Mnaosema hamuamini uchawi, njooni niwathibitishie

Wewe unaweza kutumia njia uliyotumia kuthibitisha uwepo wa upepo ukaitumia kuthibitisha uwepo wa gari?
Upepo upo na unathibitika kwa njia ya kuhisi kupitia ngozi jinsi unavyopuliza nishakuelimisha kuhusu hilo pia nikakwambia kuna kipima upepo kinaitwa ANEMOMETER hupima uwepo wa kasi ya upepo

Nikakuuliza je, unaweza kuhisi uchawi kupitia ngozi kama ilivyokuwa upepo? Hujajibu hadi dk hii

Gari linathibitika uwepo wake kwa mboni tu za macho yaani kuliona au kulitazama haya niambie waweza thibitisha uchawi kwa kuuona kama lilivyo gari? Nasubiri jibu

Au uchawi haupo? Kwa maana hauthibitiki kwa namna yoyote Ile pia utuambie mkuu
 
Vifaa vinavyotumika kurogea pia huitwa uchawi na unaweza kuona kwa macho kama unavyoona gari.
 
Si nimekutajia kwamba uchawi ni vifaa vinavyotumika kurogea na kama hauamini katizame kamusi ya kiswahili au unataka nikuwekee picha ya vifaa vyenye kutumika kurogea?
Weka hapa hiyo tafsiri ya uchawi kutoka kwenye kamusi tuone wapi panasema uchawi ni vifaa
 
Sio vifaa ni vifaa vinavyotumika kurogea.
 
Attachments

  • 20251028_161504.jpg
    20251028_161504.jpg
    393 KB · Views: 19
Kwahiyo hayo masalia ya mamungunya ndio uchawi? Kweli uchawi haupo maana hauwezi kuthibitika popote pale zaidi ya kuleta vikorokoro vya miti na matunda
 
Baada ya kusoma huu uzi nimegundua yafuatayo kuhusu wale watu wanaobisha kuwa hakuna uchawi.
1.Baadhi yao wanabisha kama kutengeneza upinzani ule wa simba na yanga ili kutoa burudani ila moyoni mwao wanaamini kuwa uchawi upo ndio maana wanaogopa kujitokeza kwenye hilo zoezi na kuleta visingizio.
2.Baadhi yao wanabisha ili kupretend kwamba wameadapt mila za kizungu ili kujionesha kuwa wako civilized.
3.Baadhi yao wanabisha tu kwa kufuata mkumbo na hawajui kwa nini wanabisha na kupinga.
Kama ingekuwa kweli wanaamini uchawi hauko kwa asilimia wasingekosa muwakilishi hata mmoja wa kujitoa muhanga kwenye hili zoezi maana mtoa mada yeye amejipanga kufika mahali popote kwa nauli yake mwenyewe sasa hapo sioni kama kuna excuse yoyote yenye mashiko zaidi ya kuchengesha tu kwa makusudi ili zoezi lishindikane.
Kaka case closed.

Wanao bisha wakiambiwa walete sample.
Wanatanua magoli kwa hofu na wogaaa..

Uchawi upo japo Mimi sikua na uamini.....ila ki ukweriiii uchawi upo..

Kuna sababu MAALUMU ilibidiii wazazi wakasema kwa haya yaliyo tokea tunaomba tukayatizame kwa mtaalam

Alichukuliwa kuku akakatwa kichwa na kisu kikali akaachiliwa gafla....kuna watu ni watalaam nilishuhudia staili mbali mbali za wale kuku kufa na maana zakee..

Mtaalam akanambia Kuna nafsi ya mtu anakudai na anasononeka sana hujampa pesa yakee.. Mimi nikasema sidaiwi na Huwa sikopagi akasema ondoka nenda malizana kwanza na huyo anae kudai then kesho njoo.

Nilipo fika nyumbani nikakumbuka nikiwa Safarini kwenda mkoa nili mwambia mdogo wangu mmoja anisaidie kumlipa kifurushi cha kin'gamuzi ntam refund nikifika ile kufika nikawa nimesahau na dogo sijui alikua anaogopa kunikumbusha kumbe ulimwengu wa Roho Kila kitu kipo wazi ""nilipo kumbuka nikamtumia ile pesa yake hapo hapo"""

Kesho nikaenda kwa mtaalamu kupikwa..yule mtaalamu alikua anaona sana na hadi ofsin kwangu alikua anapaona Kila kitu"...

Mambo ya nguvuuuuuuuu za kiroho/ Giza yapo sana...Kuna dawa za mvuto...dawa za kupendwa na watu..dawa za kuogopwa dawa za ulinzii...zipo dawa za uharibifu pia.... dawa zipo hii miti inaongea Ina nguvuuuuuuuu

Kwa uchache sanaa uchawi upo japo Mimi si uamini Wala kufungamana nao ila upo na unatenda kazii
 
Kwahiyo hayo masalia ya mamungunya ndio uchawi? Kweli uchawi haupo maana hauwezi kuthibitika popote pale zaidi ya kuleta vikorokoro vya miti na matunda
Hivyo vikorokoro ni vifaa vya kurogea na kwa kiswahili huitwa uchawi.
 
Baada ya kusoma huu uzi nimegundua yafuatayo kuhusu wale watu wanaobisha kuwa hakuna uchawi.
1.Baadhi yao wanabisha kama kutengeneza upinzani ule wa simba na yanga ili kutoa burudani ila moyoni mwao wanaamini kuwa uchawi upo ndio maana wanaogopa kujitokeza kwenye hilo zoezi na kuleta visingizio.
2.Baadhi yao wanabisha ili kupretend kwamba wameadapt mila za kizungu ili kujionesha kuwa wako civilized.
3.Baadhi yao wanabisha tu kwa kufuata mkumbo na hawajui kwa nini wanabisha na kupinga.
Kama ingekuwa kweli wanaamini uchawi hauko kwa asilimia wasingekosa muwakilishi hata mmoja wa kujitoa muhanga kwenye hili zoezi maana mtoa mada yeye amejipanga kufika mahali popote kwa nauli yake mwenyewe sasa hapo sioni kama kuna excuse yoyote yenye mashiko zaidi ya kuchengesha tu kwa makusudi ili zoezi lishindikane.
Kaka case closed.

Wanao bisha wakiambiwa walete sample.
Wanatanua magoli kwa hofu na wogaaa..

Uchawi upo japo Mimi sikua na uamini.....ila ki ukweriiii uchawi upo..

Kuna sababu MAALUMU ilibidiii wazazi wakasema kwa haya yaliyo tokea tunaomba tukayatizame kwa mtaalam

Alichukuliwa kuku akakatwa kichwa na kisu kikali akaachiliwa gafla....kuna watu ni watalaam nilishuhudia staili mbali mbali za wale kuku kufa na maana zakee....zipo kafara za damu za wanyama mbali mbali na Zina work out..

Mtaalam akanambia Kuna nafsi ya mtu anakudai na anasononeka sana hujampa pesa yakee.. Mimi nikasema sidaiwi na Huwa sikopagi akasema ondoka nenda malizana kwanza na huyo anae kudai then kesho njoo.

Nilipo fika nyumbani nikakumbuka nikiwa Safarini kwenda mkoa nili mwambia mdogo wangu mmoja anisaidie kumlipa kifurushi cha kin'gamuzi ntam refund nikifika ile kufika nikawa nimesahau na dogo sijui alikua anaogopa kunikumbusha kumbe ulimwengu wa Roho Kila kitu kipo wazi ""nilipo kumbuka nikamtumia ile pesa yake hapo hapo"""

Kesho nikaenda kwa mtaalamu kupikwa..yule mtaalamu alikua anaona sana na hadi ofsin kwangu alikua anapaona Kila kitu"...

Mambo ya nguvuuuuuuuu za kiroho/ Giza yapo sana...Kuna dawa za mvuto...dawa za kupendwa na watu..dawa za kuogopwa dawa za ulinzii...zipo dawa za uharibifu pia.... dawa zipo hii miti inaongea Ina nguvuuuuuuuu

Kwa uchache sanaa uchawi upo japo Mimi si uamini Wala kufungamana nao ila upo na unatenda kazii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom