Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,383
- 7,969
Shilingi yetu inazidi kuporomoka tu tunakoelekea ni Zimbabwe kila kitu kipo juu hata viwanda vya ndani vinapandisha bidhaa kila siku mana malighafi tunaagiza nje
Tupeni uraia pacha tuwaleteeni dola mpaka mzikimbie.
Huyu bishoo anataka kuagiza mwenyewe inaonekana, ila kwa uzoefu wangu kama pesa ipo kwa akaunti wana exchange juu kwa juu wanakata shilingi.Mbona BE forward wana accept transfer ya Tsh mkuu.
Biashara toka zamani kabla ya matatizo haya sio kila mtu alikuwa ananunua cash dollar, kuna watu unawapa pesa Tanzania tena Tsh wao wanakupa currency ya huko kama uko China ni Yuan na Dubai Dirham. Sababu hata Dubai pesa ya kwanza ya matumizi ni Dirham ukitoa dola mtu anakupigia kama exch rate ya dukani na ziko sehemu zingine wanakwambia nenda ka change ulete Dirham.Jiulize mtu kama niffer anayesafiri kila day na kuleta mizigo ya milions anazipataje. Mjini hapa watu wanafanya biashara ya dollar fresh tu
Hata kama una USD account bado unapewa hizo 100. Mwanzoni kabisa watu walifungua USD wakawa wanaweka tshs then wanachukua USD wanaenda kuuza black market wka 2700-2900 ila baadaye order from BOT ikaja hata USD account ukitaka kutoa unatoa 100 per day.Unaweza ukapata kwa kukusanya kidogo kidogo hizo usd 100 wanazotoa Nmb mpaka ukafikia kiasi unachotaka. Pia nilichojifunza zinatolewa kwa kujuana au connection maana kuna watu wanazipata kwa kuomba kibali maalum.
Kuna umuhimu wa kufungua account ya USD kama wewe ni mfanyabiashara maana tshs inaporomoka kwa kasi kila kukicha
Hakuna hiki kitu, lazima bank wafanye exchange.Huyu bishoo anataka kuagiza mwenyewe inaonekana, ila kwa uzoefu wangu kama pesa ipo kwa akaunti wana exchange juu kwa juu wanakata shilingi.
Toka Samia amekuwa rais ndio tumenzakuoan uadimifu wa dola na vitu vingi vinakwamaTanzania sijui tunakwenda wapi, kila sehemu ni shida. Mungu atusaidie kwakweli
Kuna mkopo wa Trilion 6.1 umetolewa na South KoreaToka Samia amekuwa rais ndio tumenzakuoan uadimifu wa dola na vitu vingi vinakwama
Namshangaa huyu mtu au kaamua kututangazia tu kwamba anataka kununua gari? Online transaction zinahusiana nini na upungufu wa dollar bongo?? Anyways kampuni kubwa zote za magari kama be foward wana ofisi bongo si akalipe cash ofisini asubiri gari??Mbona BE forward wana accept transfer ya Tsh mkuu.
Kwani nimekwambia unalipa TZS, nimesema wanae xchange dola to TZS wanaweka na charges zao then wanakata TZS kutoka kwenye akaunti ya TZS kiasi sawa na dola, we have done that mara kibao tu. Sema now kuna wapuuzi wanatesa wenzao kwa manufaa yao, Hata ukiwa na akaunti ya dola bank bado wanakwambia huwezi kufanya miamala mikubwa dola hamna, which is bullshit. Mtu una dola 40,000+ unataka lipia dola 13000 nje unaambiwa haiwezekani dola hamna.Hakuna hiki kitu, lazima bank wafanye exchange.
Kama una acc ya dola crdb chukua invoice inayoonesha kiasi cha dola unachohitaji kununua hiyo bidhaa then nenda nayo crdb. Hata kama unataka dola 3000 wanakupa ikiwa tu una acc ya usd kwao na hayo malipo utayafanya kupitia hiyo account.Wakuu habari zenu.
Naomba kuuliza kwa wajuzi wa mambo hasa kwenye kufanya malipo kwenda nje ya nchi. Leo nimeshindwa kulipia gari Japan sababu kubwa ni dollar, niliienda NMB wakasema mwisho kuchange ni $100.
Nimeshindwa kuelewa, ina maana hata kama Pesa ipo kwa account yangu inakuwa ngumu kufanya payment? Hata kuexchange pesa juu kwa juu inakuwa shida?
Nilikuwa najua kupata noti ya dollar ndo kipengele, hata kwa Pesa iliyo kwa account kubadili kuwa dollar nayo ni kipengele???.
Nataka kulipia gari Japan, naombeni msaada bank ambayo haina MBAMBAMBA.
wakikujibu niiteWakuu habari zenu.
Naomba kuuliza kwa wajuzi wa mambo hasa kwenye kufanya malipo kwenda nje ya nchi. Leo nimeshindwa kulipia gari Japan sababu kubwa ni dollar, niliienda NMB wakasema mwisho kuchange ni $100.
Nimeshindwa kuelewa, ina maana hata kama Pesa ipo kwa account yangu inakuwa ngumu kufanya payment? Hata kuexchange pesa juu kwa juu inakuwa shida?
Nilikuwa najua kupata noti ya dollar ndo kipengele, hata kwa Pesa iliyo kwa account kubadili kuwa dollar nayo ni kipengele???.
Nataka kulipia gari Japan, naombeni msaada bank ambayo haina MBAMBAMBA.
Ukinunua kitu cha usd kwa kutumia acc ya tzs utapigwa sana kwenye rateMbona BE forward wana accept transfer ya Tsh mkuu.
Mtu kauliza kitu kingine wewe unahororoja na kubwabwaja kitu kingine.Tukianza na Umeme , maji, dollar, mfumuko wa bei, tozo, ongezeko la kulipia container bandarini, sukari bei juu, petrol ndo usiseme...
Daah kikubwa uzima..
Jibu swali lililoulizwa kama haujuwi, sema sijuwi.Tuko pabaya sana sema majitu hayaelewi