mnh mwanamke make up eeh?!

Nina imani kabisa jamaa yake angemwambia "Tangulia mimi nitakukuta huko kuna kazi namalizia hapa".....lol
 
naanza kuamini kioo kinaweza kumdanganya mtu aiseee,hapo dada wa watu kny kioo kajiona kapendeeeeeeeza.....lol
 
Nadhani hizo ni swagga za rusha roho tu hususan ukizingatia Jahazi walikuwa wanasherehekea besdei yao ya miaka 5 na uzinduzi wa albamu yao mpya ya Mpenzi Chocolate.
 
Hizo sio makeup, makeup zinapitwa na wakati, "the in thing" sasa hivi ni "face painting" and thats exactly what she did, ni mambo ya kawaida sana duniani kwa sasa, to be different.



 
mi najiuliza wadada wanaopenda marangi rangi hivi
ukienda nae,ukamvua nguo si utakuta
chupi kijani kibichi,sidiria rangi ya binzari????lol
 
hahahahahahahah Mwanne jamani ndo nini...unataka kumrithi Isha au!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…