Mnaosema hamuamini uchawi, njooni niwathibitishie

Mnaosema hamuamini uchawi, njooni niwathibitishie

Kwahiyo ulivyoona wewe hizo hirizi ndo uchawi? Na ndio zilizokuwa zinazuia kifo kwa hao panya road?
Ndio maana nikasema hayo ni mambo yenye kudhaniwa au kuhusishwa na uchawi, kumekuwepo na hiyo imani kwamba zipo hirizi zenye kuweza kufanya kitu kama hicho. Sasa wewe unaweza kutupa maelezo gani kwenye hilo kuelimisha kwamba jambo kama hilo si uchawi kama inavyodhaniwa?
 
Uchawi haupo ndio maana nikakwambia hizo iman ni potofu
 
Kuna wamekuja utupe mrejesho bila kuwataja wasione aibu? 😊
 
Baada ya kusoma huu uzi nimegundua yafuatayo kuhusu wale watu wanaobisha kuwa hakuna uchawi.
1.Baadhi yao wanabisha kama kutengeneza upinzani ule wa simba na yanga ili kutoa burudani ila moyoni mwao wanaamini kuwa uchawi upo ndio maana wanaogopa kujitokeza kwenye hilo zoezi na kuleta visingizio.
2.Baadhi yao wanabisha ili kupretend kwamba wameadapt mila za kizungu ili kujionesha kuwa wako civilized.
3.Baadhi yao wanabisha tu kwa kufuata mkumbo na hawajui kwa nini wanabisha na kupinga.
Kama ingekuwa kweli wanaamini uchawi hauko kwa asilimia wasingekosa muwakilishi hata mmoja wa kujitoa muhanga kwenye hili zoezi maana mtoa mada yeye amejipanga kufika mahali popote kwa nauli yake mwenyewe sasa hapo sioni kama kuna excuse yoyote yenye mashiko zaidi ya kuchengesha tu kwa makusudi ili zoezi lishindikane.
Umemaliza mkuu, mwingine kanichekesha anasema mimi tapeli namwambia tukutane ni bure anipe hivyo vitu anakataa anasema nitamdai hela, yani ananilazimisha nimdai hela ili tuu zoezi lishindikane.
 
Umeanza kutoka kwenye mada
Hapana kwa sababu umejenga hoja kwamba mimi kushindwa kuthibitisha uchawi kuweza kusababisha ugonjwa basi ni ushahidi kwamba hakuna uchawi, kitu ambacho sio sahihi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom