Nina imani kabisa jamaa yake angemwambia "Tangulia mimi nitakukuta huko kuna kazi namalizia hapa".....lol
mi najiuliza wadada wanaopenda marangi rangi hivi
ukienda nae,ukamvua nguo si utakuta
chupi kijani kibichi,sidiria rangi ya binzari????lol
Arifu hapo Isha hiyo 42 EEE si kaipita kabisa...lolHapo mchuano mkali arifu
Halafu nasikia sana sana watu wa Zenji ndio huwa wanapenda make up za dizaini hiyo maana waimba taarab asilimia kubwa wanatokea Zenji
Geez louise! Really?
But this is artistic makeup mwalimu, sio za kuendea tafrija!Hizo sio makeup, makeup zinapitwa na wakati, "the in thing" sasa hivi ni "face painting" and thats exactly what she did, ni mambo ya kawaida sana duniani kwa sasa, to be different.
Huyu wa kwanza ana matatizo ya kisaikolojia anaitaji msaada haoni watu wengine wanachokiona.
Halafu mmeona kifua hicho lakini? Matikiti maji ya haja hayo.
Mmmh..Judgement!..unataka ui-download kwa shughuli zingine nini?# Nimeuliza tuNYANI ! BABA NYANI unamgusa mtukufu Judge kunako destination yake! Mkubwa hiyo mi big tindis ina mambo yake! Ni adimu ! Mali kipusa ! Mwisho wa lami ! Hapo mleta image namtafutia zawadi.
Mmmh..Judgement!..unataka ui-download kwa shughuli zingine nini?# Nimeuliza tu
But this is artistic makeup mwalimu, sio za kuendea tafrija!
Dahh, jamani hamtaki basi hata mmoja awatetee? Maana humu wataingia tu. Kuna mtu atawaambia mnaongelewa JF na FF ndio anawatetea peke yake. "Devils advocate".
Hata mimi avatar yangu ina makeup inayo weza kushangaza watu ambao hawajatembea sana, na ndio maana nina watetea toka mwanzo. lolDahh, jamani hamtaki basi hata mmoja awatetee? Maana humu wataingia tu. Kuna mtu atawaambia mnaongelewa JF na FF ndio anawatetea peke yake. "Devils advocate".