Mnaoagiza magari nje mnapata wapi dola?

Mnaoagiza magari nje mnapata wapi dola?

Ukienda Bureau de change hawana Dollar, Bank hawana dollar. Black market wanauza kwa rate ya 2,850 mpaka 3,000. Kama serikali imedhibiti dollar na kuruhusu black market, bhasi niseme nchi yetu ni ya hovyo sana .
 
Namshangaa huyu mtu au kaamua kututangazia tu kwamba anataka kununua gari? Online transaction zinahusiana nini na upungufu wa dollar bongo?? Anyways kampuni kubwa zote za magari kama be foward wana ofisi bongo si akalipe cash ofisini asubiri gari??
Acha ushamba, nenda kwenye mabank kinachoendelea. Wanaonunua kupitia bf wanapigwa sana hela, ni mpumbavu pekee anayekubali kutumia BF. Gari huwa naagiza na kubargain mwenyewe kazi yangu kumpa wakala kutoa bandarini, kila kitu nafanya mwenyewe.
 
Ukienda Bureau de change hawana Dollar, Bank hawana dollar. Black market wanauza kwa rate ya 2,850 mpaka 3,000. Kama serikali imedhibiti dollar na kuruhusu black market, bhasi niseme nchi yetu ni ya hovyo sana .
Serikali haijadhibiti USD,ni pesa yao wenyewe wamerekani inapitia kwenye hali ya mpito kiuchumi na kisiasa.
 
Acha ushamba, nenda kwenye mabank kinachoendelea. Wanaonunua kupitia bf wanapigwa sana hela, ni mpumbavu pekee anayekubali kutumia BF. Gari huwa naagiza na kubargain mwenyewe kazi yangu kumpa wakala kutoa bandarini, kila kitu nafanya mwenyewe.
Unabargain nini wewe lipa uletewe gari
 
Ukienda Bureau de change hawana Dollar, Bank hawana dollar. Black market wanauza kwa rate ya 2,850 mpaka 3,000. Kama serikali imedhibiti dollar na kuruhusu black market, bhasi niseme nchi yetu ni ya hovyo sana .
Nani kakwambia dollar imeadimika bongo pekee???tembea uone mziki
 
Wakuu habari zenu.

Naomba kuuliza kwa wajuzi wa mambo hasa kwenye kufanya malipo kwenda nje ya nchi. Leo nimeshindwa kulipia gari Japan sababu kubwa ni dollar, niliienda NMB wakasema mwisho kuchange ni $100.

Nimeshindwa kuelewa, ina maana hata kama Pesa ipo kwa account yangu inakuwa ngumu kufanya payment? Hata kuexchange pesa juu kwa juu inakuwa shida?

Nilikuwa najua kupata noti ya dollar ndo kipengele, hata kwa Pesa iliyo kwa account kubadili kuwa dollar nayo ni kipengele???.

Nataka kulipia gari Japan, naombeni msaada bank ambayo haina MBAMBAMBA.
Dola kwa sasa inapatikana kwa bei za kurusha !! Ipo kwenye 2900 au 3000
Ukisubiri hao nmb wakuuzie dola kwa bei waliyoandika ubaoni kwao utasubiri sana
 
Unaweza ukapata kwa kukusanya kidogo kidogo hizo usd 100 wanazotoa Nmb mpaka ukafikia kiasi unachotaka. Pia nilichojifunza zinatolewa kwa kujuana au connection maana kuna watu wanazipata kwa kuomba kibali maalum.
Kuna umuhimu wa kufungua account ya USD kama wewe ni mfanyabiashara maana tshs inaporomoka kwa kasi kila kukicha
China sio lazima ulipe kwa USD unaweza lipa kwa yuan
 
Wakuu habari zenu.

Naomba kuuliza kwa wajuzi wa mambo hasa kwenye kufanya malipo kwenda nje ya nchi. Leo nimeshindwa kulipia gari Japan sababu kubwa ni dollar, niliienda NMB wakasema mwisho kuchange ni $100.

Nimeshindwa kuelewa, ina maana hata kama Pesa ipo kwa account yangu inakuwa ngumu kufanya payment? Hata kuexchange pesa juu kwa juu inakuwa shida?

Nilikuwa najua kupata noti ya dollar ndo kipengele, hata kwa Pesa iliyo kwa account kubadili kuwa dollar nayo ni kipengele???.

Nataka kulipia gari Japan, naombeni msaada bank ambayo haina MBAMBAMBA.
Njoo nikuuzie U.S.D
my Exchange rate is

1 USD = TSH 3,000/=

Kama hutaki sepa...
 
Be foward hawana akaunti ya shilingi na sidhani kama watathubutu kuwa nayo1
Transfer kupitia visa card mkuu
Screenshot_20240530-214251.jpg
 
Ukiingia mtaani dollar ipo ila bei iko juu sana.
Bank kwa wewe usiye na account ya dollar itaishia kupewa $100 tena uambatani na supporting documents sio wakupe tu $ hivi hivi hata kama ni hiyo $100

Hii nchi ujinga ni mwingi sana na kuna mtu anajiita dr. wa uchumi wengine waimba na kusifu sijui nani anaupiga mwingi.

Mikoa ya mipakani dollar mingi sana ukienda Congo ndo usiseme ila ndo hivyo black market
 
Hata kama una USD account bado unapewa hizo 100. Mwanzoni kabisa watu walifungua USD wakawa wanaweka tshs then wanachukua USD wanaenda kuuza black market wka 2700-2900 ila baadaye order from BOT ikaja hata USD account ukitaka kutoa unatoa 100 per day.
Ukiwa na account ya Dollar unapata zaidi ya $100 wewe
 
Back
Top Bottom