Mnaotafuta wachumba hapa JF...

.........Ujue kuna mabinti ni wajinga sana, wanatoa picha zao za kweli kwa wanaume, halafu utakuta mwanaume anamdanganya tu online kumbe kaoa na ana familia yake.
Nina cousin wangu ndio mchezo wake, anawadanganya sana wasichana humu online na ana picha kibao za mabinti kwenye laptop yake. Yaani yeye kafanya kama mchezo anadai anapima akili za wasichana. Halafu yeye wala hawapi picha hao wasichana, lakini wasichana walivyokuwa wajinga wanamtumia picha.
......Enyi wasichana wenzangu wenye tabia hii hebu mjue kujiheshimu, msipende kutuma picha zenu kwa wanaume humu wenzenu wanawachora tu.
Hebu tulieni mtakuja tu kuolewa, mbona wanaume wapo wengi wanaotafuta wasichana wa kuoa.........msijidhalilishe jamaniiiiii!!!
Mh huyo cousin wako sasa haoni kama anajidanganya mwenyewe pia?? vipi siku mkewe akiziona hizo pic kwenye laptop inakuwaje sasa!
 
haipiti siku humu ndani lazima aje mtu
kutafuta mchumba humu ndani.....all in all
ni jambo zuri kama huyo mtu yuko serious....
sasa kinachonishangaza ni kuwa huwa hatusikiiii
chochote kile baada ya tangazo la kutafuta mchumba...
mimi huwa najiuliza maswali kibao..
je alietafuta mchumba alifanikiwa??????
je kuna yeyote aliefanikiwa kufunga ndoa
baada ya kutafuta mchumba humu???
kuna ndoa ngapi zimefungwa baada ya
member humu kuanza matangazo ya kutafuta wachumba?????
Binafsi nafikiri kwa faida ya wana jf ni vizuri tukajua.....
ili ile dhana kuwa huwezi au unaweza pata mchumba online
ijadiliwe kwa ushahidi na data kamili....
binafsi nisingependa jf iwe some kind of pick up site.....
ningependa kuona kama kuna sucsess story kwa
wanaotafuta wachumba humu,tuelezwe.ili wote tufurahie
na tuwaeleze wengine ikibidi.

Kiukweli jamaa uwa wanatafuta wasebule na wakorido,ila sasa kwa sisi tunaoishi katika chumba kimoja,unakiitaje chumba,sebule.........,to make long story short unakiita chumba.Na ndo maana hatusemi tunatafuta mtu wakumegana nae(msebule) ila tunasema tunafuta mchumba.Utasubiri sana boss kupata feedback,utakuwa unaona ID zinabadilika tuu.Ulishaona expert member anatafuta mchumba,ulishawahi kujiuliza inakuwaje....Fikiri....Chukua hatua
 
Kuna hawa wameshuhudia wamefanikiwa kufunga ndoa kwa kukutana online.Marekani lakini;

Talk Jesus Special AnnouncementChadi & Gabby: Newly Married!
Read the official announcement hereGreetings Body of Christ,

With great joy I would like to announce that I have married a beautiful daughter of GOD by the name of Gabriela, this past New Year's Eve on December 31st, 2009. We had a private ceremony and will be throwing an official wedding celebration in the near future with our family as well.

Our testimony will be posted eventually, but for now I can only say what I once heard at her church in NYC:

To quote the pastor...

"God likes to show up at 11:59"

In other words, right at the point in my life where I felt completely hopeless about finding love and having a family in the future, GOD surprised me at "11:59" and sent me Gabriela. She's literally everything I desired in my heart and beyond. It is just amazing in every way how GOD provides the desires of your heart, so long as you are in line with His will!

Psalm 37:4
Delight yourself in the LORD, and he will give you the desires of your heart.

Just a quick summary about how we met:

We met through a Christian dating site (christianmingle.com) and instantly clicked online and eventually clicked in person. Its not to say the world was suddenly perfect, but I can tell you that love at first sight may certainly exist as far as we both experienced. GOD is the author of love since He is Love Himself.

Through our struggles we've quickly learned how genuine love is a chain that cannot be broken no matter what the trials are you go through as a couple. So take my advice and just pray faithfully and remember how GOD defines love...

1 Corinthians 13:4 4 Love is patient and kind; love does not envy or boast; it is not arrogant

Congratulations! - 01-09-10, 12:43 AM

That is awesome news. May the Lord bless you both and keep you... and always give you His favor.
I too have met an awesome daughter of Christ on the internet. We are not married yet, but things are going great. I feel much peace in my heart.
You are in my prayers... may you both grow very old together... trusting in and loving our Lord and Savior.
Brian

Praise the Lord! Blessings to you! What a great day for you two.
I had been at the end of many years of dating women who weren't right for me before I finally simply prayed to God to send me a good woman, the right one for me. Within 24 hours the woman who was to become my future wife some day contacted me out of nowhere and we hit it off immediately. It's been over 10 years now, and we're as happy as can be in Christ and in love.
 
Duh!!! watu wanaogopa kurudisha feedback za kupata wake toka JF? Inaonyesha hakuna aliyewahi kupata mke toka JF thats why no feedback at all
 
Hakuna ndoa washikaji wanamegana tu ! Usawa huu uowe unatafuta matatizo ya nini?

Masa,una maana gani unaposema kuwa unaongeza matatizo? Mimi siamini kama ndoa zote zina matatizo, tuachane na ile dhana ya kusema kwamba nikioa naongeza matatizo,na pia nahisi tukiingia kwenye ndoa tukiwa na mawazo hayo ndoa zetu hazitaisha matatizo,kila siku itakuwa ni vurugu tu.
 
to be honest masa..
hata mimi nahisi hivyo hivyo...
ndo maana nikaomba watupe feedback...
ili nijue kama hisia zangu ni sahihi.
watueleze wangapi wameoana so far...

The Boss hata mimi jana nilijaribu kufikiri hivi hawa wanaotafuta wachumba huku huwa wanafanikiwa? Na pia nilijiuliza hivi ina maana katika sehemu ambazo labda wanafanya kazi,wanaenda kuabudu,kwenye mikusanyiko ya watu hawajapata mpaka waje kutafuta humu?Nilijiuliza maswali mengi sana sikupata jibu,hebu wale ambao walijaribu kutafuta huku waje watupe feedback,ila sidhani kama hii ni sehemu sahihi ya kupata mchumba.
 
Masa,una maana gani unaposema kuwa unaongeza matatizo? Mimi siamini kama ndoa zote zina matatizo, tuachane na ile dhana ya kusema kwamba nikioa naongeza matatizo,na pia nahisi tukiingia kwenye ndoa tukiwa na mawazo hayo ndoa zetu hazitaisha matatizo,kila siku itakuwa ni vurugu tu.

Great thinkers wakati mwingine mnaniacha hoi sana! Hivi kwa utashi wako unaamnini kila kitu JF......kwa Ghost name ya Masa, Boss and whoever? Hapa tunapiga soga na jokes serious issue tena kidogo zipo jukwaa la Siasa
 
Uliza Founder wa JF mKe wake kampata wapi ukishapata jibu then tuendelee na mjadala but that time it was JamboTanzania chat
 
Pretty amesema kitu moja yenye akili sana,
kuna wanawake wajinga kweli kweli!! wandanganywa online na mijamaa,
inamega, au jamaa wanawazingua tu, then wanawaacha.
Sijui vinakuwa wko frastrated au ndo fantasy ta stranger??!! mi sielewi!
 
JF kama jamii yote yanawezekana, tumechanganyika ki tabia na kila mtu na ya kwake. Hivyo kwa vyovyote vile watakuwepo wenye nia thabiti katika kutangaza kwao kwamba wanatafuta wachumba na wakipata material wanaibinafsisha!! Lakini wengine hasa wale wanao penda Avatar, hawa siwapi daraja kubwa kwani umakini wao kutokana na umuhimu wa kitu chenyewe (mahusiano) hakiwezi kupimwa kirahisi hivyo.

Ushauri: Kama nilivyosema hapo juu kwamba hii ni jamii ya watu kama zozote tunazozifahamu huku mtaani unaweza kuanza kutafuta kwa kubahatisha then kama mtakutana na kuona kwamba mnaendana una amua nini cha kufanya. Unafiki katika suala hili mwisho wa siku ni majuto kwani ndoa haibahatishwi,

Nawasilisha.
 
Hivi The Boss unategemea kweli mtu aje
wana-JF nashukuru sana website yenu imenipatia mchumba ..Mie na Fidel80 tumefunga ndoa rasmi juzi ooops ni kazi ..;)
 
mpaka mtu aje kutafuta mchumba hapa inaleta maswali mengi,lkn kwa watu wa nchi za dunia ya kwanza ni mambo ya kawaida kabisa sbb ya lifastyle yao mf. kuna nchi wanaume hawatongozi kabisa mtu njiani au hata kama hawakujui wanaogopa kukutongoza labda iwe club lkn kwa sisi watz mtu akikupenda anakufukuzia hadi akupate.sasa hao wanaoomba uchumba humu watakua labda wana tabia zisizopendeza huko mitaani labda.sidhani ka mwanaume atakuchukulia serious akikupatia mtandaoni.
 
haipiti siku humu ndani lazima aje mtu
kutafuta mchumba humu ndani.....all in all
ni jambo zuri kama huyo mtu yuko serious....
sasa kinachonishangaza ni kuwa huwa hatusikiiii
chochote kile baada ya tangazo la kutafuta mchumba...
mimi huwa najiuliza maswali kibao..
je alietafuta mchumba alifanikiwa??????
je kuna yeyote aliefanikiwa kufunga ndoa
baada ya kutafuta mchumba humu???
kuna ndoa ngapi zimefungwa baada ya
member humu kuanza matangazo ya kutafuta wachumba?????
Binafsi nafikiri kwa faida ya wana jf ni vizuri tukajua.....
ili ile dhana kuwa huwezi au unaweza pata mchumba online
ijadiliwe kwa ushahidi na data kamili....
binafsi nisingependa jf iwe some kind of pick up site.....
ningependa kuona kama kuna sucsess story kwa
wanaotafuta wachumba humu,tuelezwe.ili wote tufurahie
na tuwaeleze wengine ikibidi.

mimi nishawahi kudate girls niliopata online,kwangu mimi hawakuwa tofauti na girls niliopata mtaani....sijafanikiwa kupata mchumba kati yao wa online na mtaani vilevle,kwangu wote sawa tu,unaweza kupata mchumba popote,naamini hilo
 
.........Ujue kuna mabinti ni wajinga sana, wanatoa picha zao za kweli kwa wanaume, halafu utakuta mwanaume anamdanganya tu online kumbe kaoa na ana familia yake.
Nina cousin wangu ndio mchezo wake, anawadanganya sana wasichana humu online na ana picha kibao za mabinti kwenye laptop yake. Yaani yeye kafanya kama mchezo anadai anapima akili za wasichana. Halafu yeye wala hawapi picha hao wasichana, lakini wasichana walivyokuwa wajinga wanamtumia picha.
......Enyi wasichana wenzangu wenye tabia hii hebu mjue kujiheshimu, msipende kutuma picha zenu kwa wanaume humu wenzenu wanawachora tu.
Hebu tulieni mtakuja tu kuolewa, mbona wanaume wapo wengi wanaotafuta wasichana wa kuoa.........msijidhalilishe jamaniiiiii!!!
Pretty, I might be wrong but napenda kupishana nawe kidogo. to have friendship is one thing na kujidhalilisha kwa namna unayowaza wewe is another thing. kuna watu wanapenda online friendship, sio kwamba ndo warahisi kiasi hicho; na kuna wasichana hawana hayo mambo ya kutumia picha watu na ni vicheche sana. sasa yupi ni bora?
Unajua binadamu tuna tabia ya kujudge watu kwa vitu wasivyovifanya.
 
Back
Top Bottom