Labda kama utaratibu umebadilika mkuu. Nakwambia kitu ambacho tulikuwa tunafanya mwanzo na kisha kuwithdraw na kwenda kuziuza mtaani. Mimi ninakuja sanuliwa it only worked for 2 weeks ndipo likatoka hilo tamko. So nikaachana na hiyo biashara.Ukiwa na account ya Dollar unapata zaidi ya $100 wewe