mnh mwanamke make up eeh?!

mnh mwanamke make up eeh?!

Jestina

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
4,828
Reaction score
1,715
Waimbaji+wa+Jahazi+Modern+Taarabu+wakiwa+wamepozi+kabla+ya+shoo.JPG
 
Lol! Utadhani anachungulia. Ukimuangalia mtu usoni, ukaona mikono na miguu utadhani sio yake! Kha!
 
Hawa watakuwa none other than waimba taarabu maana ndio style zao hizi
 
Hawa watakuwa none other than waimba taarabu maana ndio style zao hizi

hahaha umejuaje? nimeitoa kwa michuzi nadhani ni waimbaji wa jahazi modern taarab ya mzee yusuph lol
 
hahaha umejuaje? nimeitoa kwa michuzi nadhani ni waimbaji wa jahazi modern taarab ya mzee yusuph lol
Fanya utafiti kwa waimbaji wote wa taarabu kwenye upande wa make up, yaani huwa wanapiga make up na kufanana kabisa na yule "Joker" wa kwenye movie ya Batman
 
wanawake sometimes..............wanatia huruma aiseee..................!si mchezo.................!
 
Christmas decoration bwana, mwenye wivu ajinyongeeee lol
 
Hahahha, haya bana.Mi mwanamke mwenza ntakua na wivu nikipinga kwahiyo nakubali kukubaliana na wewe.
Ila twende mbele turudi nyuma aisee hizo make up huyo bibie ukikutana naye gizani usiku waweza kutoka ndukii
 
mie hao wengine hawajanishtua kama huyo wa kwanza kushoto,naona alipania sana...nimependa alivyo creative ila tu amezidisha kiasi lol,hivi kama huyo ndio mkeo unamuona hivyo kabla hamjatoka utakuwa na courage ya kumwambia hajapendeza au utauchuna tu,lol waume zetu wana kazi.....hapo ukimwambia hajapendeza inawezekana ikawa ugomvi mkubwa sana LOLS.
 
Halafu mmeona kifua hicho lakini? Matikiti maji ya haja hayo.
 
Back
Top Bottom