BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,163
Na kuna wazenji wanaoshabikia kuvunjwa muungano ilhali hata hawajui walioko nyuma ya akina Farid, wamemezeshwa maneno wanayatema bila hata kujua nini dhamira ya dhati nyuma yake
.....waacheni waende............
hata hivyo ni bora kutawaliwa
na YEMEN au OMAN kuliko Tanganyika.
bora tujiunge na Zimbabwe kama alivyotabiri Mulugo
Huyo sheikh alitakiwa aongezewe kesi mpya hapohapo...kuhamasisha wapenzi wake kuuchukia Muungano huku akijua wazi kuwa yuko chini ya ulinzi.
Waliokuwa wakijibu ni kikundi kidogo cha akina mama ambao hawawezi kuwakilisha maoni ya Wazanzibari wote, iitishwe kura ya maoni upande wa Zanzibar na Tanganyika ili tuweze kufikia maamuzi ya haki.
bora tujiunge na Zimbabwe kama alivyotabiri Mulugo
Nyuma ya kina Farid, wako wazanzibar, hata hivyo ni bora kutawaliwa
na YEMEN au OMAN kuliko Tanganyika.
Si kweli, walijibu ni Wazanzibar waliohudhuria mahakamani
kwenda kusikiliza shauri hilo.
Kwani kuukataa Muungano ni dhambi au kosa kisheria?
Kwani kuukataa Muungano ni dhambi au kosa kisheria?
Mkuu Vijisenti tambua kuwa makosa mengi ya kisheria ni dhambi. Na ishu ya kutawaliwa na Waarabu wenzao ni kutawaliwa au kuifanya nchi ni ya kiarabu. Na ndio maana nimesikia Zanzibar ni daraja muhimu la mahusiano ya Tanzannia na Omani...... Vile vile kama mnapenda kutawaliwa na Oman mnakuja Tanganyika kufanya nini si mngeenda Oman.Nyuma ya kina Farid, wako wazanzibar, hata hivyo ni bora kutawaliwa
na YEMEN au OMAN kuliko Tanganyika.
Hapo ulipokuwa umejifunika umejifunua bila kujua. Kwa akili hiyo ya mental slave hamtafanikiwa maana agenda yenu iko wazi.Nyuma ya kina Farid, wako wazanzibar, hata hivyo ni bora kutawaliwa
na YEMEN au OMAN kuliko Tanganyika.
Mimi kwa kweli sijaiona faida ya muungano huo unaoliliwa sana. Zanzibar hasa ndio wenye faida nao zaidi lakini ndio wa kwanza kulalamikia. Kila kijiji in equivalence to Bara kina mbunge, nyadhifa nyingi katika muungano huo wazanzibar wanabebwa sana sababu za kisiasa tu ati kuimarisha muungano. Hapa Bara wazanzibar wamejitwalia ardhi kedekede na vitegauchumi lukuki vinamilikiwa na wao na hatuwasemi tunajua ni wenzetu, lakini nenda Zanzibar kama utaruhusiwa hata kuweka kibadna cha miti kuuza nyanya!!!! Bado mimi naamini usalama wetu Tanganyika ni pale tutakapoachana na Zanzibar tusipigiwe makelele hayo nao wazanzibar wote warudi kwao watuachie bara yetu, hapo ndo watajua kwamba wanafanya makosa kula na kipofu kwa kumpigapiga mikono yake kwenye sahani. Tunavumilia kuwaenzi kina Nyerere tu, Mtikila yuko sahihi saa zote na viongozi wa serikali wanakubaliana naye isipokuwa ni waoga kuchukuwa maamuzi magumu. Zanzibar haitadumu nje ya muungano, wanabwabwaja sana kwa sababu wanalindwa chini ya muungano.