Mnaokaa Mbweni na capripoint -Mwanza, mmeajiriwa wapi?

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2022
Posts
2,034
Reaction score
6,768
Sidhani kama kuna mfanyakazi wa local government kwenye hii mitaa, oi watu wana hela Dah,

Watu wamepambana kweli kweli sio mchezo, huko sidhani kama ardhi/kiwanja mtu anaweza kupata chini ya million 30.

Mfano capripoint Mwanza, juzi nilikua na mwanasheria mmoja akanambia kafunga mkataba wa mauziano million 400 kiwanja,

Tutafute hela tutakapoishia ni hapo hapo, ila tutafute hela.
 
View attachment 3274377
Nimejenga Mbweni na pesa za talaka za ex bilionea 🤣
Ila binamu yangu naye kajenga huku na ni mtumishi serikalini, wizara ya maliasili 🚶‍♀️
 
Siku ya kwanza kufika mbweni hata nilijiuliza hayo maswali, ila baada ya kuzoeana na wenyeji wangu ndio nkaelewa ile ni sehemu vigogo wa nchi,
Picha linaanza nyumba nliyofikia baba ni profesa wa moja ya chuo kikuu hapa dar mama anafanya kazi ofisi ya raisi, jirani kaskizini ni shyrose banji, jirani kusini brigedia mwamunyange
Hiyo naizungumzia mbweni masaiti
 
Sidhani kama kuna mfanyakazi wa local government kwenye hii mitaa, oi watu wana hela Dah,

Watu wamepambana kweli kweli sio mchezo, huko sidhani kama ardhi/kiwanja mtu anaweza kupata chini ya million 30.

Mfano capripoint Mwanza, juzi nilikua na mwanasheria mmoja akanambia kafunga mkataba wa mauziano million 400 kiwanja,

Tutafute hela tutakapoishia ni hapo hapo, ila tutafute hela.
View attachment 3274377
Capripoint mbona maskin wapo tena na wavuvi choka mbaya wapo.. au ww unaongelea capripoint ipi?

Shuka mpaka chini nyumba nying tu za wabangaizaji wamejenga
 
Siku ya kwanza kufika mbweni hata nilijiuliza hayo maswali, ila baada ya kuzoeana na wenyeji wangu ndio nkaelewa ile ni sehemu vigogo wa nchi,
Picha linaanza nyumba nliyofikia baba ni profesa wa moja ya chuo kikuu hapa dar mama anafanya kazi ofisi ya raisi, jirani kaskizini ni shyrose banji, jirani kusini brigedia mwamunyange
Hiyo naizungumzia mbweni masaiti
Hawajanza kufunmga kuku na ngombe kama masaki wazanaki walioletwa na nyerer
 
Back
Top Bottom