Tumbili wa Mjini
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 3,943
- 8,166
Una jua maana ya prestige?Unaongelea watu kuishi ama thamani ya ardhi ?
Mikocheni wanaishi watu wazito
Mbweni wanaishi watu wazito
Upanga wanaishi watu wazito
Kila sehemu kuna watu wazito ila thamani ya ardhi ya kariakoo haisababishwi na watu wazito bali ni business centre