Mnaosema hamuamini uchawi, njooni niwathibitishie

Google Kaburi la Martin Kiyeyeu.

Sio kwa ubaya ila Mm nataman sana ambao hawaamini Ushirikina wakumbane nao.

Yaan kama ikiwa ni kazin, nyumban au kwenye ukoo wenu.

Kwasababu weng wanaobisha ni wale ambao hawajakutana nao.

Maana tunaweza ongea hapa siku nzima na msisadifu kwasababu haijawatokea . Basi na iwatokee
Tuekee hizo taarifa hapa za mamlaka ya barabara au Tanesco wakitoa taarifa na vifo huko Google ni hearsay tu kama hizo ulizoleta hapa
 
Kwa akili yako unahisi hizo taasisi zitawema hizo info kwenye jamii as official statement?.

Watasingizia vitu vingne.

Bro. Worry not. Utakumbana na ushirikina na utakumbuka kuwa kuna siku ulibisha kuwa hakuna uchawi.
 
Uchawi haupo hizo ni Imani zako potofu kila changamoto inayokutokea kwako ni uchawi imagine hata kuumwa na tumbo wasema ni uchawi aisee!
 
😁😁😁😁 umeona kuumwa na tumbo tu. Info zingine pale hujaona?.

Nimetoa mfano wangu binafsi na bado haujaamini.
Kwahiyo hata ming unayosikia hauwez kuamini.

Ni jambo la muda tu bro.
Utakumbana na ushirikina kwa namna yoyote. Dunia ina njia nying za kushangaza.
 
Kikubwa tuu baadae kusiwe na lawama.

Kama upo dar na maeneo ya jirani tuonane tukutane unipe KUCHA zako ulizokata au NYWELE zako kidogo tuu. (NAKUKATA MWENYEWE NITAKUJA NA WEMBE NA MKASI)

Ukikosa hivyo nipe NYUZI tuu kidogo za shati lako unalovaa au nipe tuu NGUO YAKO YA NDANI.

AU NJOO TU HIVYOHIVYO UTAKANYAGA CHINI NIBEBE UNYAYO.

Naona watu mnabishana sana humu ndani.

Sitaki maneno mengi NIPO TAYARI KUTHIBITISHA UCHAWI UPO KWA WASIOAMINI.

#MO29
Thibitisha kwa kufanya tunachotaka sisi ufanye, siyo unachotaka wewe kufanya. Tuondolee Mzee wa Msoga, Samia The Killer na majambazi wao wote!
 
Hilo ndio waweza kulisema tu-vitisho huna lingine

Mimi kila litakalo nipata siwezi sema ni uchawi hio Imani potofu sina yani eti tumbo liniume kisa tu mtu kaniangalia basi ni Zongo sijui uchawi aloooh
 
Ili kumdhuru mtu kichawi.
Inabidi uwe na vitu vya mhusika.
Hii sio dua kwamba ukiwa na majina tu unasoma.

Uchawi ni dawa.
Sasa dawa hizo zinachanganywa na vitu kadha wa kadha.

Ndio maana muhusika akaomba vitu hapo juu.
Mpelekee hivyo vitu vya hao wahusika.
Kama hauwez kuvipata. Mpeleke vya kwako

Mbona naona ni simple tu hii.
 
Kwanini asubiri kupelekewa vitu? Avitafute hivyo vitu atuondolee hizo tatakataka zinazoharibu taswira ya hili taifa!
 
Hilo ndio waweza kulisema tu-vitisho huna lingine

Mimi kila litakalo nipata siwezi sema ni uchawi hio Imani potofu sina yani eti tumbo liniume kisa tu mtu kaniangalia basi ni Zongo sijui uchawi aloooh
Kwan unaogopa bro?😁😁😁.

Zongo hilijui wala hauwez kuamini.
Sio kosa lako.

Nishapatwa na meng sana na wala sijaweza hisi ni uchawi.

Litakupata la uchawi .
Na utakiri kuwa ni la kichawi kwasababu litatatulika kichawi na sio kwa njia nyingne.

Nishawah kushuhudia Mshkaj Hanywi pombe havut sigara na hawana historia ya kwao yeye binafsi ya kuwa Kichaa ila aliumwa ukichaa(sina uhakika kama yu hai maana ni siku nying sijamsikia) kisa yeye(mdogo) na kaka yake walikuwa wanagombania viwanja vilivyoachwa na Baba yao. Alikuwa anaforce viuzwe na bro aalikuwa anasema muda bado.

Mifano ni Mingi . Ila hauwez kuaminj
 
Kwanini asubiri kupelekewa vitu? Avitafute hivyo vitu atuondolee hizo tatakataka zinazoharibu taswira ya hili taifa!
Lazima kuwe na nia. Ww ndio una nia. Bas onyesha dhamira ya hiyo nia yako kwa kufuata maagizo ya kuleta hivyo vitu.
 
Kwan unaogopa bro?😁😁😁.

Zongo hilijui wala hauwez kuamini.
Sio kosa lako.

Nishapatwa na meng sana na wala sijaweza hisi ni uchawi.

Litakupata la uchawi .
Na utakiri kuwa ni la kichawi kwasababu litatatulika kichawi na sio kwa njia nyingne.

Nishawah kushuhudia Mshkaj Hanywi pombe havut sigara na hawana historia ya kwao yeye binafsi ya kuwa Kichaa ila aliumwa ukichaa(sina uhakika kama yu hai maana ni siku nying sijamsikia) kisa yeye(mdogo) na kaka yake walikuwa wanagombania viwanja vilivyoachwa na Baba yao. Alikuwa anaforce viuzwe na bro aalikuwa anasema muda bado.

Mifano ni Mingi . Ila hauwez kuaminj
Yani magonjwa mlioshindwa utatuzi wake yote mnasema ni uchawi duuh

Sasa mkuu uchawi unasababisha vipi mental retardation hebu fafanua mechanism za ubongo na akili zinavyoathiriwa na uchawi
 
Kikubwa tuu baadae kusiwe na lawama.

Kama upo dar na maeneo ya jirani tuonane tukutane unipe KUCHA zako ulizokata au NYWELE zako kidogo tuu. (NAKUKATA MWENYEWE NITAKUJA NA WEMBE NA MKASI)

Ukikosa hivyo nipe NYUZI tuu kidogo za shati lako unalovaa au nipe tuu NGUO YAKO YA NDANI.

AU NJOO TU HIVYOHIVYO UTAKANYAGA CHINI NIBEBE UNYAYO.

Naona watu mnabishana sana humu ndani.

Sitaki maneno mengi NIPO TAYARI KUTHIBITISHA UCHAWI UPO KWA WASIOAMINI.

#MO29
mbna unataka vitu vingi?? Baadae utasema unataka bao tukutie mimba
 
Yani magonjwa mlioshindwa utatuzi wake yote mnasema ni uchawi duuh

Sasa mkuu uchawi unasababisha vipi mental retardation hebu fafanua mechanism za ubongo na akili zinavyoathiriwa na uchawi
Umeona sasa, Jambo la kichawi unataka kulielezea mechanism yake kisayansi, LETA UNYAYO WAKO TUFANYE KAZI UTAPATA JIBU
 
Hakuna uchawi hizo ni Imani potofu kila tatizo linalomkuta binadamu lipo real magonjwa yote na matatizo yote yapo real (ambayo wewe waita sayansi) sio hizo Imani zenu hizo
 
Sawa naa ndio lengo la huu uzi, nakufuata pm tukutane kama upo dar unipe hivyo vitu halafu uje hapa baada ya week mbili uandike kua uchawi upo au hamna.
 
Kutokujua kinachosababisha matukio yanayodaiwa kusababishwa na uchawi haizuii mimi kukataa yamesababishwa na uchawi.
Upo sahihi.

Ila kipi kinafanya wewe ukatae kuwepo uchawi yani hoja ya msingi ni ipi kiasi kwamba hata hayo matukio usiyoyaelewa bado unakataa kuhusishwa na uchawi?

Sisi wenye kuamini kuwepo uchawi tunafanya yote ambayo nyinyi (msioamini) mnafanya yani mfano kwenye matibabu, elimu na kutatua changamoto zetu kama mnavyofanya nyie ila bado kuna mambo ambayo ndio tunayaita uchawi (na tunatumia njia zake kudeal nayo) mambo ambayo nyie hamuyaelewi ila bado mnapinga kuwa sio uchawi.

Kwahiyo hoja yako ya msingi kukataa kuwepo uchawi ni ipi? Ili nasi tujifunze.
 
Wewe na mimi nani anageuza swali na kutoka nje ya mada

Umeniuliza unafahamu kuthibitisha ni kufanyaje nikakuambia hebu niambie kwa uwelewa wako badala ya kueleza au kutoa ufafanuzi kwa wewe unaelewa nini kuhusu uthibitisho unamtga Yoda anahusikaje

NB bado hujatoa maana ya kuthibitisha kitu kuwepo ni kufanyaje naomba jibu
Bado haujajibu swali haujasema unajua au hujui ila umekimbilia kutaka kujua uwelewa wangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom