi wanavyopaka usoni.

Wazungu hawako ivo.
Waafrika huiga kutegemeana ni wapi wanaiga - wako wenye kuiga wazungu ( umagharibi) kwa kila kitu - mavazi, vinywaji dini, nk, na wako wanaoiga waarabu - mavazi,chakula, vinywaji, dini na kila kitu.WAPO PIA wale wanaojichanganya kwa kuga kila kitu bila kujali asili - hawa nao unakuta ama hawajielewi au basi wameamua kuwa "liberal".
 



Hawa ni waimbaji wa taarabu, Jahazi Modern. Huyu wa kwanza ndo simwelewi kabisa, hata akiniita nadhani ntamkimbia!

No THING in this universe can just happen accidentally!!

... The crew you see here .. Have thousands of FUNS who are dieing to see them ...!! If it wasn't for those Funs ... WHO needs the GIRLS AS THEY ARE ... How could possibly have the First LADY and the rest in line as YOU SEE THEM POSING WITH THE ULTIMATE COSMETIC PHOTO Exist?
 
 
Huyo dada wa mwazo hafungamani na chama chochote. Macho ni CCM na mdomo ni CHADEMA! Fundi wa kupaka rangi ya CUF kwenye manyonyo alichelewa kufika.
 
Huyu hizo nido anawezaje kutembea? na akiwa kwenye majambozi inakuwaje sasa maana dah! kama zamu ya kunyonyesha Shule vile
 
Naona rack imepigwa jeki ya maana ionekane bado iko order... si muchesoooo.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…