Mnaosema hamuamini uchawi, njooni niwathibitishie

Mnaosema hamuamini uchawi, njooni niwathibitishie

Sasa mbona wasema uchawi maana yake ni vifaa?
Vifaa vya nini vya umeme au ujenzi?

Nimekwambia vifaa vinavyotumika kurogea huitwa uchawi, au wewe unaelewa hivyo vifaa vinavyotumika kurogea vinaitwaje?
 
Kwa jinsi ulivyoelewa tafsiri ya uchawi unaweza kunisaidia kuniambia huo uthibitisho wa uchawi unatakiwa uwe na sifa zipi?
Uchawi unatakiwa uwe na moja ya sifa zifuatazo ili kuthibitika

1. Kugusika

2. Kuonekana

3. Kuhisika kwa ngozi

4. Kunusika

5. Kuonjeka

6. Kupimika

Haya thibitisha kuwepo kwa huo uchawi
 
Uchawi unatakiwa uwe nasifa zifuatazo ili kuthibitika

1. Kugusika

2. Kuonekana

3. Kuhisika kwa ngozi

4. Kunusika

5. Kuonjeka

6. Kupimika

Haya thibitisha kuwepo kwa huo uchawi

Tangu mwaka huu uanze sijaona mtu mbishi kama ww.
Alaf utajiona una akili wakat unakwepa uhalisia.

Watu kama nyinyi mnaachwa tu jinsi mlivyo.
 
Kuroga ni kufanyaje mbona unaruka hili swali?

Hizo maana zote mbili zinaelezea neno uchawi, je kuroga ni kufanyaje tupe tafsiri
Duh! Post#384 nimeeleza maana ya kuroga na post#389 nimeeleza maana ya uchawi.

Ila bado nauliza tena maswali hayo hayo.
 
Duh! Post#384 nimeeleza maana ya kuroga na post#389 nimeeleza maana ya uchawi.

Ila bado nauliza tena maswali hayo hayo.
Kuroga umesema ni kufanya uchawi

Kufanya uchawi ukasema ni ufundi wa kutumia dawa na vitabu

Uchawi ni nini ukasema ni vifaa vya kurogea

Wakati hizo tafsiri zote mbili zimeelezea neno uchawi na sio kuroga

Elezea maana ya kuroga na maana ya uchawi acha kuchanganya tafsiri zote mbili kwa maneno mawili tofauti

Uchawi sio vifaa uchawi ni IMANI soma hapa
 

Attachments

  • Screenshot_20251028-153707_1.jpg
    Screenshot_20251028-153707_1.jpg
    151.6 KB · Views: 15
Tangu mwaka huu uanze sijaona mtu mbishi kama ww.
Alaf utajiona una akili wakat unakwepa uhalisia.

Watu kama nyinyi mnaachwa tu jinsi mlivyo.
Wewe mwenye akili tuambie unathibitisha uchawi kwa kutumia nini
 
Kuroga umesema ni kufanya uchawi

Kufanya uchawi ukasema ni ufundi wa kutumia dawa na vitabu

Uchawi ni nini ukasema ni vifaa vya kurogea

Wakati hizo tafsiri zote mbili zimeelezea neno uchawi na sio kuroga

Elezea maana ya kuroga na maana ya uchawi acha kuchanganya tafsiri zote mbili kwa maneno mawili tofauti

Uchawi sio vifaa uchawi ni IMANI soma hapa
Una umri gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom