Mnaosema hamuamini uchawi, njooni niwathibitishie

Kwani kuoneakana kwa macho tu ndio uthibitisho wa uwepo wa kitu?! Hujafundishwa milango mitano ya fahamu shule ya msingi??
Ila milango mitano ya fahamu haiwezi kuthibitisha asili ya Mtu,.. na kushindwa kuthibitisha asili ya mtu haimaanishi kwamba mtu hana asili (origin).

So,.. baadhi ya vitu/scenario hatuwezi kuthibitisha uwepo wake lakini haimaanishi kwamba havipo,...
 
Kukihisi kitu kupitia vinyweleo vya ngozi ni moja ya uthibitisho kuwa kitu hicho kipo sio lazima ukione

Swali, je unaweza ukauhisi uchawi kupitia vinyweleo vya ngozi kama ilivyo upepo?
Aisee! Mbona kama najichosha.
 
Kwani kuoneakana kwa macho tu ndio uthibitisho wa uwepo wa kitu?! Hujafundishwa milango mitano ya fahamu shule ya msingi??
Nani kasema kuonekana kwa macho tu ndio uthibitisho? Hujaona niliposema kuhusu kuhisi?

Mimi nazungumzia jinsi ambavyo haiwezekani kuweza kuthibitisha uwepo wa upepo hapa.
 
Ulivyosoma falaq na ahalbadir imekutosha hujajihangaisha na ilm dunia sheikh

Yani kitu ukihisi na ngozi bado haitotoshi kuthibitika kuwa kitu hicho kipo?

Huyo kipofu mwenyewe anajua kuwa kuna ABCD kwa kuzigusa tu kutumia nukta nundu!

Haya hebu tuambie huo uchawi unauhisije kupitia vinyweleo vya ngozi kama tunavyouhisi upepo?
 
Jamani huyu ni mlithi wa matunguli ya bibi yake, hebu muacheni asije kuchafua upepo mkaenda kulundikana kwa Mwamposa!.
 
Kachukue nguo za ndani za POLEPOLE,MDUDE NA HECHE ,Ukiwarudisha tutakuamini vinginevyo ni mkwara tu,au mroge mafwele
 
Nani kasema kuonekana kwa macho tu ndio uthibitisho? Hujaona niliposema kuhusu kuhisi?

Mimi nazungumzia jinsi ambavyo haiwezekani kuweza kuthibitisha uwepo wa upepo hapa.
Hata uwepo wa mlima Kilimanjaro huwezi kuuthibitisha hapa
 
Ulivyosoma falaq na ahalbadir imekutosha hujajihangaisha na ilm dunia sheikh

Yani kitu ukihisi na ngozi bado haitotoshi kuthibitika kuwa kitu hicho kipo?

Huyo kipofu mwenyewe anajua kuwa kuna ABCD kwa kuzigusa tu kutumia nukta nundu!

Haya hebu tuambie huo uchawi unauhisije kupitia vinyweleo vya ngozi kama tunavyouhisi upepo?
Ndio maana huwa sipendi kujibu maswali ambayo hayaeleweki yana yanasaidia nini kwenye mada ninayojadiliana na mtu.

Mwanzo kabisa ulianza kwa kuniuliza kama naamini uwepo wa upepo? Nikajibu ndio, ukaniambie nithibitishe huo uwepo wa upepo ambao mimi nauamini ila mimi nikakwambia kuwa siwezi kuthibitisha HAPA uwepo wa upepo ukaniambia kuwa naamini kibubusa.

Labda nikuulize ulivyoniambia nithibitishe uwepo wa upepo ulikuwa unataraji nikutajie njia ambazo wewe utaweza kupima athari ya upepo?
 
Hivi huwa tunathibitisha kitu kuwa kipo kwa kutumia nini?

Ok nithibitishie uwepo wa gari, au gari nalo halipo? Nalo huwezi kuthibitisha uwepo wake?

Njia hiyo hiyo utakayo tumia kuthibitisha uwepo wa gari hebu jaribu kuitumia kuthibitisha kuwepo kwa uchawi
 
Kama upo dar fuata maelekezo niliyoandika hapo juu, USILETE MATOKEO KABLA YA JARIBIO

Ningekuwepo ningekuletea ,halafu nikakupa MWAKA MZIMA ufanye huo UCHAWI....ningekupa hata mkojo achana nyayo ,uzi wa nguo ya ndani/shati ,nywele n.k
 
Hivi huwa tunathibitisha kitu kuwa kipo kwa kutumia nini?

Ok nithibitishie uwepo wa gari, au gari nalo halipo? Nalo huwezi kuthibitisha uwepo wake?

Njia hiyo hiyo utakayo tumia kuthibitisha uwepo wa gari hebu jaribu kuitumia kuthibitisha kuwepo kwa uchawi
Wewe unaweza kutumia njia uliyotumia kuthibitisha uwepo wa upepo ukaitumia kuthibitisha uwepo wa gari?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom