Gari za Mikocheni Coca Mnazi mmoja au Machinga zipunguzwe ni nyingi sana

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Gari za mikocheni coca mnazi moja au machinga zipunguzwe ni nyingi sana

Hii route ya mikochen Coca (MJ/COCA MMOJA OR MJ/COCA M/COMPLEX) hadi mnazi mmoja au machinga ingepunguzwa gari zihamishiwe kwenye luti nyingine tu maana ni nyingi sana kuna luti magali ni ya shida na machache
 
Zipunguzwe na nani?
Kwani hizo gari ni mali ya nani?
Zikiwa nyingi katika route hiyo zinakukera nini wewe abiria?
 
Gari za mikocheni coca mnazi moja au machinga zipunguzwe ni nyingi sana

Hii route ya mikochen Coca (MJ/COCA MMOJA OR MJ/COCA M/COMPLEX) hadi mnazi mmoja au machinga ingepunguzwa gari zihamishiwe kwenye luti nyingine tu maana ni nyingi sana kuna luti magali ni ya shida na machache
Umevuta bangi za wapi leo mkuu
 
Gari za mikocheni coca mnazi moja au machinga zipunguzwe ni nyingi sana

Hii route ya mikochen Coca (MJ/COCA MMOJA OR MJ/COCA M/COMPLEX) hadi mnazi mmoja au machinga ingepunguzwa gari zihamishiwe kwenye luti nyingine tu maana ni nyingi sana kuna luti magali ni ya shida na machache
Mwendesha bajaji tumekusikia,,

Wahusika watalifanyia kazi wazo lako hili,,
ili abiria wa njia hiyo wapate shida ya usafiri na wewe uweze kufanya biashara yako ya bajaji kwa mapana zaidi.
 
Back
Top Bottom