MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,259
- 13,634
Nenda katoe akiba zenu zote bankMtufikirie na sisi tunaoishi Maisha magumu...tunaoshindia maandazi na maji na bado na bado tunategemea kudra wengine tunajitegemea huku tuna challenge za kiafya
Vikiumana huko mtatuua wenzenu🥲
Nunua unga debe na chumvi na gesiMi Hustler sio mwalimu wangu
Umeenda mbali kidogo brother. Huyu ana condition ambayo nadhani hajaiweka wazi, nyakati za machafuko watu wenye disabilities wanapata shida zaidi yetu.Kenge mkubwa , na uwe fukara siku zote.
Unanitukana Nini?Kenge mkubwa , na uwe fukara siku zote.
Tunaweza tukateseka milele pia kama South SudanNa wenye mawazo kama yako wamejaa tele hasa wakina mama.
Bora uteseke kwa muda mfupi ili upate raha ya muda mrefu.
Hamia Burundi
Hii nchi siyo ya wananchi wake kushindia maandazi na maji. Maandamano ndiyo yatakayo sababisha wahuni kutoka madarakani, na hivyo maisha kurejea kwenye hali yake ya kawaida.Mtufikirie na sisi tunaoishi Maisha magumu...tunaoshindia maandazi na maji na bado na bado tunategemea kudra wengine tunajitegemea huku tuna challenge za kiafya
Vikiumana huko mtatuua wenzenu🥲
Bila shaka wewe ni Mzanzibari ambaye unatamani huyu mtu wenu aendelee kutawala hapa bara. Ushauri wako tumeukataa.Najua Wana Nia ya kujikomboa but busara itumike pande zote mbili.
Imeandikwa wapi?Toa location tuje tukusaidie kwenda kwa Mungu moja kwa moja maana huko Imeandikwa Hakuna Njaa ni mwendo wa kutafuna Bikra 72
Kufa tuuMtufikirie na sisi tunaoishi Maisha magumu...tunaoshindia maandazi na maji na bado na bado tunategemea kudra wengine tunajitegemea huku tuna challenge za kiafya
Vikiumana huko mtatuua wenzenu🥲
Hapana.sio mznzBila shaka wewe ni Mzanzibari ambaye unatamani huyu mtu wenu aendelee kutawala hapa bara. Ushauri wako tumeukataa.
Sisi tutawapokea wageni wetu road kama watavyokuja..Alitumia busara sio mihemko lakini.unakumbuka?
Sasa nyie najua mnasema ya amani amani mkikanyaga tu lami mkiona kijani kibicho vinawapanda mnaanza...
Shida mmejaa mihemko hamsomi kitu mkaelewa.Kufa tuu
Usiniambie wee!Sisi tutawapokea wageni wetu road kama watavyokuja..
Itategemea watakujaje!
Hapo ushaficha Vitenge vya Samia toka kwa Mwashambwa. .... Dada wa Watu ana Shida ya kweli kiafya sio mzaha.Na wenye mawazo kama yako wamejaa tele hasa wakina mama.
Bora uteseke kwa muda mfupi ili upate raha ya muda mrefu.
Hamia Burundi
Akiba ipo?Nenda katoe akiba zenu zote bank
Basi pole sana kama una matatizo ya kiafya mkuu. Ila kwa hali jinsi ilivyo watu lazima waingie road kumuondoa huyu manyonyo, hakuna namna.Hapana.sio mznz
Gen z wanapita Kila kona ya nchiTar 6 zamia mkoa hiii mbungi haitaki kutia huruma
Ulichokizungumza ni sahihi kabisaMtufikirie na sisi tunaoishi Maisha magumu...tunaoshindia maandazi na maji na bado na bado tunategemea kudra wengine tunajitegemea huku tuna challenge za kiafya
Vikiumana huko mtatuua wenzenu🥲
Basi pole sana kama una matatizo ya kiafya mkuu. Ila kwa hali jinsi ilivyo watu lazima waingie road kumuondoa huyu manyonyo, hakuna namna.