Mnaodai mnapenda,mbona hili huwashinda . . . . ???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnaodai mnapenda,mbona hili huwashinda . . . . ????

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eiyer, Sep 13, 2012.

 1. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Imezoeleka sana mtu anapokua na uhusiano na ukafikia ukomo huhuzunika,sijui kwanini?Lakini kitu kinachonishangaza zaidi ni pale mtu mmoja anapotakwa kuanzisha uhusiano anapokataa yule alieanzisha maombi hupata kichaa,hata hapa napo sababu siijui.Nijuavyo mimi unapoenda kumwambia mwanamke/mwanaume unampenda umemwambia neno kubwa sana,labda uwe hujui maana yake.Kumpenda mtu ni pamoja na kujali FURAHA yake na yale yanayompa furaha,hivyo unapojali furaha ya umpendae,utafanya yale yanayompa furaha.Mfano,umeenda na ukamwambia mwanamke/mwanaume unampenda na unataka awe mpenzi wako,nae akakuambia asante lakini kuwa wapenzi hapana,ukamuuliza akakuambia najisikia furaha zaidi tukiwa marafiki wa kawaida,unajaa gesi,kwanini?Si ulimwambia unampenda?Mbona umeshindwa kuonesha huo upendo?Au unakuta upo na mtu na mnaambiana mnapendana,mwenzako anakuambia haufurahii uhusiano na mmefanya kila linalowezekana ili nyote mfurahie uhusiano huo na imeshindikana,anakuambia anaquit,presha inapanda,kwanini?Kama mwenzako hayupo tayari kuanzisha uhusiano wa kimapenzi nawe au anavunja uhusiano nawe kwa sababu hafurahii,huo ni wakati wa kumuonesha unampenda kwa kuijali furaha yake kwa kukubali kile anachokuambia.Unless awe anatania,lakini unapomlazimisha unakua haumpendi . . . . . . !!!!
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwasababu ya ubinafsi. Anakupenda ndio, anajali furaha yako ndio ila yakwake ni muhimu zaidi.
   
 3. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Lizzy za siku nyingi? vipi ndugu yangu ulipigwa Ban au ni mapumnziko tu?
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  DUH.....Inaonekana wewe unaamini sana FACE VALUE ya wanawake....

  Wanachokisema usoni sio lazima kiwe ndo ukweli

  nitakupa mfano

  niliwahi mtokea mdada mmoja
  nikamwambia waziwazi nataka tuwe wapenzi
  akaonesha kukubali
  lakini mwisho akaniambia tuwe marafiki tu
  ananikubali kiurafiki tu na sio mapenzi...

  nikamwambia urafiki na wewe sitaki
  kama hatuwezi kuwa wapenzi na yaishe leo leo
  hata tukionana tujifanye tu hatujuani
  mimi naheshimu uamuzi wako wa kutonitaka kimapenzi
  na wewe heshimu uamuzi wangu wa kuto kuku taka kiurafiki...

  after two weeks she called...the rest is history...
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  ngoja ni-smoke ze ashez kwanza.
   
 6. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Wewe ta safoketi ohoo!
   
 7. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Wengi huwa hatujui maana halisi ya kupenda..
   
 8. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  chezeya The Boss wewe!ala!
   
 9. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  The Boss,ndo maana nimesema unless awe anadanganya!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye ubinafsi ndo pana ukweli!
   
 11. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #11
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa,tungejua tusingepata shida!
   
 12. N

  Neylu JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Waaacha weee...!
   
 13. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #13
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Nawe umetekwaeeee!!
   
 14. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #14
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  amenikumbusha enzi za chuo, kuna dada nilimtokea ye akaniambia anapenda tuwe marafiki tu. Nilimwambia nina marafiki wengi mpaka wengine nataka niwapunguze aafu nikampotezea.
   
 15. N

  Neylu JF-Expert Member

  #15
  Sep 13, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hahahaaa....Umejuaje?
   
 16. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #16
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Nimejua tu!Mi mtu mzima bana!
   
 17. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #17
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Ma debonair wote wanajua kupenda upendwe, ama sivyo unaweza kuleta sexual harassment na embarrassment.

  Ma balozi wa mapenzi wote wanajua kanuni ya reciprocity. Mja kuona, huonwa. Ubwana ni maungwana. Ubibi japo kitana, si matwana.

  Kung'ang'ania sehemu ambayo hata hujapewa tumaini -au hata unatusiwa- unaweza kulishwa sumu ukakosa mwana na maji ya moto.

  If you are fly, you should be fly to not be denied. If you are not, accept your lot.

  Forcing the issue will only end with one asking for tissue.

  Raha ikilazimishwa huleta karaha.

  Waama mgaagaa na upwa hali wali mkavu kwani ugavi hweshi.
   
 18. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #18
  Sep 15, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280

  Ungeweka kwa full kiswahili
  debonair sijui tunaitaje kwa kiswahili?...
   
 19. chumvichumvi

  chumvichumvi JF-Expert Member

  #19
  Sep 15, 2012
  Joined: May 6, 2010
  Messages: 1,050
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160

  kama nae ananipenda na anajua akiniacha ctokuwa na furaha kwann afanye hivyo!!!!!!?
   
 20. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #20
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Tatizo sio kuweka Kiswahili, hata ningesema Kiswahili ningesema "walimbwende" na pengine ningeulizwa "walimbwende" ni kina nani?
   
Loading...