Mnaokaa Mbweni na capripoint -Mwanza, mmeajiriwa wapi?

Sidhani kama kuna mfanyakazi wa local government kwenye hii mitaa, oi watu wana hela Dah,

Watu wamepambana kweli kweli sio mchezo, huko sidhani kama ardhi/kiwanja mtu anaweza kupata chini ya million 30.

Mfano capripoint Mwanza, juzi nilikua na mwanasheria mmoja akanambia kafunga mkataba wa mauziano million 400 kiwanja,

Tutafute hela tutakapoishia ni hapo hapo, ila tutafute hela.
View attachment 3274377
🤣🤣🤣 sasa mkuu milion 30 ndy unaona kiwanja ni gali ebu tembea bhana hao n wakawaida hata muuza bamia ananunua hyo kiwanja akiwa sriaz
 
Unajua bei za viwanja masaki na Oysterbay? Angalia hata kodi zao au bei za apartments utakuja na jibu

Ndio najua. Bado haifikii bei ya kariakoo ama posta.

Kiwanja cha sqm less than 400 kariakoo tu kinauzwa bei kubwa kuliko kiwanja cha sqm 1000 oysterbay na masaki.

Unawaza kodi za appartment ambazo zina ukubwa wa sqm nyingi ila huwazi bei ya kodi ya fremu ya futi 10 kwa 10 kariakoo ikoje
 
Kiwanja cha sqm less than 400 kariakoo kinauzwa bei kubwa kuliko kiwanja cha sqm 1000 oysterbay na masaki
Unauhakika? Kariakoo ni business center na Oysterbay / masaki ni sehemu za prestige, usibishe bila kujua
 
Unachanganya mada. Ubishani wetu ni wa bei za Ardhi kati ya kariakoo na masaki, usihamishe magoli kwa logical fallacy kuleta maneno ya prestige.
 
Unachanganya mada. Ubishani wetu ni wa bei za Ardhi kati ya kariakoo na masaki, usihamishe magoli kwa logical fallacy kuleta maneno ya prestige
Ndio nimekupa sababu za kwanini oyster bay ina bei zaidi ya kariakoo, Tuliza akili utaelewa ninachokiandiak acha papara
 
Ndio najua. Bado haifikii bei ya kariakoo ama posta.

Kiwanja cha sqm less than 400 kariakoo tu kinauzwa bei kubwa kuliko kiwanja cha sqm 1000 oysterbay na masaki.

Unawaza kodi za appartment ambazo zina ukubwa wa sqm nyingi ila huwazi bei ya kodi ya fremu ya futi 10 kwa 10 kariakoo ikoje
Kkoo kuna viwanja au umeamua tu kuharibu uzi?
 
MELEKAHE hili ghorofa zima kariakoo bil 6.7

Screenshot_20250317_231352_com_olx_ssa_JijiActivity_edit_12881978289458.jpg
 
Ndio nimekupa sababu za kwanini oyster bay ina bei zaidi ya kariakoo, Tuliza akili utaelewa ninachokiandiak acha papara

MELEKAHE hili ghorofa zima kariakoo bil 6.7

View attachment 3274486
Unaleta ujanja wa logical fallacy kwenye debate kitaalamu unaitwa Texas sharpshooter yaani unachagua ushahidi wa ujanja ujanja unaotaka wewe kwenye jambo pana ili kushinda debate

Weka details hilo ghorofa uliloleta Lipo kwenye ardhi yenye sqm ngapi ?

Thamani ya ardhi weka vipimo vya ardhi.
 
Lipo kwenye ardhi yenye sqm ngapi ?

Thamani ya ardhi weka vipimo
Unabishana kijinga kweli kama ni hivyo basi kahama ingekua wilaya yenye viwanja bei zaidi maana kule kuna branches karibu zote za benki pamoja na biashara mchungu nzima, Oysterbay na masaki ni sehemu wanaoishi watu wa zito lazima ziwe na bei ya kukufanya wewe wa buza ushindwe kumudu hata kodi, kariakoo ishindanishe na Posta bro acha ujinga
 
Kariakoo ndio sehemu pekee nchi hii ambayo sheli inauzwa halafu inavunjwa na kujengwa fremu.

Hakuna sehemu yoyote mjini nchi hii ambayo mtu anaweza kununua sheli na kuivunja na kujenga fremu.

ardhi ya Kariakoo ndio inatumika kuleta hela nyingi kwenye pato la taifa kuliko ardhi zote.

Hakuna Bank ambayo haina branch kariakoo.

Na bank kubwa kama NMB na CRDB zote zina branch zaidi ya 3 katika sehemu moja ya kariakoo.

TRA imeiweka kariakoo kama mkoa kabisa wa kikodi. Yaan TRA ya kariakoo inakusanya kodi zaidi ya asilimia 20 ya pato la taifa.
 
Unabishana kijinga kweli kama ni hivyo basi kahama ingekua wilaya yenye viwanja bei zaidi maana kule kuna branches karibu zote za benki pamoja na biashara mchungu nzima, Oysterbay na masaki ni sehemu wanaoishi watu wa zito lazima ziwe na bei ya kukufanya wewe wa buza ushindwe kumudu hata kodi, kariakoo ishindanishe na Posta bro acha ujinga

Unaongelea watu kuishi ama thamani ya ardhi ?

Mikocheni wanaishi watu wazito

Mbweni wanaishi watu wazito

Upanga wanaishi watu wazito

Kila sehemu kuna watu wazito ila thamani ya ardhi ya kariakoo haisababishwi na watu wazito bali ni business centre
 
Kariakoo ndio sehemu pekee nchi hii ambayo sheli inauzwa halafu inavunjwa na kujengwa fremu.

Hakuna sehemu yoyote mjini nchi hii ambayo mtu anaweza kununua sheli na kuivunja na kujenga fremu.

ardhi ya Kariakoo ndio inatumika kuleta hela nyingi kwenye pato la taifa kuliko ardhi zote.

Hakuna Bank ambayo haina branch kariakoo.

Na bank kama NMB ina branch zaidi ya 3 katika sehemu moja ya kariakoo

TRA imeiweka kariakoo kama mkoa kabisa wa kikodi. Yaan TRA ya kariakoo inakusanya kodi zaidi ya asilimia 20 ya pato la taifa.
Napozea mda kubishana na mtu aliekaririshwa amini unachokiona Sawa, hao wote waliopo kariakoo ni wafanyabishara na ni sehemu ya biashara tafauti na masaki, Oysterbay wanapokaa wafanyabishara wakubwa wa nchi kama vile kina Bakhresa n. K
 
Back
Top Bottom