Mnazi Mmoja Vs Tahrir

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,268
17,097
Mbona sisi hatupo Mnazi Mmoja?

0.jpg

Ilhali wenzetu wapo Tahrir?

w-tahrir-square-cairo-now-j.jpg
 
Too weak and poor. Bomu moja la Anden;ngenye linawasambaratisha wooote

mkuu sema hawa hawajawa exposed tu bado i mean hawajui haki zao bado wao wanafikiri kuishi vile na kuwa na nguo moja ndio haki yao na wanavyopigwa picha wanamuona mpiga picha kama mtu mwingine kabisa i mean next level,but kiukweeli ni kuwa hawa haki yao wamenyimwa
 
.....na siku wakizindukaa....
 
Uwoga umezidi especially hayo maeneo uliyoyataja (Pwani ya TZA bara); nadhani maeneo ya bara walishaonyesha nini wanaweza kufanya (i.e., A.Town, Rock City, Shy Town, Mby, Songea, Sumbawanga etc). Upande wa TZA Visiwani wote tunajua nini wanaweza kufanya..

BTW, Mwema na machizi wake hawakawii kuifanya Mnazi Mmoja another Tianamen Square!
 
Kwa hali hii kweli labda tutashtuka, lakini aliyeko kimanzichana haoni hali hii. loh!

Je wewe unayesema hivyo upo M/mmoja? usije kuwa unasema kumbe unakula kuku kwa mrija bondeni siku ya siku tunaumia sisi tunaumia wenyewe huku. Tuchangie mawazo ya kujenga taifa imara lenye uchumi imara, amani na maisha mazuri kwa wananchi hayo ya m/mmoja tuwaachie wanasiasa watafute kula yao.
 
Back
Top Bottom